Kauli ya mwalimu julius nyerere mwaka 1990

Kikulacho

Member
Mar 29, 2012
33
12
Mimi nang'atuka lakini nitaendelea kuamini kuwa bila CCM mathubuti nchi itayumba" Kauli ya Mwalimu J.k.Nyerere aliitoa Mwaka 1990 mjini Dodoma.Hata hivyo pamoja na yote haya ina maana CCM kushindwa katika uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki ni dalili ya CCM kuyumba au nini, maana nchi ninaiona iko tulivu na shughuli zinaendelea ingawa wanaowania Urais nadni ya Chama cha magamba wanataka kutuyumbisha,.
 
mwaka 1990 mfumo wa vyama vingi ulikuwa bado haujaanza.

wanaotumia msemo huo kwa sasa wanajifariji tu, na hautawasaidia.
 
Mimi nang'atuka lakini nitaendelea kuamini kuwa bila CCM mathubuti nchi itayumba" Kauli ya Mwalimu J.k.Nyerere aliitoa Mwaka 1990 mjini Dodoma.Hata hivyo pamoja na yote haya ina maana CCM kushindwa katika uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki ni dalili ya CCM kuyumba au nini, maana nchi ninaiona iko tulivu na shughuli zinaendelea ingawa wanaowania Urais nadni ya Chama cha magamba wanataka kutuyumbisha,.

Fikiria na uchambue kwa umakini kauli ya'CCM MADHUBUTI'.LAITI KAMA ANGEKUWA HAI NA USOMI WAKE angekuwa chadema kwa sababu alikuwa bingwa wa kucheza NA SAUTI YA WENGI[SAUTI YA UMMA].DUNIA YOTE INATAMBUA KWAMBA LOVELY PARTY TZ NI CHADEMA.
 
Huyu mzee apumzike pem peponi, nadhani alidhani ccm anicha kwa watu enye akili kpitiliza kumbe ni kinyume, kuna vilaza wa kutupwa, sasa kama L lusinde ni nani huyu,huyu kweli ni kiongozi? Na magamba yanakaa kabisa yakiamini ni mtu mzima wa kutegemea kuleta maendeleo au kulinda maslahi ya chama,bure kabisa. Na ndo maana mkuu nae anaonekana bure kabisa. leo nimomwona kwenye runinga anasema mtoto wa mkulima apewe sijui profoma sijui invoice,hata yeye menyewe hajui, eti ataangalia hela itapatikana wapi kwenye mfumo wa serikali! akikosa?! mi sijui hawa maandazi wametutokea wapi, kila kukicha wanatuletea vitu vyeusi. Mi siku wapigia kura hakya Mungu
 
Jamani mwalimu alimaanisha kitu, "CCM MATHUBUTI" Hebu tujaribu kuchambua umathubuti wa hii CCM kwa nyakati za leo
 
Thithiem! Wazee wa majungu na fitina. Nilikuwa huko lakini niliondoka kutokana na kuona hawafuati itikadi ambazo niliamini ni bora kwangu. Tulikutanishwa na itikadi tu na sio urafiki. Thithiemu si mama yangu.
 
"BILA CCM madhubuti", alimaanisha bila chama tawala madhubuti (chochote) asingeweza kusema CDM wakati haikuwepo by that time!!!
 
Mwl alisema hayo kwan kwa kipindi hicho,bado upinzani haukuwepo,au kuwa imara kwa miaka ya karibuni!
Ndio maana pg 2 utakuta thread yangu inayosomeka USHAURI WA BURE KWA CCM.
Hapa ninahmiza CCM Ijiimarishe ili ijiandae kuwa chama makini cha upinzani,maana Chadema ndio inachukua nchi hvyo,na bila upinzani imara,bado chama tawala kinaweza kujisahau.
NI MTAZAMO WANGU TU.
 
hivi Nyerere aling'atuka mwaka 1990?

Aling'atuka Urais 1985 lakini akabaki na Uenyekiti wa Chama na akaendelea kizunguka nchi nzima kukiimarisha ndiyo baadaye nadhani 1999 or 1992 akang'atuka Uenyekiti na kurudi Butiama kulima.
 
