Kazi kwanza HIV baadaye.

vipik2

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
2,803
2,185
956489_orig.jpg
 

Hivi hii picha si katika ile valangati la Kariakoo jana nyumba ilikuwa inagombewa? Pale polisi walitumia nguvu nyingi kupita kiasi tena kwenye mitaa midogo yenye wapita njia wengi. Hivi hawa askari na serikali inayowatumikia wako sawa kweli? Mbona ni wadhaifu sana katika utendaji wao? Kwa nini wasijifunze nchi za wenzetua hata za karibu tu kama East Africa Mashariki Tanzania inaogonza kwa uzembe sana katika masula ya usalama wa raia na mali zao. Hivi Rais hana mbunge ambaye ni mtendaji apewe uwaziri wa mambo ya ndani? Ile Wizara imeshakuwa bora liende.
 
angekukwapulia wewe ungesema auwawe vibaka wanakera ka kuharibia watu bajeti zao ua kabisa mi majuzi wamenikatia dirisha langu uswahilini huko sina ham nao kwakweli
Alivyoumia....inatia huruma sana!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Sifa za polisi wa kitanzania! Is there a need to handle him that way? It helps having a commanding authority aisee
 
Watu wangekuwa wanaogopa ukimwi si wangeqcha kipiga kavu basi...lakini ni mwendo mdundo vibaya sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom