Kawambwa/Serikali Iwe makini "SHABAN mlacha vs IDRS.Kikula"

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
SERIKALI ilihalalisha ada iliyoliwa na chuo, ada kutoka HESLB-mikopo kwa wanafunzi kisa/sababu hawajasaini vitabu,

1. ilichuguza ukweli huo?
2. kawambwa/Serikali awe makini na S.mlacha vs I.Kikula
3. udhalimu huo ni ishara mbaya sana.
4. Board na Chuo(BURSAR-UDOM) si waaminifu.

serikali haipaswi kutoa MATAMKO...mwanachuo kuamuliwa kulipa ada ambayo hana ili apate cheti sio sahihi

Alilitamka kirahisi sana bungeni asijue madhara,adha kwa wahitimu,

hivi?

anajua kinachofanywa na ofisi ya ma-bursar udom?

Tatizo la serikali siku zote inaamini sana manen ya kuambia na

waliowaachia dhamana bila kuchunguza. Ni muhimu sasa kufuatilia

hali iliyopo udom kwa wahitimu kudaiwa ada eti bodi haijalipa.

Endapo hali itaendelea kama ilivyo sasa, kwa tabia eti ushahidi

wa wanaodai ada na kuzichukua, nchi hii itaendelea kuwa na

watakaokuwa wamehudumu na kutajirika tena kupitia udhalimu

kama unaoendelea leo UDOM-OFISI ya FEDHA UDOM si salama,

katika hili la graduands wanaodaiwa walipe ada, wataitoa wapi?

source! wanachuo(graduands) wanaohangaika mtaani baada ya

kunyimwa vyeti,na wachache watoto wa wenye afueni waliofanikiwa kulipa ada wanayodaiwa

nawasilisha
 
Tulia halafu eleza vizuri. Yawezekana una hoja but mpangilio wa hoja zako haujakaa vizuri. Anyway, yawezekana kweli UDOM kukuwa na matatizo ya kimsingi kwasababu kuna kelele nyingi zinazotoka UDOM zikilalamika kuhusu uongozi wa chuo.
 
mbona mpanilio wa hoja yako hujaipangilia vzur ka msomi while your a graduate. Kwanin?
 
Najua mtoa hoja ana hoja ya msingi ila kwa hasira ameshindwa hata kujieleza.Nina mdogo wangu naye amepatwa na tatizo kama hilo alipata mkopo wa bodi wa 80% alipoenda kuchukua cheti akaambiwa anadaiwa ada ya mwaka wa kwanza kwani hamna kumbukumbu zozote kuonyesha alilipa.Hivyo tulimshauri alipe hiyo pesa ili akirudi tuanze kuwafatilia kuanzia huku swali
1.Waliwezaje kumruhusu kuendelea mwaka wa pili hadi anamaliza bila kukamilisha ada ya mwaka wa kwanza.
2.Huo ni mchezo unaofanywa na watu wa bodi kwa kushirikiana na watu wa udom kama bodi wana kumbukumbu kuwa walituma pesa kwanini udom hawana.
Nimemshauri na ninawashauri hao wengine kulalamika haitoshi sasa ni wakati wa vitendo inabidi wawafungulie kesi bodi na chuo ili waeleze kwanini wanapishana wakati bodi wanaonyesha walipeleka pesa kwanini chuo wanadai hamna kumbukumbu (kumbukumbu za bodi zipo na risiti walizolipia huko udom zipo) kwa hiyo ni kesi ambayo haisumbui kupatikana ushaidi wengi wa wanachuo hawajui kuwa watapaswa kulipa hiyo mikopo kwa hiyo wakinyamaza itakuwa imekula kwao.Kitendo cha kufungua mashitaka kitawaamusha waliolala kwani kila kitu kitakuwa wazi
 
Jifunze kupanga hoja nakuziwasilisha kwa ufasaha. kila utakakoenda utahitaji kutoa hoja vizuri. la sivyo watu watapuuza hoja zako na watatilia mashaka elimu yako.

QUOTE=mansakankanmusa;4587916]SERIKALI ilihalalisha ada iliyoliwa na chuo, ada kutoka HESLB-mikopo kwa wanafunzi kisa/sababu hawajasaini vitabu,

1. ilichuguza ukweli huo?
2. kawambwa/Serikali awe makini na S.mlacha vs I.Kikula
3. udhalimu huo ni ishara mbaya sana.
4. Board na Chuo(BURSAR-UDOM) si waaminifu.

serikali haipaswi kutoa MATAMKO...mwanachuo kuamuliwa kulipa ada ambayo hana ili apate cheti sio sahihi

Alilitamka kirahisi sana bungeni asijue madhara,adha kwa wahitimu,

hivi?

anajua kinachofanywa na ofisi ya ma-bursar udom?

