Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
Kuna mwingine aliwaitwa wanachama wenzake sisimizi wakahama chama na ikawa mjadala kwenye vyombo vya habari
Nadhani alikuwa mama Mahiza, NW, Elimu."Kama mnaona kazi ya ualimu mshahara ni mdogo acheni mkatafute kazi nyingine ya kufanya...Serikali haiwezi kuwabembeleza..." Mkuu na hii ilitolewa na Waziri ghasia dhidi ya walimu waliokuwa wakilalamikia maslahi duni huko Ruvuma mwaka 2009.
Hivi Mramba na Msuya wanatoka wapi?