Kazi Alliance One, Trainee post

McMoze

Member
Oct 23, 2011
49
8
Ladies n gentlemen, kuna yeyote ana idea hawa Alliance one wanalipa kiasi gani kwa post design hii. Nimefanya written interview naskilia ingine. axanten
 
Ungekuwa poa ungewaulizia huko huko, ndo watakuwa na taarifa zaidi, maana post yenyewe hadi ukasome tena for 2 yrs
 
ngoja kwanza naongelea ile ya tobacco? kwani wameita lini kwenye hiyo interview.?:yawn:
 
ngoja kwanza naongelea ile ya tobacco? kwani wameita lini kwenye hiyo interview.?:yawn:[/QUOTE

Yes ni hiyo ya tobacco, walishatuita kufanya written interview. tar 5 january tunaenda kupiga oral.
 
kaka hawa jamaa wameita lini kwani hata mimi niliomba wakuu na dead line ilikuwa tarehe 1/12/2011
hebu tuwen serious wakuu au ndio ukiona manyoya
 
kaka hawa jamaa wameita lini kwani hata mimi niliomba wakuu na dead line ilikuwa tarehe 1/12/2011
hebu tuwen serious wakuu au ndio ukiona manyoya

kaka tushaburuza paper kitambo tu kama alivyosema mdau hapo juu,tunangoja oral sasa
 
Bwana jeff, kumbe tulipiga wote ile paper ya alliance. so vp wamekwambia uende lini kupiga oral? na je, umepata tetec zozote kuhusu kiac cha mpunga wanaotoa?
 
jamani kwa nin watu wa humu jamii mnapenda kuwapa wenzenu presha? Mbn me nawasiliana na mtu moro anase?a ndo kwanza mchakato bado?
 
jamani kwa nin watu wa humu jamii mnapenda kuwapa wenzenu presha? Mbn me nawasiliana na mtu moro anase?a ndo kwanza mchakato bado?

Mi sioni kwa nini mnakomaa kutafuta kazi kwenye mitumbaku! Njaa zitawaponza ndug yangu, ni dhambi sana kuhusika katika kusapot utengenezaji wa tumbaku. hata kama mtasema kuwa "mimi sivuti" lakini ukweli ni kuwa unakuwa umeusika katika kuwaumiza watu nakuendeleza utengenezaji wa mitumbaku. hacheni kupenda hela ya aibu. hela ya tumbaku na pombe ni pesa ya laana!

Mi nashauri hachana na hao watu wa tumbaku, tafuta kwingine ule pesa yako safi isiyo na migogoro na kukuhukumu moyoni. Usimtende Mungu wako dhambi kuu kisa ni maisha. kama mtanikatalia nitawaelewa mana ilishatabiriwa kuwa siku za mwisho watu watpenda pesa kuliko kumpenda Mungu. unafanya kazi miaka si zaidi ya 30, then ukifa unateseka maisha! useless!
 
faza unataka watu wakale wapi?polisi?kila mtu atajua jinsi ya kujitetea uko Mbinguni..hamna alie msafi
 
jamani kwa nin watu wa humu jamii mnapenda kuwapa wenzenu presha? Mbn me nawasiliana na mtu moro anase?a ndo kwanza mchakato bado?

Nina jamaa yangu ameniambia wameshaitwa kwa interview ya pili ambayo itakuwa tar 5/1
 
we pebo da great, hii ndio tatzo la kupata habar za uchochoroni. hapa jf ndo ukweli, mi mwenyewe nmepiga written, nmepigiwa kupiga oral. but kama hujaitwa, jaribu kuvuta subira, ila usibweteke tupa cv sehem zingine pia
 
Back
Top Bottom