Tatizo la serikali siku zote inaamini sana manen ya kuambia na

waliowaachia dhamana bila kuchunguza. Ni muhimu sasa kufuatilia

hali iliyopo udom kwa wahitimu kudaiwa ada eti bodi haijalipa.

Endapo hali itaendelea kama ilivyo sasa, kwa tabia eti ushahidi

wa wanaodai ada na kuzichukua, nchi hii itaendelea kuwa na

watakaokuwa wamehudumu na kutajirika tena kupitia udhalimu

kama unaoendelea leo UDOM-OFISI ya FEDHA UDOM si salama,

katika hili la graduands wanaodaiwa walipe ada, wataitoa wapi?

source! wanachuo(graduands) wanaohangaika mtaani baada ya

kunyimwa vyeti,na wachache watoto wa wenye afueni waliofanikiwa kulipa ada wanayodaiwa

nawasilisha[/QUOTE]
 
Hiki chuo kifungwe. Mwaka juzi kuna mdogo wangu alidahiriwa hapa na akapewa na mkopo kutoka bodi ya mikopo. Alipokwenda kuripoti akaambiwa TCU ilikosea kusoma statistics na wakati A-level alisoma EGM. Hivyo akashidwa kujiunga.

Mwaka jana akaomba tena mathematics akapata, lakini bodi ya mikopo ikaonyesha dogo analipwa fedha, hivyo hakuna mkopo. Tukajaribu kufuatilia mara TCU mara Bodi ya Mikopo, mara Udom.

Dodo akashindwa kuendelea kakimbilia Dip. na hela inaliwa na DVC fedha na utawala. Hii inauma sana hasa kwa sisi masikini.
 
Najua mtoa hoja ana hoja ya msingi ila kwa hasira ameshindwa hata kujieleza.Nina mdogo wangu naye amepatwa na tatizo kama hilo alipata mkopo wa bodi wa 80% alipoenda kuchukua cheti akaambiwa anadaiwa ada ya mwaka wa kwanza kwani hamna kumbukumbu zozote kuonyesha alilipa.Hivyo tulimshauri alipe hiyo pesa ili akirudi tuanze kuwafatilia kuanzia huku swali
1.Waliwezaje kumruhusu kuendelea mwaka wa pili hadi anamaliza bila kukamilisha ada ya mwaka wa kwanza.
2.Huo ni mchezo unaofanywa na watu wa bodi kwa kushirikiana na watu wa udom kama bodi wana kumbukumbu kuwa walituma pesa kwanini udom hawana.
Nimemshauri na ninawashauri hao wengine kulalamika haitoshi sasa ni wakati wa vitendo inabidi wawafungulie kesi bodi na chuo ili waeleze kwanini wanapishana wakati bodi wanaonyesha walipeleka pesa kwanini chuo wanadai hamna kumbukumbu (kumbukumbu za bodi zipo na risiti walizolipia huko udom zipo) kwa hiyo ni kesi ambayo haisumbui kupatikana ushaidi wengi wa wanachuo hawajui kuwa watapaswa kulipa hiyo mikopo kwa hiyo wakinyamaza itakuwa imekula kwao.Kitendo cha kufungua mashitaka kitawaamusha waliolala kwani kila kitu kitakuwa wazi

Mtoa mada hana hoja yoyote ya msingi. Tatizo la watoto wanaosoma vyuo vikuu siku hizi ni vilaza sana ndiyo maana wanalalamika bila kujua wanalalamikia nini. Ngoja niwape shule kwa ufupi kuhusu hayo maswala ya Loans board.
1. Mwanafunzi anaposaini mkataba ni kwamba unakuwa ni mkataba kati yake na board, siyo chuo anchoenda kusoma
2. Ni jukumu la mwanafunzi kuhakikisha pesa yake imelipwa kwenye chuo husika, kwa sababu huo ni mkopo anaotakiwa kulipa
3. Ili kuhakikisha kama amelipiwa anatakiwa kusaini payroll inayotoka board ambayo vilevile ni uthibitisho kwamba amepokea hizompesa
4. Mwanafunzi asiposaini payroll pesa husika inarudi board, kwa hiyo ni jukumu la mwanafunzi kufuatilia hiyo pesa kulingana na maelezo niliyotoa kwenyen namba 1

Sasa wewe kaka mtu naomba umuulize huyo mdogo wako. Je alithibitisha kulipiwa kwa kusaini payroll. Kama hakufanya hivyo wewe mlipie tu hata aende mbinguni hatafanikiwa.

