ni kweli nimeongea na mtu pale wanasema kuwa mwema alipotoka nkrumh akawa hajatoa majibu ya uhakika
walizomewa na FFU wakaripua mabomu ya machozi
Wanasema bomu moja limemdondokea mwanafunzi mmoja kaungua
Mwenye more info pleaz
Nani kawasingizia???:A S thumbs_down: hapakuwepo njia nyingine mpaka warushe mabomu sehemu ya mkusanyiko wa wanafunzi mpaka wamejeruhi
kwa bomu lao kuunguza mwanafunzi
Ndo mana wanasema polisi wetu darasa la 4
Wanafunzi ningewasapot sana kama wangekataa kuongea na waziri mpaka polisi waondoke. aiwezekani kiongozi unaenda kuongea na watu wako umebeba zana za kijeshi. dhalau hiyo.
Njia gani unadhani wangetumia tofauti na mabomu baada ya kuchokozwa?
Hiyo sio sababu ya Polisi kurusha mabovu na kuunguza wanafunzi mbaya sana hawa Polisi wanatafuta mtafaruku na wanafunzi kwanza Waziri Mkuu Pinda amesema tuwazomee wezi na wababishajiPolisi leo hawakuwa na taabu kabisaaaaa tusi wasingizie,.....ingawa kawambwa hakujibu kero za wanachuo,....sisi ndo tume wachokoza polisi kwa kuwarushia makopo ya maji na mawe,unategemea nini kama sio kulizwa?
Tusi wasingizie kwa kila jambo,hata kama hatukupata haki yetu hakukuwa na haja ya kuwatupia makopo ya maji na vitu kama hivyo ambavyo ni uchokozi
Wanasheria tafadhali jitoleeni kuhakikisha polisi wanafikishwa mahakamani hii polisi kutumia nguvu kwa vitu visivyostahili haifai kabisa IGP mwema kwenda chuo kikuu nikutaka kuwatisha wanafunzi sasa wamemuunguza mwanafunzi kwa kosa gani,wamewafuata kuwadhuru wakati wakidai haki zao za msingi utawala gani huo
sina hakika na uyasemayo,ila kama ni yakweli basi hii serikali itakuwa ni ya marafiki kwa %kubwa
ila kilka jambo lina mwanzo na mwisho wake
msema ukweliiii hapendwiiiiii daimaaaaaa:sick:
Kwa hio polisi wakizomewa tu wanapiga mabomu!! hii nimeipenda, na sie walimu tukizomewa na wanafunzi tuwafanyeje kama kila mtu anatumia alichonacho kama silaha yake? je hayo ndio maadili ya upolisi? basi watatumaliza bana
Hawa watoto lakini demand zao hazipo realistic based on the state of the economy. Na hizi tabia zina ashiria uchoyo kutoka kwa hawa vijana, mabomu ya machozi wont be a bad thing kuwatia adabu. ajiudhuluu.
Nimejifunza kuwa sometimes usiegemee upande mmoja tu na kuona kuwa unaonewa,jipe mda kuangalia upande mwingine inawezekana ukawa wewe ndio sababu ya hicho unacho kiona uonevu!
Mimi ni mwanafunzi,madai yetu ni ya muhimu kabisaaaa!
Pamoja na ukweli kwamba sijakubaliana na majibu ya kawambwa,ukweli ni kwamba kila kitu kilikuwa kinaisha kwa amani kabisaaa kama sio kwa vichaa wachache walio anza kuwarushia mawe na chupa polisi na kusababisha polisi wajibu kwa mabomu!
Mimetoka machozi maana sikua na maji,lakini "i don't blame the police today" hata kidogo!
Mwingine anasema kwanini watumie mabomu,wangetumia nini sasa?
au mlitaka watumie risasi za moto au ?
kulikuwa na haja gani kwenda na ulinzi mkubwa na maboom na vifaru na maji ya kuwasha kwenye mkutano wa amani huu ni upuuuzi kabisaaa! Kulikuwa hakuna haja ya polisi kwenda pale na vyote hivyo!polisi leo hawakuwa na taabu kabisaaaaa tusi wasingizie,.....ingawa kawambwa hakujibu kero za wanachuo,....sisi ndo tume wachokoza polisi kwa kuwarushia makopo ya maji na mawe,unategemea nini kama sio kulizwa?
Tusi wasingizie kwa kila jambo,hata kama hatukupata haki yetu hakukuwa na haja ya kuwatupia makopo ya maji na vitu kama hivyo ambavyo ni uchokozi