Elections 2010 Kazi inayoifanya bbc ilikua inapashwa kufanywa na tbc

Jan 16, 2007
721
176
Natoa shukrani kwa BBC kwa mchango wao katika vipindi vyao kuelekea uchaguzi kuanzia tarehe 27.10.2010.Mpaka tarehe 2.11.2010.Kwa uchambuzi wa kina na uhakika katika vipindi vyao bila ubaguzi.CCM inakimbia midahalo nini hasa sababu ya kufanya hivyo?Jibu ni kwamba Viongozi wa CCM asilimia 100 hawaifahamu sera au ilani ya CCM.Kazi inayoifanya BBC ilikua inapashwa kufanywa na TBC.MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom