Kazi kwa graduate bila kujali kozi aliyosoma!

sajo

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,020
5,252
kwa anejua kazi ambayo imetangazwa wanataka watu waliograduate chuo regardless of which course atujulishe aisee...zile za qualification:bachelor degree...tupeni hizo vitu
 
Ndugu graduates unatakiwa ujikite kwenye field ndiyo kitu bora labda uingie jeshi au police maana ni nguvu tu inayotakiwa
 
Nna rafiki zangu wamesoma ecology lakini wako benki, kila siku wanajilaumu cha ajbau hawataki kutoka kwa hiyo banking job!
 
Ukiweza safiri mkuu!!
True Travellers Society - Free Volunteer Work and Meaningful Travel Abroad

Kama bado yanki na huna majukumu, tafuta volunteer positions popote duniani.
Utapata marafiki, connections za kazi, vyuo.
Itasafisha roho yako na utapata thawabu.
Just try it!
Kumbuka "Mti wa mbuyu pamoja na ukubwa wake, umetokana na mbegu ndogo sana iliostahimili matatizo kwa muda mrefu".

kwa nini umeuchagua mbuyu?. zipo mbegu za miti zenye kustahamili kama ulivyofanya mbuyu. ila mbuyu Mungu ameuchagua uwe hivyo. na bila MUngu kukuchagua piga garagaza papatika hufiki wala hutoki.....
 
waliotoa ALLIANCE ONE kile kiwanda cha tumbaku cha morogoro dead line ni tarehe 1 December, NI PM 0714128855
 
Back
Top Bottom