Kauli za Viongozi wa Tanzania Usanii Mtupu.....

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Habari wana Jf,

Kuna kauli zinazotolewa na viongozi wetu ambazo kweli ni usanii, Achana na hii ya Baba Riz 1 ya "Bora maisha kwa kila Mtanzania" ambayo imekuwa kitendawili...... hivi huyu Bosi wa EWURA aliposema mafuta yatashuka kuanzia July Mosi na mpk sasa hayajashuka bali yamepanda na hakuna anayesema chochote maana yake ni nini?? Eti wanamwambia tulikuwa na mafuta mengi sana ya akiba so yakiisha tutashusha... naye kama zuzu fulani akasema sawa.... bila hata kujiuliza kwani mafuta ya taa hawakuwa nayo ya akiba? iweje bei yake ilipanda siku ile ile?? Zipo kauli nyingi ambazo ni kichefu chefu.... ambazo huwa najiuliza hivi hawa viongozi ni waoga, mazuzu au.....HATUNA SERIKALI???

Kama kuna kauli/Agizo lolote ambalo linalokukera hebu iweke hapa......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom