Kazi kwenu walimu.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mwalimu mmoja wa tuition alipewa jukumu la kumfundisha hesabu mtoto aliyeshindikana kwa usahaulifu.Mwalimu kaanza somo kama ifuatavyo;4+5=9,sawa mikogo?Mikogo kajibu sawa mwalimu,mwalimu akarudia kama mara tano ili mikogo asisahau.Siku iliyofuata mwalimu akarudia swali lile lile;mikogo,5+4=?,mikogo kwa mshangao mkubwa akamkana mwalimu akidai kwamba hakuwahi kufundishwa hesabu ya 5+4 ila ya 4+5 jibu analijua ni kitu kama 6 hivi!
 
alau kakumbuka kuwa namba zilikuwa reverse na jawabu kureverse. kwa hio mwalimu aongeze juhudi kidogo mambo yatakaa sawa
 
Back
Top Bottom