Kauli ya Mh. Aden Rage dhidi ya Mh. Msigwa si ya kiungwana!

Mwacheni tu atukane maana anajua M4C inakuja pia Tabora, na hawezi kupona.

Tupende tusipende jimbo la Tabora mjini 2015 lazima liende upinzani, sioni mahali ambapo Aden Rage anaweza kuponyoka kutokana na harakati za kisiasa zinazoendeshwa kwa kasi na Chadema kanda ya kati kwa sasa.

Hawa jamaa wa CHADEMA wamejipanga na kudhamiria kisawasawa kuyachukua majimbo kadhaa ya mkoani Tabora(Tabora mjini,Nzega,Igunga,Bukene,Sikonge).

Kama Aden Rage ni mjanja ninamshauri achunge sana mdomo wake kwa sasa, ama awaulize Dr. Kafumu na Dr.Kingwangwala ambao vifo vya ubunge wao ndani ya CCM viko wazi na dhahiri, asijifanye hajui akili za wanyamwezi zikoje, asubiri tu muda ufike moto umwakie.

Wahenga walisema ''Usitukane wakunga na uzazi ungalipo''.
 
Naweza kusema wapenzi wengi na wanachama wa CDM vichwa vyao vikubwa kama kambale lakini havina uelewa inawezekena rage amekosea lakini neno hilo angelisema mbunge wa CDM mngelimsifu na kutungiwa methali ila kwa upande wenu kumbe yanawachoma'FOOL'
 
Utakuwa unaumwa!

kwa lugha ya kiswahili sanifu lina maana ya mshenzi: kimstakabari, bunge ni mahala patakatifu, lugha za kejeli, karaha, kuudhi, hazitakiwi.na pia ni lazima watu waanze kujifunza kusitahimiliana kwa hoja na si kutukanana.rage ni mhuni, ndo maana alifungwa kwa wizi.napata shaka ccm na weledi wao kumpitisha mtu aliyekuwa amefungwa, ina tia shaka uadilifu wake.Hiyo kusema alishinda rufaa, aliishinda baada ya kupata msamaha na rufaa, hiyo aliifanya kiujanjaujanja baaday msamaha.hivyo kwa watu weledi uadilifu wake una shaka.pia hata simba walitakiwa kutilisa shaka wakati anakwenda moro united na kuwanyima tonge mdomoni, leo ati ni mwenyekiti wa simba.Kimsingi kisiasa kavamia taaluma ambayo hana uwezo nayo, na hivyo kuita shaka waliomchangua walikuwa na fikra gani?rushwa au umakini?
 
Kuna kosa gani kumuita mtu a fool?
MSOMALI mwenzake angethubutu kumuita hivyo, ww huwajui hawa watu wanaubaguzi mkubwa, na kujikweza? kwao Mswahili ni mtu wa Daraja la chini wanaona heri ya mwarabu na Mhindi ambaye sio kafiri
 
Ismail Rage,Kasim Dewji,Hassan Hasanoo ndio wanaongoza kwa kununua pembe za tembo hapa dar!ofisi yao ipo haidery plaza!na huzibeba kwa magari ya STK ofisi ya waziri mkuu toka lindi.Ipo siku mtaamini maneno yangu
 
kweli tabora mlijitahidi kutuchagulia mbunge wakati chadema wawaumbua wezi wa maliasili zetu,ccm wanawaita fool?
nani kakwambia tabora wanachagua mtu....kule we weka bendera tu unapita, wanachagua chama sio mtu
 
yule IQ yake ni ndogo sana sana, sasa nashangaa kuwa watu wenye IQ kubwa jf mnamjadili.
 
i dont believe on the color of the skin, kama rage akawe mbunge somalia, how about Obama?
Umenishtusha sana unaposema ulikuwa unamuona Rage a.k.a Alshabab ni mtu wa maana! kwa lipi? si aliwahi kufungwa kwa kuiba pesa ya FAT?? akatishia watu kwa pistol kwenye kampeni Igunga sasa anafyonza pesa za klabu yetu ya simba amekula hata rambirambi ya marehemu mafisango?

Huyu anatakiwa arudishwe kwao nawashangaa sana watu wa tabora kuongozwa na msomali jangili hata kama mnaipenda ccm hakuna mbantu mwenzenu? acheni kutuletea aibu tunakumbuka na kuheshimu sana mchango wa mtemi Mirambo kwenye ukombozi wa taifa hili, msimuangushe hivo!!
 
Uislam na swaumu za kweli zenye ku swii kwa mwenyezi Mungu ni uarabuni tuu, Wenzetu waarabu mwezi Huu mtukufu huacha kazi zao, biashara zao na Kukaa nyumbani na familia zao ili kukwepa Najaribu Kama hayo si wengine tunasindikiza tuu na katika swaumu za watu 1000 zinazo swii au kupokelewa na Allah si zaidi ya kumi duniani na kwa hapa bongo si zaidi ya 1-1000 ivo simshangai rage kwa kufanya mazoezi ya kushinda na njaa....Mungu amsamehe
 
Naweza kusema wapenzi wengi na wanachama wa CDM vichwa vyao vikubwa kama kambale lakini havina uelewa inawezekena rage amekosea lakini neno hilo angelisema mbunge wa CDM mngelimsifu na kutungiwa methali ila kwa upande wenu kumbe yanawachoma'FOOL'



Yani umenilazimisha kuku qoute japo na smell BAN Wacha nikachangie thread zingine au comments nyingine na sio comments ya KOTAMA Kama wewe
 
Rage is a convicted CRIMINAL before the court of law. That is a PLAIN TRUTH. It is because of our bad constitution that is why he is out of jail. If it was not that, Rage should be behind bars and not in the parliament. I stand to be corrected.

no correction mkuu,that guy should be behind the bars.he pissed me off too.
 
kauli aliyotumia sio ya kiungwana, sio tu ni mbaya kwa msigwa lakini inaharibu kabisa muonekano wa bunge letu .in short kauli kama ile ilikuwa inatumika na wakoloni.
 
Kwa lugha hizi za Rage basi bora nihame simba, nitakua shabiki wa Manyema
 
Hakuna nchi yoyote duniani ex-jailbird Ismael Aden Rage angeweza kuukwaa ubunge isipokuwa Tanzania tena kwa kupitia chama cha wahalifu wenzake, that is the plain truth.
 
Hakuna nchi yoyote duniani ex-jailbird Ismael Aden Rage angeweza kuukwaa ubunge isipokuwa Tanzania tena kwa kupitia chama cha wahalifu wenzake, that is the plain truth.
Before he went to jail "alistaafishwa kwa manufaa ya umma akiwa mfanyakazi wa CDA". No one with straight mind will take him seriously or even listen to him when ha talks "kwa manufaa ya umma"
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom