Kazi kwenye broker firm zinapatikana vip?

Wakati unasubiri kupata majibu kutoka kwa wachangiaji wengine hapa hebu jaribu kuwasiliana na hawa jamaa wa Core Securities Ltd ambao namba zao za simu ni 022 2 123 103. Wanaweza kukupa mwanga kuhusu brokers na pia uuzwaji wa hisa za makampuni yaliyoandikishwa kwenye Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom