Kauzu zaidi ya dagaa!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
Jamaa mmoja alikuwa na mke msamaria mwema sana.Mumewe akinunua vitu yeye lazima agawe kwa majirani.Kutokana na ugumu wa maisha,mume akachukua uamuzi wa kumgawia vitu vyote vya matumizi mkewe kila kunapokucha na akamkataza kugawa vitu kwa majirani.Ikawa kila akiamka anamuuliza mkewe,unataka sukari kiasi gani,sabuni ngapi,chumvi n.k,akishagawa anachukua vitu anaweka kabatini na akamwambia mkewe kwamba haruhusiwi kugusa chochote.Lakini mkewe bado akaendelea na katabia kake kakugawa vitu kwa majirani.Jamaa akaamua aweke mtego,baada ya kumgawia sukari asubuhi,akadaka Nzi mzima akamfungia ndani ya kopo la sukari.Wife kama kawaida yake,jirani kaomba sukari,kwa kiherehere chake akafungua kopo la sukari akagawa sukari,yule Nzi akaruka bila yeye kujua maana ya yule Nzi.Mume aliporudi home jioni,breki ya kwanza kwenye kopo la sukari,kucheki Nzi wake hayupo.Mume alimdaka mke wake na kumpa kipigo heavy huku akiuliza kwa hasira;Nzi wangu ametokajetokaje kwenye kopo la sukari?Majirani wakaja kuokoa jahazi lakini jamaa aliendelea kugawa maumivu huku akirudia swali lake;Nzi wangu ametokajetokaje kwenye kopo la sukari?Majirani wakabaki midomo wazi kwa mshangao!

Na kama inzi alitoka wakati mama akitoa sukari yakttumia hom je

Ukauzu hapo uko wap? . Huyo Mzee anamfundisha mke uchoyo, kama anatoa chakula ila naniii hagawi, kwangu ni fair.

Na kama inzi alitoka wakati mama akitoa sukari yakttumia hom je

Mama kapigwa biti kwamba mara baada ya kupewa mgao wa vitu anavyohitaji,haruhusiwi kugusa chochote mpaka mume aje amgawie tena!

Mama kapigwa biti kwamba mara baada ya kupewa mgao wa vitu anavyohitaji,haruhusiwi kugusa chochote mpaka mume aje amgawie tena!

anamfundisha mke wake uchoyo.

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom