Mkuu toa kabisa na hii posti,hili ni forum ya picha,hivyo posti yako bila picha haina maana kabisa!!Waungwana nimeona niitoe picha kutokana na ukweli kuwa wengi hawakufurahishwa nayo..
Naomba samahani kwa yeyote niliyemsababishia usumbufu kwa namna moja ama nyingine..
TANMO.