Kawasaki water pump 3 inch for sale

TZ biashara

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
523
107
Water pump ya Kawasaki model FA130 inayo tumia Petroli inauzwa shs 550,000.Mashine hii ilitumika uingereza katika project moja tu na ipo ktk hali nzuri sana.Na ni mashine ya uhakika na bei yake mpya inauzwa £ 450.Inakuja na Outlet pipe mbili zenye urefu wa futi 18 kama inavo-onekana ktk picha.Ipo dar na unaweza kuwasiliana na Habibu 0717810318.
$(KGrHqEOKj8E3E5tt9hTBN8+WE7bvg~~_12.jpg $(KGrHqEOKjcE3GTCyh+TBN8+WmE6gw~~_12.jpg $(KGrHqZ,!l!E3HniKtCuBN8+YI),pw~~_12.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom