Kauli ya Mwigulu Nchemba yaiponza Serikali

Duh? Hivi anapata ujiko kusemwa vibaya? Hii nayo kali!
mwenzio kaandika hapo juu kwamba kumjadili mnampa ujiko.. hakusema kumjadili kwa mabaya au mazuri....hilo utajaza menyewe bhana! jamaa anapeta na anawalaza hoi CHADEMA...Mbowe hana hamu naye
 
Mkuu sana, kwa taratibu zilizopo ni kwamba chochote asemacho mbunge akiwa bungeni, na mahali popote pale, ni cha kweli na ukweli halisi. Kama Mwigulu alisema kauli asizo na uhakika nazo basi kazi anayo ima kama ana uhakika basi hakuna kibaya tunachofanya. Lakini pia kwa muktadha huu huu, Chadema inaweza kuwa imeenda nje na haki yao kama wamedai Mwigulu atoe ushahidi kichama zaidi badala tu ya kuomba muongozo wa Madam Makinda ili wapate support rasmi. Mwigulu kama kawa challenged kichama basi tusitegemee majibu.
Mkuu, apate ujiko mara ngapi? mumpe ujiko mara ngapi? mbona mshampa na sasa anapeta nyie ndo mnabaki kupiga kelele zisizo na mashiko tu humu?
 
What a foolish coment! Hivi hiyo haikuwa habari? Sasa ipi ni habari kwa gazeti. Kusema kwamba chama kikubwa cha upinzani nchini kinafanya kazi kwa msukumo wa mataifa ya nje na sio matakwa ya wananchi ni habari ambayo wananchi wanapaswa kufahamishwa. Anachotakiwa Mwigulu ni kuthibitisha, akishindwa ni aibu kwake na chama chake, akiweza ni aibu kwa cdm. Wananchi tutatoa hukumu. Otherwise ni hatari sana kwa chama kuongozwa kwa remote kutoka mataifa ya nje badala ya wananchi wake!

Neno foolish umelitumia wewe, maadili yangu hayaniruhusu kuita comment ya mtu foolish...
Sio kila habari ni habari ya kuandikwa kwenye magazeti...
Mwigulu juzi aliponda bajeti ya upinzani kwa kusema kuwa wapotosha taifa na kutafuta umaarufu. Ndani ya masaa 24 anabadilisha kauli na kusema wanakosoa bajeti kwa interest za mataifa ya magharibi. Haihitaji elimu kubwa kupambanua kuwa Mwigulu is now insane na anaongea nonsense...
Kule Arumeru ni Mwigulu aliyesema kuwa CDM wanafadhiliwa na vyama vya kishoga vya magharibi. Alitakiwa athibitishe,hajaweza hadi leo.
Leo anarudia tena pumba zile zile, na mwandishi anakurupuka kwenda kuandika kama habari. Eti wewe unasema kinachotakiwa ni Mwigulu athibitishe!!! Are you really using your mind?
 
mwenzio kaandika hapo juu kwamba kumjadili mnampa ujiko.. hakusema kumjadili kwa mabaya au mazuri....hilo utajaza menyewe bhana! jamaa anapeta na anawalaza hoi CHADEMA...Mbowe hana hamu naye
acha kutetea uozo wewe,huyu chemba imekulewesha kwa harufu ya mbaya nini?
 
Itakuwa vizuri people have to take accountability for their words,watu wanaropoka 2 inabidi watu wafundishwe nidhamu ya kuongea,
Na hili liwe fundisho kwa Mitakataka inayotumia mimasaburi kufikiri ili kuwapendeza Mabwana zake ili iendelee kuwaibia watanzania mali na wake zao.
 
acha kutetea uozo wewe,huyu chemba imekulewesha kwa harufu ya mbaya nini?
Hoja yako ni ipi hapa? au ndo ushabiki tu? huwa nashukuru mungu UAMSHO na CHADEMA hawapatani tu,, ama sivyo nchi isingetawalika
 
