Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

''sitaki kura zenu wafanyakazi'' JK
"akili zenu km za mbayuwayu'' JK


mbona za mkapa sizioni?
 
6.Mwantumu Mahiza - Waliomaliza vyuo na kukosa ajira waanzishe miradi ya kufuga kuku inalipa sana.
7.Nape - Tutawashikisha ukuta.

8. Wassira - Mnaulizia mvua kwani nani kawaambia mimi ni waziri wa mvua?


9. OCD Arusha - Wakazi wa Arusha ni mapanya.

Daudi unanifanya ni log off! Ili niendelee na kazi maana nimecheka sana kwa hiyo kauli ya wasira!
 
Riz1 Mtoto wa Kiongozi - Mimi si Fisadi Naishi Kimjini mjini Nina kipande kidoogo cha Uwanja wa Urithi na Toyota Collola Hayo ma Vogue mnayoniona nayo si yangu Bongo tunaishi kijini mjini.. Lake Oil sio Yetu.

Shimbo!

Simtambui kama kiongozi wa nchi hii.
 
1. B. Mramba Waziri--- Ndege ya Raisi Lazima Inunuliwe ikiwezekana hata Wananchi Wale Nyasi.. 2. Ben Mkapa Raisi -- Ununuzi wa Migodi kwa Njia Za Ajabu na Watu wana Wivu wa Kijinga! 3. Magufuri -- Pigeni mbizi kama mkiona nauli ni Kubwa 4. Jk-- Huyu naona ajali kitu tumuache kesi zake ni kubwa tuiachie mahakama kuu- Kelele zenu hazinifanyi nishindwe kulala! 5. Mkulo -- Kila mwananchi atabeba Msalaba Wake... Serikali haimo 6... 7...
mie sio wingu nigeuke mvua pale mtera
 
Bibie Celine Kombani, wakati wa vuguvugu la katiba mpya alisema hakuna haja ya katiba mpya na serikali haina bajeti hiyo, baadae mchakato ulipogeuka sekeseke akasema 'nilikuwa natania kuona reaction ya watu'
That was so lame mama!
 
  • Anna Makinda 'siasa ni wakati wa uchaguzi tu viinginevyo wananchi mtakufa masikini
  • uKISHAZOEA KULA nyama ya mtu hawezi kuachA-JK WA UKWELI
 
Back
Top Bottom