Kazi iliyobaki ni moja tu! Kilim.... Please come this way !

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Baada ya kua nimemshukuru Mungu kwa kunirejesha kwenya siha njema,
pili nimshukuru my wife NastyBeibe kwa kunilea na kuniuguza vyema kufikia hivi nilivyo.
Ndiyo kusema natoa ujumbe rasmi kwako wife kwamba kazi ya kuuguza sasa imekwisha.
Natoa wito kwako kua kazi iliyobaki sasa mimi nawe ni KILIMO KWANZA tu! na si vinginevyo.
Wito huu haushii kwetu tu, nautoa pia for other members kila mwenye alie na shamba akomae kwenye kilimo hiki.
Komaeni salama.
 
Shem huwa unaongea kimisamiati, umemaanisha kilimo hiki hiki cha kutumia jembe/trekta?
 
Nami na kuunga mkono kwenye kampeni hiyo

Baada ya kua nimemshukuru Mungu kwa kunirejesha kwenya siha njema,
pili nimshukuru my wife NastyBeibe kwa kunilea na kuniuguza vyema kufikia hivi nilivyo.
Ndiyo kusema natoa ujumbe rasmi kwako wife kwamba kazi ya kuuguza sasa imekwisha.
Natoa wito kwako kua kazi iliyobaki sasa mimi nawe ni KILIMO KWANZA tu! na si vinginevyo.
Wito huu haushii kwetu tu, nautoa pia for other members kila mwenye alie na shamba akomae kwenye kilimo hiki.
Komaeni salama.
 
Baada ya kua nimemshukuru Mungu kwa kunirejesha kwenya siha njema,
pili nimshukuru my wife NastyBeibe kwa kunilea na kuniuguza vyema kufikia hivi nilivyo.
Ndiyo kusema natoa ujumbe rasmi kwako wife kwamba kazi ya kuuguza sasa imekwisha.
Natoa wito kwako kua kazi iliyobaki sasa mimi nawe ni KILIMO KWANZA tu! na si vinginevyo.
Wito huu haushii kwetu tu, nautoa pia for other members kila mwenye alie na shamba akomae kwenye kilimo hiki.
Komaeni salama.

Kilimo kwanza? Kilimo cha?

weed-we-trust.jpg
 
Kilimo kwanza? Kilimo cha?

weed-we-trust.jpg

Kama wewe Dc una mashamba ma3!
Unayalimaje?
Na sijasikia watu wanaotaka kukusaidia kulima khaa! Babu chawi nini !
C6 ana kashamba kamoja kangama! Bt walume wanakataka hakohako!
Khaaa!
Babu kilimo cha mneli kiweke kando! Kwanza.
 
Zingatia kupanda kwa nafasi na kupalilia kwa wakati. Aidha jihadhari na wadudu waharibifu.
 
Pole kwa kuumwa........hiyo kilimo kwanza siku hizi mvua hazitabiriki bhana
 
Kama wewe Dc una mashamba ma3!
Unayalimaje?
Na sijasikia watu wanaotaka kukusaidia kulima khaa! Babu chawi nini !
C6 ana kashamba kamoja kangama! Bt walume wanakataka hakohako!
Khaaa!
Babu kilimo cha mneli kiweke kando! Kwanza.

mkuu mbona unatoa siri za jeshi????
 
Back
Top Bottom