Kawambwa, Nahodha na Mwema wakutana na wanafunzi UDSM

Nchi lazima itawalike tu. No matter what!. Kama alivyosema JK, wale wanaodhani nchi haitatawalika wasahau. Lazima kushikisha adabu kila mtu anayeleta chokochoko!

Itatawalika kidiplomasia, ila kimabavu, JK asahau...
 
ni kweli mkuu mwema ni shemeji yake bw. Mkubwa, ndiye mjomba wake rz1 yaani kaka yake mama yake mzazi rz1. Aliletwa na mh. Kutoka interpol alipokuwa akifanya kazi ili achukue hiyo kazi ya ukuu wa risasi, mabomu na mawashawasha.
Hayo ndio niyajuayo kwa sasa.
hee kumbe nilikuwa sijui mkuu!
 
Wewe mpumbavu ni mmoja kati ya wale ambao huwa hawagomi hata kama sababu za mgomo huo ni kukuokoa wewe peke yako kutoka katika tatizo fulani.
Wewe unafurahia wenzako zaidi ya 40 ambao wako rumande wakiteseka hadi sasa.
Kama unaungana na polisi hiyo hela ikiongezwa ikatae basi.

Ni upumbavu kufanya upumbavu na bado usijue kwamba unafanya upumbavu na mwisho wa siku ukawaona wale wanao kuambia uache upumbavu ndo wapumbavu,hiyo haikusaidii ila inazidi kukomaza upumbavu ndani ya akili yako na mwisho wa yote utabadili jina na kuitwa mpumbavu!

Ni upumbavu kumchezea simba ndevu afu akikuuma tulalamike kwanini tunatunza simba kwenye mbuga zetu,.....one note,....sio kila anaegoma au anae andamana ana pigania kitu sawa na unachopigania wewe!

Wengine wako kwenye maandamano ila wako kazini pia kuangalia ni nini kinafanyika katika maandamano hayo ambacho sio kwa manufaa ya taifa,....usifurahie kuropoka kila kitu kila mara maana wengine ni kazi yao na wanalipwa kwa kutoa taarifa za mipango yako!

Just notifying you
 
kulikuwa na haja gani kwenda na ulinzi mkubwa na maboom na vifaru na maji ya kuwasha kwenye mkutano wa amani huu ni upuuuzi kabisaaa! Kulikuwa hakuna haja ya polisi kwenda pale na vyote hivyo!
Watu wamekuw wavivu kufikiri kweli miaka hii sijui kwanini!??

Mkuu Henge nimekumiss JF kweli!
Ni kweli kwamba hakukuwa na haja ya kuja na ulinzi wote ule,lakini basi wamesha kuja nao,...kwa nini tuwachokoze?
 
Nimejifunza kuwa sometimes usiegemee upande mmoja tu na kuona kuwa unaonewa,jipe mda kuangalia upande mwingine inawezekana ukawa wewe ndio sababu ya hicho unacho kiona uonevu!

Mimi ni mwanafunzi,madai yetu ni ya muhimu kabisaaaa!
Pamoja na ukweli kwamba sijakubaliana na majibu ya kawambwa,ukweli ni kwamba kila kitu kilikuwa kinaisha kwa amani kabisaaa kama sio kwa vichaa wachache walio anza kuwarushia mawe na chupa polisi na kusababisha polisi wajibu kwa mabomu!

Mimetoka machozi maana sikua na maji,lakini "i don't blame the police today" hata kidogo!
Mwingine anasema kwanini watumie mabomu,wangetumia nini sasa?
au mlitaka watumie risasi za moto au ?
Wanangao za kujikingia wangejikinga kuingia kwenye magari yao na kuondoka hakuna sababu yeyote ya msingi yao kutumia mabomu haipo kabisa ,kwenye maeneo ya mikusanyiko kama hiyo kunakuwa na wehu hili linajulikanan mahali popote
 
Ni upumbavu kufanya upumbavu na bado usijue kwamba unafanya upumbavu na mwisho wa siku ukawaona wale wanao kuambia uache upumbavu ndo wapumbavu,hiyo haikusaidii ila inazidi kukomaza upumbavu ndani ya akili yako na mwisho wa yote utabadili jina na kuitwa mpumbavu!

Ni upumbavu kumchezea simba ndevu afu akikuuma tulalamike kwanini tunatunza simba kwenye mbuga zetu,.....one note,....sio kila anaegoma au anae andamana ana pigania kitu sawa na unachopigania wewe!

Wengine wako kwenye maandamano ila wako kazini pia kuangalia ni nini kinafanyika katika maandamano hayo ambacho sio kwa manufaa ya taifa,....usifurahie kuropoka kila kitu kila mara maana wengine ni kazi yao na wanalipwa kwa kutoa taarifa za mipango yako!

Just notifying you

Asante kwa kunitusi na vitisho.
 
Hiyo sio sababu ya Polisi kurusha mabovu na kuunguza wanafunzi mbaya sana hawa Polisi wanatafuta mtafaruku na wanafunzi kwanza Waziri Mkuu Pinda amesema tuwazomee wezi na wababishaji

Good,lakini hakuwaambia muwapige sio?
Nakumbuka tume wazomea polisi toka wanaingia uwanjani na walikuwa kimya,lakini hata walipo kuwa wanaondoka pia tulikuwa tunazomea na hawakufanya chochote!

Tatizo lilianza pale wapuuzi wachache walipoanza kuwarushia mawe na machupa polisi,...na nashangaa kuna wapuuzi wengine wanao shabikia kwamba wanafunzi wameonewa!

hata kama polisi angekuwa na degree ngapi,na ikitokea anaona anataka kujeruhiwa (kama ilivotokea kwa polisi kurushiwa mawe na machupa) hata ningekuwa mimi ningetumia mabomu ya machozi kuwafukuza!

Sijui ni polisi wa nchi gani duniani wangeacha tu wapigwe,ila ukiwa tofauti unaonekana msaliti!

I will stand for that,TUME WACHOKOZA POLISI LEO
 
Nimejifunza kuwa sometimes usiegemee upande mmoja tu na kuona kuwa unaonewa,jipe mda kuangalia upande mwingine inawezekana ukawa wewe ndio sababu ya hicho unacho kiona uonevu!

Mimi ni mwanafunzi,madai yetu ni ya muhimu kabisaaaa!
Pamoja na ukweli kwamba sijakubaliana na majibu ya kawambwa,ukweli ni kwamba kila kitu kilikuwa kinaisha kwa amani kabisaaa kama sio kwa vichaa wachache walio anza kuwarushia mawe na chupa polisi na kusababisha polisi wajibu kwa mabomu!

Mimetoka machozi maana sikua na maji,lakini "i don't blame the police today" hata kidogo!
Mwingine anasema kwanini watumie mabomu,wangetumia nini sasa?
au mlitaka watumie risasi za moto au ?

Ulisoma shule ya kata gani?
Wajua kuna kanuni inayotaka uwiano wa silaha polisi anatakiwa kutumia, chupa kwa bomu?
Hawakuwa na ngao za kujizuia?
Najua sikuhizi wote wana buti kali na bullet proof
Acha hayo walikuwa wanatakiwa either kuondoka chuoni hapo au kujikinga hivi hujui wenzao wa nchi zilizoendelea huwa hawajibu mapigo kama kuna madai ya msingi na hawatumii silaha kali, uliona au ulifuatilia maandamano ya vyuo vikuu vya uingereza 2010?

Ndugu yangu usikalibishe kuonewa pasipo sababu za msingi na ukifuatilia kwa undani polisi kwa sasa hawa wezi kuiwa marafiki wa wanachuo maana waliwapiga ijumaa na kukamata mpaka wapita njia kisha kusema wanaoandamana sio wanafunzi.
 
Asante kwa kunitusi na vitisho.

Sija kutusi mkuu,nime nyambulisha maneno uliyo tumia tu,sasa sijui ulikuwa unanipaka mafuta!

Anyway,hakuna anaye mtisha mwenzake jf,uko free coz no one knows who you are ila nilikuwa nakwambia ukweli tu!
Na that is the fact,sio kila anae fanya unacho fanya anakuwa na sababu sawa na wewe!

Kwa mfano,unaweza kuona tunaandamana wote na naongea kweli kweli kudai haki,lakini kumbe kati yetu kuna shushushu ambaye naye anachangia kweli kweli kama anaunga mkono tu!
 
kama kuna mdau yoyote mwenye mchanganuo wa madai yao ya 10000 kwa siku naomba auweke hapa...nina maswali mengi sana juu ya 10000 per day.
 
Ulisoma shule ya kata gani?
Wajua kuna kanuni inayotaka uwiano wa silaha polisi anatakiwa kutumia, chupa kwa bomu?
Hawakuwa na ngao za kujizuia?
Najua sikuhizi wote wana buti kali na bullet proof
Acha hayo walikuwa wanatakiwa either kuondoka chuoni hapo au kujikinga hivi hujui wenzao wa nchi zilizoendelea huwa hawajibu mapigo kama kuna madai ya msingi na hawatumii silaha kali, uliona au ulifuatilia maandamano ya vyuo vikuu vya uingereza 2010?