Aling'atuka Urais 1985 lakini akabaki na Uenyekiti wa Chama na akaendelea kizunguka nchi nzima kukiimarisha ndiyo baadaye nadhani 1999 or 1992 akang'atuka Uenyekiti na kurudi Butiama kulima.
Nafikiri ulimaanisha 1989
 
Mwl. alikuwa sahihi kutokana na mazingira yalivyokuwa wakati huo, chama kilikuwa ni kimoja tu; hivyo ni sahihi kama chama siyo madhubuti nacho ndicho kinachotengemewa nchi itayumba.
Kwa sasa mazingira yamebadilika; na kasi ya mabadilko ni kubwa, CCM inashindwa kuyamudu, kwa vilevile sasa siyo chama kimoja tena, hata kama CCM siyo madhubuti nchi haiwezi kuyumba.
 
Aling'atuka Urais 1985 lakini akabaki na Uenyekiti wa Chama na akaendelea kizunguka nchi nzima kukiimarisha ndiyo baadaye nadhani 1999 or 1992 akang'atuka Uenyekiti na kurudi Butiama kulima.

Kikulacho na Kimbunga mnanifanya niamini kuwa ninyi ni watoto waliogoma kujifunza historia ya Tanzania ama ninyi ni wakubwa wasahaulifu na wapotoshaji.

Nyerere, JK aling'atuka katika urais wa JMT 1985 ndipo Ali Hassan Mwinyi akamrithi urais. Nyerere akabaki kuwa Mwenyekiti wa CCM hadi 1987. Katika Mkutano Mkuu wa CCM, Dodoma ndipo alipoachia Uenyekiti na Mwinyi alipochaguliwa kuwa Mwenyekiti wa pili wa CCM.

Nia ya kujiuzulu Urais ifikapo 1985 wakati wa Uchaguzi wa Rais na Wabunge na kisha Uenyekiti wa CCM 1987 wakati wa Uchaguzi Mkuu CCM, Mwalimu alikwisha tangaza toka mwanzoni mwa 1985 kama siyo mwishoni 1984.

Tujadili "Bila CCM madhubuti, ...."
 
"Bila Si Si Em imara, nchi itayumba"! Hili nalo una ubishi nalo we mtu? Si Si Em ya leo full magamba na ni lege lege kuliko Chama chochote cha siasa na ndiyo maana nchi inayumba. Uchumi uko hoi; migogoro ya ardhi inachipuka nchini kote; maliasili za nchi yetu zinaporwa mchana kweupe huku Si Si Em ikiwalinda wezi kwa mtutu wa bunduki; RA akiamua leo kusitisha uingizaji wa nishati nchini lazima akapigiwe magoti na prezidaa; PM akitoa kauli fulani leo, kesho yake bosi aliyemteua anakuja na kauli ghalati! Huoni kama nchi inayumba kwa ulegevu wa SI si em?????
 
Kweli bila CCM madhubuti nchi itayumba....
Ila kuna ambao wanaotumia maneno kama ya Lusinde kukifanya CCM kuwa na viongozi wengi wenye upeo mdogo...
Ila mnakumbuka Lusinde alienda CCM miezi kadhaa kabla ya Uchaguzi akitokea Chadema?? Je haya yote amejiufunzia CCM au CDM...

KILA ANACHOFANYA BINADAMU HUJIONA YUKO SAHIHI...
 
ili upate uongoz kupitia CDM sifa kuu uwe na upeo, kwa hyo Lusinde aligundua sehemu pekee ambayo hata kichaa,mbumbumbu, taira, mwehu,mwizi, fisadi anaweza kuwa kiongozi ni CCM ndo maana alikimbilia huko.
 
Nchi iyumbe mara 2? afadhali uharibifu wa Mkapa kuliko wa JK, Mkapa alikuwa mkali na ukimwangalia usoni kweli amenuna mpaka watanzania tukasema ananuna mno! tukataka smiling face sasa chamoto tunakipata.
 
Back
Top Bottom