Halafu mpe elimu kuhusu mkataba. Siyo anasaini tu bila kujua. Ndo hao wakipewa majukumu watakuwa wanasaini mikataba ya hovyo hovyo
 
Mkubwa hii serikali imejaa maujanjaz. Nashukru wa ushauri wako. Ila mimi wakati nasoma hii kitu ya kusaini mkataba ilikuwepo, payroll ilikuwa hamna.

Na kama mkataba ni kati ya mwanafunzi na bodi, kuna hela ambazo mwanafunzi analipwa kupitia chuo. Mfano hela ya faculty na mafunzo ya vitendo. Zikifika chuo ndo kinapanga kiwango cha hela unayopewa kulingana na mahitaji ya faculty yako au na wapi utakwenda kufanya mafunzo. Hii nimeona sana SUA. Anaeyeenda Mwanza anapata pengine 100000/= dom watakupa 40000/= je hii ni haki?
 
hiko chuo kina matatizo mengi hasa ya kifedha, kwani kuna mwaka chuo kilifungwa kisa mgomo wa kudai field, walisema ela hamna, ila sasa wale wanafunzi waliomaliza 2011ambao walikuwa wahanga wa tatizo hili, wakakuta kwenye statement ya mkopo kuwa ela zao ziliwekwa, ila chuo walizikalia na kutowapa pesa zao. Na cha kushangaza mkaguzi alipita akasema hakuna uozo.
 
Mtoa mada hana hoja yoyote ya msingi. Tatizo la watoto wanaosoma vyuo vikuu siku hizi ni vilaza sana ndiyo maana wanalalamika bila kujua wanalalamikia nini. Ngoja niwape shule kwa ufupi kuhusu hayo maswala ya Loans board.
1. Mwanafunzi anaposaini mkataba ni kwamba unakuwa ni mkataba kati yake na board, siyo chuo anchoenda kusoma
2. Ni jukumu la mwanafunzi kuhakikisha pesa yake imelipwa kwenye chuo husika, kwa sababu huo ni mkopo anaotakiwa kulipa
3. Ili kuhakikisha kama amelipiwa anatakiwa kusaini payroll inayotoka board ambayo vilevile ni uthibitisho kwamba amepokea hizompesa
4. Mwanafunzi asiposaini payroll pesa husika inarudi board, kwa hiyo ni jukumu la mwanafunzi kufuatilia hiyo pesa kulingana na maelezo niliyotoa kwenyen namba 1

Sasa wewe kaka mtu naomba umuulize huyo mdogo wako. Je alithibitisha kulipiwa kwa kusaini payroll. Kama hakufanya hivyo wewe mlipie tu hata aende mbinguni hatafanikiwa.

Halafu mpe elimu kuhusu mkataba. Siyo anasaini tu bila kujua. Ndo hao wakipewa majukumu watakuwa wanasaini mikataba ya hovyo hovyo
Ni rahisi kutamka hayo maneno wakati hujui hali halisi mtu anawezaje kuambiwa hajalipa ada ya mwaka wa kwanza wakati ya pili na ya tatu imelipwa na pia mtu hataruhusiwa vipi aendelee na mwaka wakati ana kiporo cha ada iliyopiya huu ni wizi wa wazi nashangaa unautetea kwa kifupi amelipa ila kama uko bodi au udom jiandae kwa sababu hiyo pesa itaondoka na mtu siyo kila mtu mnaweza kuchakachua pesa zake
 
gongolamboto wewe ni ms%$#ng^%

SWALI DOGO kwa hiyo sasa wanapaswa kusaini, si kunyimwa, upo?

maelezo mfupi: hali ya vyuo kwa mujibu wa wahitimu ni hovyo, payroll hazikupatikana zote. je huu sio upuuzi. leo wanataka vyeti eti walipe! acheni upumbavu nyie watu
 
Ni rahisi kutamka hayo maneno wakati hujui hali halisi mtu anawezaje kuambiwa hajalipa ada ya mwaka wa kwanza wakati ya pili na ya tatu imelipwa na pia mtu hataruhusiwa vipi aendelee na mwaka wakati ana kiporo cha ada iliyopiya huu ni wizi wa wazi nashangaa unautetea kwa kifupi amelipa ila kama uko bodi au udom jiandae kwa sababu hiyo pesa itaondoka na mtu siyo kila mtu mnaweza kuchakachua pesa zake

wewe kweli unatafakari vizur, wengine haya matatizo tumepewa na tumesikiliza na kufatilia japo kwa uchache, sasa eti waziri , bungeni anatoa tamko, huu ni uasherati, wakibakwa dada wa wezao raha, dada zao dhambi, then eti mnaleta kujua, watoto wanaitiwa kazi hamna vyeti. mshen1zi anatetea upuuzi. wezi wakubwa
 