Ndugu yangu usikalibishe kuonewa pasipo sababu za msingi na ukifuatilia kwa undani polisi kwa sasa hawa wezi kuiwa marafiki wa wanachuo maana waliwapiga ijumaa na kukamata mpaka wapita njia kisha kusema wanaoandamana sio wanafunzi.

Nimesoma nsumba secondary,mwanza,........iyunga mbeya (advance) na udsm chuo!
zote za serikali maana mimi mtoto wa mkulima,sijui kama ni za kata kwa vigezo vyako!

Back to your point,sijui kama walikuwa na hizo ngao za kujikinga,lakini vipi kama hawakuwa nazo wange fanyaje?
Tatizo langu sio kuwatetea polisi,ila nakwepa kuegemea upande mmoja kila siku hata kama cause ya tatizo iko upande wako uwasingizie polisi jamani?
 
Kwa uwezo wa mawazo, na akili za kujenga hoja za Kawambwa, Mwema na Nahodha, sikutarajia la maana UDSM...
 
Wabunge na Wadosho wakiomba nyongeza wao wapo realistic eeh!!! Acha uwendawazimu wewe, ukweli ni kwamba cost of living imepanda sana na kwahiyo madai yao ya nyongeza ya posho ya kujikimu ni halali.....[QUOTE=Juma Contena;1594748]Hawa watoto lakini demand zao hazipo realistic based on the state of the economy. Na hizi tabia zina ashiria uchoyo kutoka kwa hawa vijana, mabomu ya machozi wont be a bad thing kuwatia adabu.

Wanataka kuandamana waende kuwasaidia wasomi waliomaliza vyuo na wamekosa ajira hili ufanisi uongezeke serikalini (coming to think of it how many of them will pay back taxpayers money), au waandamane Mkullo afukuzwe kazi kwa kusababisha hali ngumu za kuichumi na kutokuwa na policy sahihi za kukabiliana na hali ya sasa.

Au waandamane raisi ajizulu kwa kuwa hajui suluhisho la matatizo yetu jambo ambalo kakiri adharani.

Lakini si kuandamana kuongezewa hela wakati watanzania wengi wana hali ngumu kama yao, labda waungane na watanzania wenzao kuandamana Mr. President ajiudhuluu.[/QUOTE]
 
Speaker et al, pole kwa kupigwa mabomu. Inaelekea huo moshi umekuathiri.
Anyway, nadhani ungetulia kidogo, bado una hasira.
Nachotaka kuweka sawa ni kwamba kulikuwa hakuna justification yoyote ya polisi kurusha mabomu, hata kama walirushiwa chupa za maji na mawe. Hivyo ni vitu vya kawaida sana, yakiwemo mayai viza; na kwamba riot police normally wanakuwa wamejiandaa (protected) tayari hivyo mara nyingi siyo rahisi wao kudhurika. Walivyojibu kwa kurusha mabomu dhidi ya umati ni makosa makubwa kabisa kwa standard za utendaji wa riot police unless kulikuwepo na tishio kubwa, mfano wanachuo kuwa na silaha.
Hiyo inaweza kutokea tu Tanzania pamoja na state police nyingine. Ni scandal na aibu kubwa kwa mara nyingine tena dhidi ya jeshi la polisi
 
Mkuu kama ukiniuliza mimi what is realistic, kutokana na nchi yetu kuwa na maliasili, maziwa makuu, mbuga za wanyama n.k., yafuatayo yangeweza kuletwa na serikali kwa wananchi wake:-
  • elimu na afya bure
  • huduma za nyumba nzuri (flats) kwa wananchi wasiojiweza kwa bei nafuu
  • huduma za maji na umeme kwa bei nafuu kwa wananchi au kampuni za madini kutoa ruzuku kwa hii huduma sehemu penye machimbo
  • miundombinu ya kufaa Tanzania nzima ili mkulima bidhaa zake ziweze kufika popote
  • viwanda, hence ajira kwa wananchi wote
Mkuu hiyo ndio reality kulingana na nchi yetu ilivyo tajiri

Kaka

that is realistic based on your normative and even mine but it doesnt equate to realistic based on the state of the economy.

to do all that you need money (lots of it to cover 40mil ppl), na serikali so far hasn't got enough (ndio hipo baadhi inaibiwa) lakini our current budget can not cover all those wishes of many; even if embezzelment was put to a stop tommorow (that is realistic).

Elimu bure at first kwa wote is not a best option for now, may be in the future why? kwa sababu our economy is not big enough to accomodate all student that graduate currently and these are the lucky few who have been educated thus far.

Afya yes something has to be done to alleviate the current situation and more money should be pumped there i do side on that argument.

Huduma ya maji is a realistic demand, you can provide water so long as you have the right resources. Electricity utata technology is needed and technology is ever evolving, hence a monoploy provider in tanzania has proven to be a failure so to say this can be achieved easily i dont see it happening under the curent gov considering our income and the expenditure required. May be if other players are allowed in the market to challenge poor managed TANESCO.

Bidhaa za mkulima zina depend on the market demand, and currently the gov higher business taxes and higher bank loans are not the ideal scenario to be describe as investors friendly (do you need that in a country that is seeking development, personally i dont think so).

Viwanda na ajira again our economic policies are not business friendly with higher interest loans and taxes, people would have to sell at higher prices just to stay afloat, considering there are already established players in most fields. What are the chances of surviving in an ever elasticity market to a new small business with a high interest loan in the back.

Mkullo has to go and Ndullu to follow that is realistic.
 
Wanasheria tafadhali jitoleeni kuhakikisha polisi wanafikishwa mahakamani hii polisi kutumia nguvu kwa vitu visivyostahili haifai kabisa IGP mwema kwenda chuo kikuu nikutaka kuwatisha wanafunzi sasa wamemuunguza mwanafunzi kwa kosa gani,wamewafuata kuwadhuru wakati wakidai haki zao za msingi utawala gani huo

Sijuwi kama tunamwanasheriya wakukumbuka haki zawanyonge hilosahau wanaosomakwamabom ndowatatukumbukawanyonge
 
to do all that you need money (lots of it to cover 40mil ppl), na serikali so far hasn't got enough (ndio hipo baadhi inaibiwa) lakini our current budget can not cover all those wishes of many; even if embezzelment was put to a stop tommorow (that is realistic).

Elimu bure at first kwa wote is not a best option for now, may be in the future why? kwa sababu our economy is not big enough to accomodate all student that graduate currently and these are the lucky few got have been educated thus far.

Afya yes something has to be done to alleviate the current situation and more money should be pumped there i do side on that argument.

Huduma ya maji is a realistic demand, you can provide water so long as you have the right resources. Electricity utata technology is needed and technology is ever evolving, hence a monoploy provider in tanzania has proven to be a failure so to say this can be achieved easily i dont see it happening under the curent gov considering our income and the expenditure required. May be if other players are allowed in the market to challenge poor managed TANESCO.

Bidhaa za mkulima zina depend on the market demand, and currently the gov higher business taxes and higher bank loans are not the ideal scenario to be describe as investors friendly (do you need that in a country that is seeking development, personally i dont think so).

Viwanda na ajira again our economic policies are not business friendly with higher interest loans and taxes, people would have to sell at higher prices just to stay afloat, considering there are already established players in most fields. What are the chances of surviving in an ever elasticity market to a new small business with a high interest loan in the back.

Mkullo has to go and Ndullu to follow that is realistic.

Mkuu to answear all your questions i need to write a book as big as a Bible but i will try in three words NO. NO and NO

Point yako ya kwanza:- Free education is not good because we will get many graduates with no jobs?? so is it better to have fools with no jobs?

Point ya pili:- to do this we need money of course we need money but we have means to get money tourism, ports madini etc as well as cutting unnecessary costs.., so you want to tell me we have got money for wakuu wa wilaya mashangingi na baraza kubwa la mawaziri and nothing else..., I pay a lot of tax myself but i dont know where my cash is going and big companies are getting out scot free

What do you mean bidhaa za mkulima zinahitaji demand..., ehh we are producing things Kenyans are buying them and make them into finished products..., thats tells me there is something missing upstairs in our heads.. we need viwanda to make those goods into finished products so that we get ajira as well at the same time.

What do you mean interests taxes and loans kwenye viwanda (after all remember it is the same government which charges taxes) hivi do we need kuagiza toothpicks from china, what about papers..? if the government wants they can increase the taxes on the products of outside to protect the inside products it does not make sense even the cloth of wanajeshi wetu comes from outside when we have cotton and manpower of people who needs to work..., matunda yanaoza vijijini while we can pack them and make them into juice.., the list is endless Mkuu

Let the University Kids fight and squeeze the government instead of blaming the people who are asking for what they are supposed to be given blame the people who are calling themselves leaders while they have got no clue
 
Back
Top Bottom