What a foolish coment! Hivi hiyo haikuwa habari? Sasa ipi ni habari kwa gazeti. Kusema kwamba chama kikubwa cha upinzani nchini kinafanya kazi kwa msukumo wa mataifa ya nje na sio matakwa ya wananchi ni habari ambayo wananchi wanapaswa kufahamishwa. Anachotakiwa Mwigulu ni kuthibitisha, akishindwa ni aibu kwake na chama chake, akiweza ni aibu kwa cdm. Wananchi tutatoa hukumu. Otherwise ni hatari sana kwa chama kuongozwa kwa remote kutoka mataifa ya nje badala ya wananchi wake!

huyu kenge sijui alidhani akitangazia umma kwamba alipata A alipokuwa anafanya Masters, tutamwogopa! na akaamini hivyo! sasa anazungumza anadhani watz waleo tunamwona 'Genius', bure kabisa. Ye anadhani tunamwona kiiichwa, kumbe kiazi
 
Mangapi CCM wametuhumiwa nayo chadema hawajafuta kwa nini muhimu kufuta kauli katika hili tu??????????? JK dhaifu tulikataa kufuta.... haijakaa vizuri.
 
Mpumbavu ana akili?
Ana akili lakini hazitumii. Mpumbavu ni mtu ambaye hajui na hajui kwamba hajui. na ndivyo alivyo Nchemba, aka CHEMBA. Amesoma shule akapasi mitihani lakini hakuelimika na hajui kuwa shule haikumsaidia kuelimika. What a waste!!
 
Huyu dogo nadhani siyo nchemba bali chemba tena ya kinyesi. Nitafuatilia yawezekana hata kwa maana ya kwao waliompa jina ni chemba la choo.
 
mnyika aliropoka mno.naona anaunyemelea uenyekiti wa chama,nasema haniwezi,hiyo ni nafasi yangu
 
Endapo wafadhili wenyewe watatia neno katika hili ndiyo utaona jinsi serikali ya CCM itakavyojikanyaga kutoa majibu ya haraka...
 
Hivi Chadema kama chama hakiwezi kumshitaki Mwigulu Kama Serikali itamkana?Ushahidi si upo,Kama wapo wanasheria humu hebu tusaidieni katika hili.
 
koffie pinga hoja kwa hoja acha kupinga kishabiki ..
Hapo ndipo mnaponimaliza kabisa watu wa jinsi yako. Kuna watu humu wanaandika matusi kabisa, sijakuona useme lolote. Hebu ona kama huyu hapa ameandika hivi
Huyu dogo nadhani siyo nchemba bali chemba tena ya kinyesi. Nitafuatilia yawezekana hata kwa maana ya kwao waliompa jina ni chemba la choo.

Sasa mbona wewe STRONG husemi kitu kuhusu matusi ya jinsi hii? tatizo la cdm i kujiona mko sahihi hata pale mnapokuwa mmechemka. Kemea basi na hili tuone kama wewe unajali hoja tu na si ushabiki
 
Mwigulu ni wale vijana Malimbukeni. Sijui lini ushamba utamtoka. Eti "SPESHO" Nikapata A nikasoma Masters nikapata A ptuuuuuu my Foot. Huyu dogo ni bonge la mshamba

Wivu tu, huna lolote. Shida yako umefeli la saba mara 3, na hicho cheti chako cha form 4 ni QT. Kunywa sumu waache watu na nondo zao. Ptuuuuu na wewe.
 
Wivu tu, huna lolote. Shida yako umefeli la saba mara 3, na hicho cheti chako cha form 4 ni QT. Kunywa sumu waache watu na nondo zao. Ptuuuuu na wewe.
Swadakta!! mpashe mbangubangu huyo. Kufeli kwake hakutuhusu siye. Elimu haina mwisho anaweza kurudi darasani
 
Back
Top Bottom