Kauli za kukumbuka wakati wa mjadala wa bajeti bungeni!

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
1. "Sisi wachungaji hatuombei kukua kwa uchumi bali tunawaombea wazinzi wanaokamatwa na wake za watu" - Mch. Peter Msigwa.
2. "Tumefika hapa kwa sababu ya UDHAIFU wa Rais Kikwete, uzembe wa Bunge na kwa sababu ya upuuzi wa CCM" - John John Mnyika.
3. "Ngeleja ana uchungu wa kukosa uwaziri" - Halima Mdee.
4. "This is another SILLY SEASON" - Tundu Lissu.
Ongezea nyingine.
 
'ninaunga mkono bajeti kwa asilimia mia na ni bajeti nzuri lakini kule kwangu mbinga kuna tabu ya usafiri uvuvi serikali imetusahau kabisa' MH. MPOKI
 
Tanzania bado hapajakuwa na viongozi makini wa vyama vya upinzani , waliopo ni wasanii tu ----Prof Majimarefu
 
Kiongozi wa Upinzani Bungeni ametia aibu kwa kuudanganya umma kuwa anarudisha serikalini gari alilopewa atumie ili kupunguza matumizi, kumbe alichotaka ni kupewa gari jipya la kifahari na la kisasa zaidi ambalo serikali ililazimika kulinunua na anaendelea kulitumia hadi sasa........... ...Mchumi Daraja la Kwanza Mwigulu Mchemba.
 
Wabunge kukubali bajeti kwa asilimia mia na wakati huo huo wanalalami kwao hawajapata huduma na hakuna kitu kilichofanyika alafu wanaunga mkono-wabunge ccm
 
1. "Sisi wachungaji hatuombei kukua kwa uchumi bali tunawaombea wazinzi wanaokamatwa na wake za watu" - Mch. Peter Msigwa.2. "Tumefika hapa kwa sababu ya UDHAIFU wa Rais Kikwete, uzembe wa Bunge na kwa sababu ya upuuzi wa CCM" - John John Mnyika.3. "Ngeleja ana uchungu wa kukosa uwaziri" - Halima Mdee.4. "This is another SILLY SEASON" - Tundu Lissu. Ongezea nyingine.
tunataka akili ndogo itawale akili kubwa-mch.Peter Msigwa
 
"Tanzania ni nchi ya tatu kwa kukopa duniani baada ya Afghanistan na Irak" - Deo Filikunjombe.
 
Back
Top Bottom