Kauli za kisiasa zilizowahi kuwaudhi sana Watanzania

Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi.....nafikiri hiyo statement inafanana na ile iliyotolewa na Mh Pius Msekwa..........

7. "You can Go to Hell"........JS Malecela alipokuwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi.........

- Mkuu Ogah, hii kauli Malecela aliitolea wapi maana mpaka leo huwa hatujawahi kuambiwa alipoitolea vipi ukitusaidia alipoitolea na waliomsikia akisema?

Respect.

FMEs!
 
- Eti jamani zipo evidence za ku-back up hizi claims, kwamba wananchi waliudhika? Yaani hawa wananchi hawakuudhika kuibiwa hela zao katika IPTL, Radar, na Richimonduli, lakini waliudhishwa na kauli tu! Labda ndio maana tupo hapa tulipo! taifa la majungu majungu viongozi mpaka wananchi ni majungu majungu,

- Ninakumbuka majungu Zitto anatembea na barua ya kujiuzulu mpaka leo bado yupo Chadema, ndio taifa letu majungu majungu tu na uongo uongo!

- Vipi evidence?

Respect.

FMEs!

Manung'uniko na hasira za Watanzania katika majadiliano yao kila kona ya nchi, unahitaji ushahidi mwingine? Soma posti za wengine pia hapo juu, kumejaa ushahidi wa hasira. Hata ya ufisadi e.g. ya Richmond nayo ni ya kuongeza, ndio maana wanaharakati wanaandaa maandamano
 
- Ahsante mkuu kwa ushahidi wako mzito sana on this subject na believe me hii yako ni Great Thinking at best!

Respect.

FMEs!
 
- Mkuu Ogah, hii kauli Malecela aliitolea wapi maana mpaka leo huwa hatujawahi kuambiwa alipoitolea vipi ukitusaidia alipoitolea na waliomsikia akisema?

Respect.

FMEs!

Ndio 'Respect' ni vizuri, tunahitaji kuandika kumbukumbu iliyokamilika ikiwemo, kujua mahali zilipotolewa ili kukamilisha historia ya nchi yetu juu ya kauli mbaya za kisiasa
 
Ndio 'Respect' ni vizuri, tunahitaji kuandika kumbukumbu iliyokamilika ikiwemo, kujua mahali zilipotolewa ili kukamilisha historia ya nchi yetu juu ya kauli mbaya za kisiasa

- Wewe mkuu vipi unajua Malecela alipoitolea hii kauli? Na kama hujali waliomsikia akisema? Waliotujulisha taifa kuhusu hii kauli ya Malecela waliwahi kusema waliitoa wapi hii kauli?

Respect.

FMEs!
 
“UKITAKA biashara zako ziende vizuri basi jiunge na CCM, chagueni mafiga matatu ili muweze kupata maendeleo, mkichagua upinzani hatutaleta maendeleo.”

Nadhani mnamjua aliyesema hayo, kama haumjui soma HAPA

Hii nayo ilikuwa mbaya na ya kutia hasira, malizia mwaka na mahali mkuu.
 
"Kwani kuna ubaya gani kukumbatia Matajiri kwenye Chama...Tukiita masikini tutaletewa Kuku"!
-Yusufu Makamba, Katibu Mkuu wa CCM, 2009
 
“UKITAKA biashara zako ziende vizuri basi jiunge na CCM, chagueni mafiga matatu ili muweze kupata maendeleo, mkichagua upinzani hatutaleta maendeleo.”

Nadhani mnamjua aliyesema hayo, kama haumjui soma HAPA

- Hivi katika siasa za vyama vingi, technically nini tatizo la hii kauli?

Respect.

FMEs!
 
- Wewe mkuu vipi unajua Malecela alipoitolea hii kauli? Na kama hujali waliomsikia akisema? Waliotujulisha taifa kuhusu hii kauli ya Malecela waliwahi kusema walitumwa nani?

Respect.

FMEs!

