Kazi Access Bank

Hawa jamaa ukienda kwnye website yao ili u-submit maombi ni lazima uingize captcha halafu mbaya zaidi zinaonekana nusu na nusu zimezibwa na matangazo.
 
Hawa jamaa ukienda kwnye website yao ili u-submit maombi ni lazima uingize captcha halafu mbaya zaidi zinaonekana nusu na nusu zimezibwa na matangazo.

jaribu kure fresh utapata Captcha ya kueleweka.
 
Loan officer wa Access baank analipwa Tsh.180,000/= kwa mwezi

duu wanasemaga no data, no right to speak! hakika umekurupuka hapa umetuongopea, binafsi ninawafahamu watu wanaofanya hapo kazi wanalipwa kidogo ila si kama ulivyotuongopea hapo inafika mara mbili ya hiyo
 
mkuu wengi huwa hawasemi ukweli..ungeniambia wewe ndo unafanya kazi hapo ningekuelewa
 
mkuu wengi huwa hawasemi ukweli..ungeniambia wewe ndo unafanya kazi hapo ningekuelewa

amini ninachokuambia aliyesema kiwango hicho amehapa pale siku si nyingi hivyo nina kila sababu ya kuamini kiwango hicho tena anasema kuna bonas huwa zinatolewa ukifanya vizuri jumla inaweza kufika laki 5.
 
Jaribuni kutumia simu ktk kusubmit mtayaona yale maneno,hata mimi cafe ilikataa!
 
Loan officer wa Access baank analipwa Tsh.180,000/= kwa mwezi
nimefanya kazi pale,ipo hivi hiyo 180000 unalipwa wakat wa training ambayo haitazidi miezi miwil,ukiajiriwa unalipwa basic 340000,na unakua unapata bonas kutegemea utendaji kazi wako.binafsi mpaka naacha kazi nilikua napata gross almost 1.6m na net 1.1m.kiukwel katka microfinance banks za hapa mjini jamaa wanajitahid ktk scheme zao za bonas.na ukizingatia hakuna kazi nyepesi mjini hapa kama ya uafisa mikopo so the bonus is yours kama ukiwa pale.
 
Back
Top Bottom