Kauli ya Yusuf Makamba mnaionaje?

Wakati huo huo, Katibu Mkuu wa chama hicho, Bw. Yusuf Makamba alisema ushindi wa mwanawe, Bw. January Makamba katika Jimbo la Bumbuli ulikuwa wa lazima na iwapo angeshindwa ilikuwa ni fedheha kwake na kwa chama hicho.
Alisema kijana wake alipokuwa akigombea kuchaguliwa na chama hicho kukiwakilisha katika Uchaguzi Mkuu hakuwa January kama January bali alikuwa mtoto wa Katibu Mkuu wa CCM, hivyo ilikuwa lazima ashinde.

Source-Majira

Very low!!
 
Namkumbuka Philip Mangula. Yule bwana alikuwa anajua anachokifanya and he was serious with the serious business. Kikwete alifanya kosa la aina yake kumtosa yule bwana. Nasikia sasa hivi ni mshauri wa Rais Zuma kuhusu mambo ya kisiasa. Na tayari yupo Africa kusini.
 
Kazi kweli kweli,shellukindo umeyasikia hayo!!!!!!!!!kakate rufaa kwenye kamati yenu ya uteuzi.ndugu zangu wakati mwingine watu huzeeka vibaya hivyo tusimlaumu sana mzee makamba kwani uwezo wa kifikiri ya kuongea nadhani unapungua kila siku.
 
Shelukindo alishalalamika tena kwa maandishi lakini kesi ya kumshtaki makamba unaipeleka kwa makamba, unafikiri utashinda. Hata kama ni jopo la kusikiliza kesi hiyo watakuwepo akina nani?- Chenge, Rostam, Makamba JK, na wote ambao shulukindo aliwalipua wakati akiwa katika kamati ya madini na nishati - hakika hawawezi kumtendea haki!
Malalamiko ya shelukindo haya hapa:
 
Si lazima agombee kupitia CCM.....its written all over the place...CCM ni ya wanaoifadhili na si ya Wakulima ana Wafanyakazi tena...mkuu si alishasema hataki kura za wafanyakazi?.....Makamba si amesema ilikuwa ni lazima mwanawe ashinde?
 
Huyu kila siku anapenda kuharibu siku za watu sasa ndio nini kwani angebaki kimya watu wasingeelewa mpaka ajiongeleshe????
 
Huyo ndio mzee wa mathreadddddddddddddddddddddddddmwandike mnacho andika mseme mnachosema mteme mnachotaka kesho anakuja na lingine ..
 
....Alisema kijana wake ...hakuwa January kama January bali alikuwa mtoto wa Katibu Mkuu wa CCM, hivyo ilikuwa lazima ashinde.

Source-Majira

hiyo ni kauli ya kumkatisha tamaa ili shelukindo asikate rufaa.
 
Wakati huo huo, Katibu Mkuu wa chama hicho, Bw. Yusuf Makamba alisema ushindi wa mwanawe, Bw. January Makamba katika Jimbo la Bumbuli ulikuwa wa lazima na iwapo angeshindwa ilikuwa ni fedheha kwake na kwa chama hicho.
Alisema kijana wake alipokuwa akigombea kuchaguliwa na chama hicho kukiwakilisha katika Uchaguzi Mkuu hakuwa January kama January bali alikuwa mtoto wa Katibu Mkuu wa CCM, hivyo ilikuwa lazima ashinde.

Source-Majira

:tape:
 
"In the absence of governmental checks and balances present in other areas of our national life, the only effective restraint upon executive policy and power in the area of national defense and international affairs may lie in an enlightened citizenry -- in an informed and critical public opinion which alone can here protect the values of democratic government.. . . . Without an informed and free press, there cannot be an enlightened people"

-Justice Potter Stewart
 
Hivi wajumbe wa NEC wakiamua kumkata mwanae jina lake na kumrudisha mzee Shellu atakuja na kauli gani tena?
 
Namkumbuka Philip Mangula. Yule bwana alikuwa anajua anachokifanya and he was serious with the serious business. Kikwete alifanya kosa la aina yake kumtosa yule bwana. Nasikia sasa hivi ni mshauri wa Rais Zuma kuhusu mambo ya kisiasa. Na tayari yupo Africa kusini.

Mzee Philip alikuwa anaupinga mtandao ulio mweka mkuu madarakani unategemea angeula tena?
 
Namkumbuka Philip Mangula. Yule bwana alikuwa anajua anachokifanya and he was serious with the serious business. Kikwete alifanya kosa la aina yake kumtosa yule bwana. Nasikia sasa hivi ni mshauri wa Rais Zuma kuhusu mambo ya kisiasa. Na tayari yupo Africa kusini.

May it be true and may God bless him!
 
huyu mtu sijui JK alimtoa wapi! Bila shaka Jk atakuwa anaona aibu tu kumwondoa, nahisi baada ya uchaguzi hatamrudisha tena. Real hana sifa za nafasi aliyonayo. alitakiwa awe Mzee wa propaganda kama Tambwe Hiza, kwani hachagui hata lakusema.

Hajaongea kitu kipya. Sana sana ameweka wazi kitu ambacho viongozi wenzake wamekuwa wakikifanya kimyakimya. CCM kwa sasa kimekuwa ni chama cha kisultani. Hiki siyo chama cha wakulima na wafanyakazi tena. Ukiwa na mzazi kiongozi ndani ya CCM au serikalini nafasi yako ya kuwa kiongozi ni kubwa kuliko mtoto wa mkulima au mfanyakazi wa kawaida huu ndiyo ukweli wenyewe.
 
ninatoka ushauri wangu kwa chadema, ninadhani slaa, zitto wako humu. Hilo jimbo la bumbuli ni CHAKULA CHA CAHDEMA MAKE USE OF THAT NAFASI, TAFUTENI KIJANA ANAYEKUBALIKA AMUNG'E HUYO JANUARY, INAWEZEKANA TENA SANA, WATANZANIA WAMECHOKA KUONGOZWA NA VIJANA WA VIONGOZI WA CCM WASION AN KICHWA WALA MIGUU. HAKIKA HILO NA LIKE JIMBO LA SELELII NI MAJIMBO YA CHADEMA PANGENI WATU MAKINI WAABISHE NA HASA HUYO JANUARY NITASIKITIKA KAMA CHADEMA HAITAWEKA MTU MAKINI HAPO BUMBULI!
 
Back
Top Bottom