Kauli ya Rais makini mstaafu BWM inamlenga MKWEERE?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Nimeipenda kauli ya BMW kuwa viongozi wengi wanapenda sifa za kuonekana ktk runinga marakwamara!!
Anasema alisita kidogo baada ya kualikwa ktk jubilee hiyo ya kiongozi wa kiroho huko songea lakini ikambidi afike!

Chanzo itv saa mbili usiku huu!!
 
Tusimpambanishe kaka Benja na ******, nadhani hakumlenga m2 mmoja bali wale viongozi wanaoangukia humo!
 
Km niwazavyo ndivyo basi tafsiri ya Mzee Mkapa ilikua ukitaka kubaki noble katika jamii ni kujichimbia...i.e kufanya yaliyo mema na kujificha sirini...wakati kauli hii ilimlenga Askofu aliyeadhimisha miaka hamsini ya utumishi na angali kwenye huduma!
 
Remeber BMW bado ni mwanasiasa licha ya kustaafu urais, Na board language yake wakati anatoa kauli hiyo ilijiweka kisiasa!!
 
Back
Top Bottom