Kibunago
JF-Expert Member
- Jan 11, 2008
- 300
- 122
Nimefurahishwa sana na kauli ya rais Obama ambayo ameikamilisha sasa hivi juu ya Usalama kushindwa kutafasiri 'bendera nyekundu' na kuchukua hatua madhubuti kumzuia kusafiri mtuhumiwa aliye jaribu kulipua ndege hivi karibuni.
1. Amekiri mapungufu katika intelligence agencies & authority
2. Amesema hatua za marekebisho zichukuliwe mara moja ili Usalama wafanye kazi kwa ufanisi
3. Waliohusika wawajibike katika kila idara / kitengo/ wakala husika
4. Guantanamo itafungwa kama ilivyopangwa ingawa Wafungwa watarudishwa baada ya kuangalia na kupima madhara yaliyopo kwa undani.
5. Hatua kadhaa zimeshachukuliwa kuimarisha ulizi na usalama nchini na nje ya nchi kwa kushirikiana na Mataifa mengine.
NATAMANI NASI TANZANIATUWAPE UWT MANDATE YA KUTOSHA NA PENGINE KUWEPO NA MABORESHO (REFORMS) YA IDARA KUPAMBANA NA UFISADI MOJA KWA MOJA MAANA HAO NDIO 'TERRORIST' WETU TISHIO KWA USALAMA WA UCHUMI NA USTAWI WA NCHI YETU.
KAZI HII IWE NI PAMOJA NA KUWATARGET WAGOMBEA WOWOTE AMBAO WANAPANGA KUTOA HONGO WAKATI WA UCHAGUZI MAANA HII NI 'TERROR' KUBWA SANA JAMANI NA HIVYO UWT WAINGILIE KATI AMBAPO TAKUKURU WANAPATA KIGUGUMIZI!
NARUDIA TENA RUSHWA NDIYO TERROR YA KUPAMBANA NAYO KATIKA NCHI ZETU ZAIDI KULIKO CHOCHOTE!