Elections 2010 Kawambwa apiga magoti na kuomba kura kwa picha ya JK

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
09_10_xa137s.jpg

Huyu Dr Kawambwa anaPhD ni msomi mzuri kabisa, anaweza kuishi bila kunyenyekea na kujidhalilisha kiasi hiki! Amepigia magoti picha duu kazi hizi sintoweza zifanya!

33271jc.jpg

Huyu dada naye nashindwa kumwelewa kama ni mzima kweli
 
Usiichukie siasa maamna siasa ndio inayoamua hatima yetu,tukiiendesha vizuri poa na tukiichukulia kama Kawambwa na huyo mdada basi kwisha kazi.

Alichofanya Kawambwa ni utumwa kwa kwenda mbele,hawa ndiyo sawa na wale waliobadilishana gold na gololi
 
Amedhalilisha sana MaEngineer wenzake!
 
Wanainchi wanaitaji sera sio kupiga magoti kama unasali. Namshukuru Mungu siasa inanipiga chenga na inipige na kanzu kabisa.
 
Shukuru Jumanne Kawambwa

Elimu

Surrey University - UK PhD (Eng.) 1990 1993 PHD
Reading University - UK MSc. (Eng.) 1983 1984 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam BSc. (Eng.) 1978 1982 GRADUATE

Jamaa kabla hajaingia kwenye siasa alikuwa Senior Lecturer pale College of Engineering - UDSM! tokea 2000

09_10_xa137s.jpg

Leo anapigia magoti picha kweli Engineer mzima! Elimu na exposure havijamsaidia kabisa kabisa! To me this is a mental case
 
Shukuru Jumanne Kawambwa

Elimu

Surrey University - UK PhD (Eng.) 1990 1993 PHD
Reading University - UK MSc. (Eng.) 1983 1984 MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam BSc. (Eng.) 1978 1982 GRADUATE

Jamaa kabla hajaingia kwenye siasa alikuwa Senior Lecturer pale School of Engineering! tokea 2000

09_10_xa137s.jpg

Leo anapigia magoti picha kweli Engineer mzima! Elimu na exposure havijamsaidia kabisa kabisa! To me this is a mental case

Kaka ni mfumo mbovu wa Tanzania unadhani atakaaa saa ngapi aandike kitabu wakati hana kitu cha kula?

Ndio maana namshangaa sana Kikwete anaposema maprofessa hawaandiki vitabu kwani hajui sababu za wao kushindwa kuandika vitabu. maprofessa wengi kuhamia katika siasa kwasababu ya shida mshahara kiduchu, pesa za kufanyia research hakuna.

Kwenye makampuni wapo overqualified unadhani wataenda wapi kama sio katika siasa?
 
Broda! Kuliko kudhalilisha professional kivile ni lazima sana ufanye kazi Tanzania? Unajua ukiisha kuwa na career nzuri kama ya Kawambwa wewe ni Citizen of the world! Unarusha tu CV unapata kazi popote duniani bila kupigia magoti picha!

Nimesikitika sana na msomi huyu
 
Broda! Kuliko kudhalilisha professional kivile ni lazima sana ufanye kazi Tanzania? Unajua ukiisha kuwa na career nzuri kama ya Kawambwa wewe ni Citizen of the world! Unarusha tu CV unapata kazi popote duniani bila kupigia magoti picha! Nimesikitika sana na msomi huyu

ukiweka mbali proffesional, kajidhalilisha zaidi mwenyewe.
 
Broda! Kuliko kudhalilisha professional kivile ni lazima sana ufanye kazi Tanzania? Unajua ukiisha kuwa na career nzuri kama ya Kawambwa wewe ni Citizen of the world! Unarusha tu CV unapata kazi popote duniani bila kupigia magoti picha! Nimesikitika sana na msomi huyu

Brother mh lakini kweli hapo umenena mkuu!!!
 
Dah politics za namna hii, i wish i was not born a Tanzanian :mad2::mad2::mad2::mad2::mad2:
 
33271jc.jpg

Huyu dada naye nashindwa kumwelewa kama ni mzima kweli

CCM watakuja kukiona tu mbeleni. Unajua huyu dada hajijui kabisa, ni sawa na mtu aliyechukuliwa msukule kwenda kulima!! How do you kneel down kwa mwanamke huyu? Mdada anaona kama kakutana na Mungu wake....lol!!!

Shame on you, JK & CCM.
 
jamani mwenye CV ya kawambwa naomba aweke hapa nione hivyo vyuo alivyosoma usikute ni honorarial doctorate
 
Kawambwa yuko smart sana ! Anaelimu ya kueleweka hebu pitia post # 7 ! Amehangaika na shule darasani wala si online
 
hate politics? then you have the right to 'shut-up' cause it is none of ur business!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom