Kazi Dubai

Kakwambia anaenda kutafuta kazi haendi kuomba ukimbizi, hebua wacha uhayawani huo!

Dubai is not the best place in the world for work, lakini huwezi kumaliza mwezi usipate kazi. Na in most places unapata accomodation na transportation kwenda na kurudi kazini for free. Maneno ya akiba tu, work means work! Usitegemee utapata ureda. Uwe tayari kutukanwa.
Sawa Mkuu
 
Kuna ambae amepata kuhusu ajira za mafund magariii huko Dubai kama umeme wa magar kama fursa zipo watoe jpo kidogo miongozo
 
mtoa post kama itakupendeza wapatie wadau mrejesho vipi ulifanikiwa kazi huko dubai?
 
Kuna fursa Canada za madereva wa Roli pitieni website zao huko tena wanahitaji waafrica tu
 
Back
Top Bottom