Mtoa mada hana hoja yoyote ya msingi. Tatizo la watoto wanaosoma vyuo vikuu siku hizi ni vilaza sana ndiyo maana wanalalamika bila kujua wanalalamikia nini. Ngoja niwape shule kwa ufupi kuhusu hayo maswala ya Loans board.
1. Mwanafunzi anaposaini mkataba ni kwamba unakuwa ni mkataba kati yake na board, siyo chuo anchoenda kusoma
2. Ni jukumu la mwanafunzi kuhakikisha pesa yake imelipwa kwenye chuo husika, kwa sababu huo ni mkopo anaotakiwa kulipa
3. Ili kuhakikisha kama amelipiwa anatakiwa kusaini payroll inayotoka board ambayo vilevile ni uthibitisho kwamba amepokea hizompesa
4. Mwanafunzi asiposaini payroll pesa husika inarudi board, kwa hiyo ni jukumu la mwanafunzi kufuatilia hiyo pesa kulingana na maelezo niliyotoa kwenyen namba 1

Sasa wewe kaka mtu naomba umuulize huyo mdogo wako. Je alithibitisha kulipiwa kwa kusaini payroll. Kama hakufanya hivyo wewe mlipie tu hata aende mbinguni hatafanikiwa.

Halafu mpe elimu kuhusu mkataba. Siyo anasaini tu bila kujua. Ndo hao wakipewa majukumu watakuwa wanasaini mikataba ya hovyo hovyo

1. Kwa kawaida, mwanachuo kama hajalipa/hajalipiwa ada registration yake inakua restricted na matokeo yanabanwa.
2. Hapa unaongelea watu ambao wamesoma miaka mitatu na hawakukumbwa na vizingiti tajwa hapo juu.
3. Kwa case ya Udom, kumekuwa na ukaguzi mara kwa mara kuhakikisha wanachuo HAWADAIWI. To be specific hawa wanaodai vyeti walipitia ukaguzi maalum kabla na baada ya mitihani ya mwisho (kumaliza mwaka wa tatu.)
4. Kama chuo kilikua kimegundua mapungufu kuhusu nani anadaiwa na nani hadaiwi, wangeweza kuwataarifu wale ambao wamekaa mtaani MWAKA MZIMA wakisubiri vyeti.
5. Tofauti na hapo, watu waliambiwa wakachukue vyeti alafu walipofika chuoni ndio wanapewa habari za kudaiwa.
6. Unaposema mkataba ni kati ya mwanafunzi na bodi na chuo hakihusiki mimi nitakuuliza kwa nini ada inaingia mojamoja kwenye account ya chuo? Kama chuo hakitaki kuhusika basi ada pia isiingie kwao moja kwa moja.
7. Hela ambayo inaingia moja kwa moja kwenye account ya chuo, mwanafunzi mmoja kwa wakati wake anaweza kuhakikisha kuwa ada yake imelipwa? Hapa ndipo yanapokuja makaratasi anaambiwa amelipiwa asign kuhakiki, lakini utunzaji wa hayo makaratasi pia ni tatizo na upotevu umekua ukiripotiwa mara kwa mara.

PS:

- Utunzaji wa kumbukumbu hapo Udom pia si mzuri. Ninao watu nawafahamu ambao waliambiwa wanadaiwa laki tisa kwenye ofisi ya bursar, out of curiosity wakaamua kupanga foleni kuuliza tena na kukuta deni la pili halifanani na lile la mwanzo mathalani kama ulikua unadaiwa laki 9 (kwa mujibu wao) unaweza kuambiwa unadaiwa laki tatu au milioni moja. Hii pekee inatia mashaka kama madeni ni ya kweli.

Kwahiyo mkuu wangu unapowalaumu watu hapa mi nakuona snitch maana hii ishu nimeifuatilia tangu mwanzo and I know every detail. Hapa kuna mchezo.

Kama kweli tuko serious. Udom imeshajiunga na ARIS. Watu wawe wanapewa taarifa kwenye ARIS na ku'confirm huko huko electronically ili kupunguza upotevu wa data na udanganyifu wa kiholela.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom