Kazi kwenu..Binti wa Kibongo anatafuta mchumba

Discussion in 'Love Connect' started by BAK, Mar 11, 2008.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 43,970
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 0
 2. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,922
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Toba,

  Sikujua CV inapima IQ !

  Huyu ndiye aliyeenda shule mwenye wageni majununi, wenzangunamie kina Maimuna sijui watakuwaje.
   
 3. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2008
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 997
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 4. Killuminati

  Killuminati JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2008
  Joined: Apr 24, 2007
  Messages: 325
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16

  ..raia wema huyo si mwenyewe, hawa Manka wako wa kumwaga, huyu mbona yupo easy to street anatembea kule mwanza na hana elimu hata ya first degree, so usiwapoteze watu mtu wangu
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2008
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyo binti anhitaji relationship ambayo ni businesslike emotional?
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,187
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  HAhahahaha bwana kama ni huyu wa kwenye picha ni loose kweli kweli, nenda Mwanza hotel pale utamkuta saa za jioni, ni kama Sungu sungu hana noma...
   
 7. M

  Magere Member

  #7
  Mar 12, 2008
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 8. M

  Magere Member

  #8
  Mar 12, 2008
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 9. M

  Magere Member

  #9
  Mar 12, 2008
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ila jamaa amemuelezea kikubwa hebu check http://issamichuzi.blogspot.com/ afu mseme huyu vipi?au tuwashauri warudiane nini? maanake jamaa anaonekana anamkumbuka sana kidet chake cha long T, afu pia inaonekena huyo Lynne Mkewe Will hajui nini kilitokea enzy hizo kati ya Manka na Will!!!!!!!!!
   
 10. Think Global RC

  Think Global RC Member

  #10
  Mar 12, 2008
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakubwa data tunazo, huyu hafai kabisa wana.nenda kwenye michuzi blog upate ful mkanda.ameshatemwa sana na watu wenye akili.alikwenda macho juu kwa wauza mboga mza wakamfanya chombo cha starehe.sasa nadhani ni muda muafaka atafute shughuli nyingine afanye.wajanja msiingie mkenge, angekuwa analipa wangesha muweka ndani.
   
 11. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,220
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Sure mkuu,
  Sielewi ni kwa nini anafanya hivi lakini all i know kuna umuhimu wa huyu Manka kupata ushauri nasaha kuhusiana na maisha!! She might be brilliant in the academic world and very dull in the social world!!

  Vijana ambao hamjaoa hii ni challenge kwenu....ila kumbukeni Kizuri chajiuza na kibaya .....
   
 12. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,220
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Kuna ulazima wa hili au ndo anataka apewe feki!!! kuna watu wana 1st Class degrees feki, au ndio alivyosoma katika elimu yake kwamba IQ unaipima kutoka kwenye vyeti vya shuleni???

  Yep, she's not looking for Husband/wife thing but a home intertainer!! afurahishe rafiki zake, amdrive kazini etc!
  Kifupi ni kwamba anahitaji msaada wa kitaalam...
   
 13. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,187
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Jamani mnalalama nini? Kama huyu dada anataka mahabuba wake awe na vionjo hivyo, ninyi cha wakera nini? Kwani nanyi si mna vionjo vyenu? Atake Superman au yule kilaza wa nguvu ni hiari yake. Kama haufiti hapo kula kona, ok. Anachangua aliyenona, au vipi bwana..LOL! Tafuta mpaka umpate, hata kama utakuwa kikongwe lakini utakuwa umepata kitu roho inataka.
   
 14. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2008
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 1,951
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 48
  Hata mi nashangaa! Huyu dada kipi cha ajabu kafanya?

  Yeye ndo anataka kuolewa na yeye si ndo inabidi aweke criterias jamani? kifupi the girl knows what she wants! Watanzania bwana hatuna dogo

  Tumeshazea conventional wisdom kwamba mwanaume ndo atafute binti!

  Kifupi Manka she is just persuing her dreams. Kama jamaa alivyosema hapo juu..hata angetaka muuza chipsi, mbeba Lumbesa, konda etcs...si ni yeye? tatizo wengine hizo sifa hawana na wanaona elimu iko juu...waungwana tujifunze ku apreciate maisha na matakwa ya wenzetu.

  Manka Mushi knows what she wants, just like anybody serious, and she has a right to persue it as she like!

  Acheni kuponda kila kitu. Angekuwa mzungu wengi hapa tusingeona ajabu...lakini kwa sababu ni mbantu mwenzetu ndo tunasagia na kumuona malaya! Its unfair!
   
 15. M

  MANKA MUSHI New Member

  #15
  Mar 15, 2008
  Joined: Mar 15, 2008
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I’m not the same Manka from the global---- Iam Manka Solomon Mushi ok
   
 16. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,394
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Manka naheshimu uhuru wako na uamuzi wako wa kutangaza kuhusu unachotaka. Hata hivyo nakushauri tu kama mtu mzima kuwa angalia na tena kuwa makini sana na mbinu uliyotumia, inaweza kuwavutia zaidi wanaume wasiokuwa makini na ndoa kuliko wenye nia hiyo, unless unayehitaji ni company tu kwa muda fulani. Watakuja watu na maigizo yao, na itakuwia vigumu sana kumtambua yupi genuine, na nina mashaka sana kama wale wenye nia thabiti watajitokeza, hata kama wakijipima wanazo sifa ulizotaja. Kuna uwezekano mkubwa wa wale wanaume makini kudhani kuwa pengine una matatizo miongoni mwa wanaokuzunguka (unakofanya kazi, unakoenda kustarehe, michezoni, hata kanisani kama ni mkristo, majirani zako na kwingine unakokutana na watu), ndio maana unatafuta kwa mtandao. Halafu ingawa matangazo kama haya ni ya kawaida sana katika kurasa maalumu za kazi hiyo (ambako wanaotafuta wachumba huzitembelea), ukiweka tangazo hilo kwenye kurasa za mambo ya jumla kama pale kwa Michuzi au hapa utakutana na wengi ambao wanajisikia ama haziwahusu au wana matatizo yao fulanifulani na wewe au chochote alimradi kwa kuwa si mahali pake, wataharibu kabisa nia ya tangazo lako. Na hata ukitangaza kwenye kurasa za masuala ya kutafuta wachumba, huko nako kuna wasanii wengi sana (uliowaita time wasters, lakini si rahisi kumtambua time waster aliyedhamiria kukufanyia hivyo).

  Nakushauri tu kwa umri wako huo ambao bado ni mdogo, hebu fikiria upya hiyo mbinu yako, maana nahisi itakuangusha. Tafakari upya utapata suluhisho bora zaidi. Nakutakia kila la heri.
   
 17. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,922
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama anataka kuja na gia ya usomi aondoe hiyo reference ya kutaka CV ili 'apime IQ' otherwise atatupa mashaka kuhusu usomoi wake.

  Kama CV zingekuwa zinapima IQ watu wa Papua NG wangekuwa na IQ za single digits.
   
 18. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2008
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,220
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Single digit IQ ....kwi kwi..kwi...kwi......
  Mkuu umenikumbusha mbali sana maana hawa jamaa wa PNG nimewahi fanya nao kazi sehemu flani! Duh kweli CV sio kipimo cha IQ!
   
 19. i

  ishengoma Senior Member

  #19
  May 22, 2008
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inapendeza wana mnapotoa data ili watu ambao wangekuwa serious kwa ndoa wasipoteze mda kwa malaya.its good kip it
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,975
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tobaaaa wachagga sasa mnatia aibu bussiness mpaka kwenye uchumba duh hii balaa aibu....uchumba hadi uwe na madegree hii sasa kali akina maimuna msitupe ndoano hapo...mtaumbuka buree
   
 21. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #21
  May 22, 2008
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,759
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli hiyo ndo CV! anataka kiatu si chini ya no 9. Hapo kaniacha pembeni cjamwelewa!
   
 22. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #22
  May 22, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,922
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dada hakataliwi kutafuta msomi.

  Mimi nilichobeza ni kujishaua kama msomi bila kuelewa tofauti ya IQ NA resume (CV). Kwamba anafikiri CV inaweza kuelezea IQ au vice versa inaelezea vizuri "usomi" wake kuliko alivyojishaua mwenyewe.

  When you come come correct, or don't come at all.
   
 23. Shukuru

  Shukuru JF-Expert Member

  #23
  May 24, 2008
  Joined: Sep 3, 2007
  Messages: 871
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah kazi kweli kweli,

  Vipi suala la interview hukulingumzia kabisa sa sijui vipi kwa watu wa mikoani au una subsidiaries?
   
 24. k

  kikafu Member

  #24
  May 24, 2008
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakin hii ni hatua nzur maana madem wengi wanakufa na kamba shingon,ukweli ni kuwa siku hiz wasichana ni wengi sana,kama msichana ana wake amshikilie vizur asijekumponyoke maana hatompata tena! naona ndege wako katoroka, na sijajua hifadh aliyopata kama ataweza kurud,usikate tamaa endelea kutafuta unaweza pata ndege ambaye naye kaachwa njia panda hana mwenzake.
   
 25. J

  Jobo JF-Expert Member

  #25
  May 24, 2008
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 591
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Pundit, be fair to her. I think everyone is entitled to choose what he or she considers best in her life. CV/resume zinatumika sehemu nyingi tu kutest uwezo wa mtu. Ambacho angetakiwa kusema ni kuwa anataka detailed CVz na siyo vyeti kwani ana uwezo wa kuvivert? Mimi naona turuhusu aendelee na harakati zake and I am sure atampata a man of her dreams. Her resume sounds appealing especially kwa mabachelors na vijana waliohitimu shule siku si nyingi. I would definately try my luck if I fitted the criterias in the submission.
   
 26. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #26
  May 24, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,896
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  MANKA WA MTANDAO NAOMBA NAMBA YAKO YA SIMU NA EMAIL KATIKA PRIVATE TAFADHALI

  NINGEKUWA NA MUDA NINGEKUANDIKIA SHAIRI LA KUOMBA NO YA SIMU ILA SINA

  NAOMBA PLS
   
 27. K

  Karim Roja New Member

  #27
  May 21, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hey Manka,ingekuwa vyema ukatoa vgezo vy huyo mchumba umtakaye pengine ingekuwia rahisi.
   
 28. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #28
  May 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,730
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  tangu 2008 hujapata tu? tupe feedback basi?
   
 29. L

  LazaroSMtindi JF-Expert Member

  #29
  Sep 15, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Guys,why don't you respect the freedom of expression........
   
 30. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #30
  Sep 16, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,430
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  wanaume mnapenda vitu vya bwerereee pelekeni cv acheni maneno safi manka
   

Share This Page