Kazi bila PPE ni hatari sana

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Huyu ni miongoni mwa wafanyakazi wanaojenga Hotel ya ghorofa 25 pale opposite na Peagot House. Wafanyakazi wote wanavaa Hard hat kama one of the PPE lakini hakuna hata mmoja mwenye Safety boot na hii ni hatari sana kwa usalama wao. Hivi serikali yetu mambo kama haya haiyaoni???
 

Attachments

  • IMG00278.jpg
    IMG00278.jpg
    44.5 KB · Views: 48
Wakaguzi wakija anaweza simamishwa kama rushwa haitatawala,bse basic PPE ni helmet,buti,reflectives clothes na miwani.Others ni kama dust masks na earplug.
 
Na hii sie hapo tu most contructions sites hapa bongo wafanyakazi hawavai basic PPE gears kabisa. Ni hatari sana sijui nani yupo responsible kwa hili, anyways Bongo haina mwenyewe
 
Back
Top Bottom