Kazi jeshini umeona au kusikia?

Jeshi linawafaa wenye elimu ya diploma na kushuka chini kwa fani ambazo ni vigumu kujiajiri, kwa graduate yeyote sikushauri kuwa afande ktk jeshi lolote lile, labda uwe na uhakika wa kupata upendeleo maalumu (Neoptism)
 
Mkuu dadavua kwanza kiundani zaidi maana kila mtu aelewe zaidi.....
 
Back
Top Bottom