Kauli ya Mh. Aden Rage dhidi ya Mh. Msigwa si ya kiungwana!

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Mh. Aden Rage,

Mheshimiwa wakati unachangia hotuba ya upinzani, umepotoka kwa kumuita mwenzako (Mchungaji Msigwa) a fool!! Nilikuwa nakuona kama mtu wa maana kumbe hauko hivyo. Uko kwenye mfungo mtukufu unamwita mwenzako mpumbavu ( a fool) . Lugha kama hiyo kwa mtu aliyefunga kwa maungamo, haifai. Fungua tu, wala hutapata thawabu.

Lugha kama hiyo haifai toka kinywani mwako. Kumbe ndio maana Simba haisongi mbele kama hekima yako ndio hiyo.
 
Umenishtusha sana unaposema ulikuwa unamuona Rage a.k.a Alshabab ni mtu wa maana! kwa lipi? si aliwahi kufungwa kwa kuiba pesa ya FAT?? akatishia watu kwa pistol kwenye kampeni Igunga sasa anafyonza pesa za klabu yetu ya simba amekula hata rambirambi ya marehemu mafisango?

Huyu anatakiwa arudishwe kwao nawashangaa sana watu wa tabora kuongozwa na msomali jangili hata kama mnaipenda ccm hakuna mbantu mwenzenu? acheni kutuletea aibu tunakumbuka na kuheshimu sana mchango wa mtemi Mirambo kwenye ukombozi wa taifa hili, msimuangushe hivo!!
 
Kweli tabora mlijitahidi kutuchagulia mbunge wakati chadema wawaumbua wezi wa maliasili zetu,ccm wanawaita fool?
 
Tusi poteze muda kumjadili mtu mwepesi kama rage.

Najua amefanya makusudi ili wananchi wamjadili.
 
kati ya viongozi wa mpira nisiowaamini tz ni pamoja na rage. Msomali huyu anakula mpk pesa ya rambirambi, duh!
 
Mh. Aden Rage,
Mheshimiwa wakati unachangia hotuba ya upinzani, umepotoka kwa kumuita mwenzako (Mchungaji Msigwa) a fool!! Nilikuwa nakuona kama mtu wa maana kumbe hauko hivyo. Uko kwenye mfungo mtukufu unamwita mwenzako mpumbavu ( a fool) . Lugha kama hiyo kwa mtu aliyefunga kwa maungamo, haifai. Fungua tu, wala hutapata thawabu. Lugha kama hiyo haifai toka kinywani mwako. Kumbe ndio maana Simba haisongi mbele kama hekima yako ndio hiyo.
huyu jamaa uwezo wake wa kuelewa unatia mashaka na unashangaa Tabora walifikiria nini kumfanya mwakilishi wao.

Mfuatilie michango yake na utakubaliana nami. Labda kwa vile brother wake alisoma na JK ndicho kilimsaidia.

Hapo kwenye red, nimemuona juzi ITV akisema kuwa wamepata Euro 700,000 kwa kumuuza Emmanuel Okwi ambazo wangezitumia kuendeleza uwanja wao huko Bunju na mshangao wangu ni kumuona Okwi akirejea Bongo!!
 
yaani huyu al-shabab kanitibua inawezekana huwa anakaa tu mjengoni hasikilizi kitu kinacho changiwa, na wabunge yeye anakulupuka kujibu tu, kagasheki katua mimacho alipo ambiwa anafurahia kupokea vifaru(rhino)

simba tusiludie tena kumuweka huyu maharage kwenye uongozi tena
 
Kweli tabora mlijitahidi kutuchagulia mbunge wakati chadema wawaumbua wezi wa maliasili zetu,ccm wanawaita fool?

wanasemaga unavuna ulichopanda...so wana tabora wanajivunia walichopanda wakati wa uchaguzi 2010
 
umenishtusha sana unaposema ulikuwa unamuona Rage a.k.a Alshabab ni mtu wa maana! kwa lipi? si aliwahi kufungwa kwa kuiba pesa ya FAT?? akatishia watu kwa pistol kwenye kampeni Igunga sasa anafyonza pesa za klabu yetu ya simba amekula hata rambirambi ya marehemu mafisango? huyu anatakiwa arudishwe kwao nawashangaa sana watu wa tabora kuongozwa na msomali jangili hata kama mnaipenda ccm hakuna mbantu mwenzenu? acheni kutuletea aibu tunakumbuka na kuheshimu sana mchango wa mtemi Mirambo kwenye ukombozi wa taifa hili, msimuangushe hivo!!

hivi kwanini watanzania hatuna uzalendo wa kuheshimu watanzania wenye asili nyingine??hakuna nchi duniani inayoendelea na wazawa peke yake ndio maana toka zamani wakulima na wafugaji walikuwa wanahama hama ili kutafuta maendeleo,sasa mimi naona itungwe sheria mtu yeyote atayemwambia mtu wewe sio raia wa tanzania bila uthibitisho alipe faini au apewe kifungo kwani hiyo iko mpaka mitaani watanzania wenye asili mbalimbali wanapata shida ya kutukanwa kuwa siyo watanzania kwa kuwa tu rangi yao ipo tofauti.
 
umenishtusha sana unaposema ulikuwa unamuona Rage a.k.a Alshabab ni mtu wa maana! kwa lipi? si aliwahi kufungwa kwa kuiba pesa ya FAT?? akatishia watu kwa pistol kwenye kampeni Igunga sasa anafyonza pesa za klabu yetu ya simba amekula hata rambirambi ya marehemu mafisango? huyu anatakiwa arudishwe kwao nawashangaa sana watu wa tabora kuongozwa na msomali jangili hata kama mnaipenda ccm hakuna mbantu mwenzenu? acheni kutuletea aibu tunakumbuka na kuheshimu sana mchango wa mtemi Mirambo kwenye ukombozi wa taifa hili, msimuangushe hivo!!
Unamaanisha yule haramia mstaafu aliyekwiba zawadi ya Yanga pia??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom