mkuu nasikiliza Radio live, msimamizi ikitangaza matokeo
Mbatia kapa 11600+
Habari ni za ukweli, update list yako tu
WAPO radio FM 98.0
Safi sana. Kwa matokeo haya naamini JK amefunikwa vibaya sana na Dr Slaa. Maana wao wameshinda kwenye vituo vidogo vidogo.
Majimbo ambayo Chadema imeshinda CCM inawauma kweli