Hapana ''Respect''. Ngoja tumsubiri Ogah ambaye ametuhabarisha kuhusu kauli hii ya Malecela amalizie kutuambia ilikuwa wapi, maana inaonekana anafahamu.
 
- Ninakumbuka majungu Zitto anatembea na barua ya kujiuzulu mpaka leo bado yupo Chadema,
...Respect.

FMEs!
Huenda amebadililisha uamuzi wa kusubmit barua, kama ambavyo amebadilisha uamuzi wake wa awali wa kutogombea ubunge. Kwani hukusikia akisema hagombei tena na siasa si chaguo lake? Kwani sasa hujasikia anatathmini jimbo la kugombea? Usishangae akisema tathmini imeonyesha anaungwa mkono zaidi kule Mtera na anaenda kugombea! :D
 
''....nimeonewa sana,nimesemwa sana kwenye jambo hili,nimetukanwa sana,........nimenyanyaswa sana mimi,...!na kwakweli sijatendewa haki!...najua tatizo ni huu uwaziri mkuu..''
 
Hapana ''Respect''. Ngoja tumsubiri Ogah ambaye ametuhabarisha kuhusu kauli hii ya Malecela amalizie kutuambia ilikuwa wapi, maana inaonekana anafahamu.

- Ohhh! kumbe ni ile 70%! alisema Ogah Bwa! ha! ha! Ogaaaaaah! Ahsante sana Great Thinker Watanzania, Bwa! ha! ha!

Respect.

FMEs!
 
Huenda
amebadililisha uamuzi wa kusubmit barua, kama ambavyo amebadilisha uamuzi wake wa awali wa kutogombea ubunge. Kwani hukusikia akisema hagombei tena na siasa si chaguo lake? Kwani sasa hujasikia anatathmini jimbo la kugombea? Usishangae akisema tathmini imeonyesha anaungwa mkono zaidi kule Mtera na anaenda kugombea!
:D

- Ahsante Great Thinker!

Respect.

FMEs!
 
''....nimeonewa sana,nimesemwa sana kwenye jambo hili,nimetukanwa sana,........nimenyanyaswa sana mimi,...!na kwakweli sijatendewa haki!...najua tatizo ni huu uwaziri mkuu..''

- Another, kauli ya kisiasa iliyowahi kuwaudhi Watanzania, ahsante Great Thinker!

Respect.

FMEs!
 
Zinawaeleza kama wamelewa fedha za hazina

Sawasawa, kipengele hiki cha kauli hizo mbaya zinawaeleza vipi wahusika waliozitoa nacho kinahitaji kujazwa, vipi kuhusu kauli 3, 4, 5, 6...na kuendelea zinawaelezaje wahusika?
 
Kuna hii ya Mzee Ali H. Mwinyi enzi zile akiwa raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.....
Alimuachia huru rubani mmoja hivi (Kapt Aziz) aliekutwa akisafirisha dhahabu kwa njia ya magendo..Mzee ruksa alisema;...
"Mama yake amekuja kwangu na amenililia saana ametia huruma sana mama yuule, kasema ni mwanae pekee anemsadia kwani yeye ni mzee sasa. Jamani ametia huruma sana mama yule, nika msamehe Rubani Aziz"
Sasa kimbembe kikaja, watanzania wa Tz wangapi wamefungwa na wazazi wao hawana uwezo wa kumuona Raisi ili wasamehewe?? tena wengine wlifungwa kwa kusingiziwa tu na wengine kwa makosa madogomadogo kama kuiba sahani kwa mama lishe, kuiba saa ya mkononi n.nk!!!
 
kuna kauli alitoa mheshimiwa patrick qorro kule karatu siikumbuki kama ilivyo ila kuna maneno ya kudhalilisha wambulu kwamba vichwa vyao vimejaa maji or something, sijui nani anayo
 
Lazima na nyinyi mliwe kidogo ....nyie mnataka kula bila kuliwa.....te! tee!! tee!! MH. Mkubwa wa Nchi wa sasa Hana Mpinzani
 
Back
Top Bottom