Kazi kweli kweli wizara ya elimu...........

M4C ARUSHA

Member
Apr 27, 2012
38
4
Tanzania zaidi ya uijuavyo!hatimaye shule ya sekondari ya tarakea day imeingiwa na bundi wa aina yake ambapo mkuu wa shule hiyo mwl Kija amehamua kuwafukuza walimu wa kike ili marafiki zake wa kiume waweze kuwatumia kingono wanafunzi wa kike shuleni hapo

Hatua hii mbaya imefikia huku akimtaka matroni wa shule hiyo aondoke na kutaka walimu vijana kutoka shule ya hapo waache kupanga mitaani na badala yake wawaondoe walimu wa kike ili waweze kuwa shuleni

Okoa kizazi hiki ipende rombo yako na hata taifa kwa ujumla funguka
 
Majungu Tu! ..Hayo ni majungu tu. Wewe unawaona waalimu ni wakware!. Mafisi wanaowanyemelea wakiwa nje ya taasisi huwaoni. Wenye fedha wanaowarubuni mabinti hao huwaoni ila waalimu!.
 
HUU ni wivu tu!.. unawaonea wivu hata waalimu wako? unawaona wanafaidi saaaaaana! Hata shule za wasichana kama vile Mtwara girls, Mpanda Girls na Loleza, waalimu wa kiume wako kampasi lakini hawali mayai!.
 
naona kijana hii imekugusa sana ila kam kuna umuhimu wa kufanya hayo waache tu wafanye.vp uliuliza kupata fununu za maamuzi yaliyofanyika.mi nadhani maamuz kama hayo hayawezi fanyika kwa lengo la kukidhi matakwa ya miili kama hayo usemayo.kisa kutafuna mayai tuu .hapana mwl mkuu awez chezea kaz kwa kuendekeza ugono banaaaaaaaaaa
 
Dah! Kumbe kija headmaster wangu wa zamani wa Advance pale Nyerere sec ya Lembeni siku hizi yupo Tarakea?sikulijua hili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom