Kauli ya Membe yaanza kumtesa

Jamani mimi sijaelewa hapa mwandishi wa taarifa hii anaelewaje kauli ya Membe imeanza kumtesa. Acheni ushabiki wa. Kijinga nani ambaye hajui kwamba gazeti hili la Mtanzania ni la Rostam Aziz na nani hajui ukaribu wa Rostamu Aziz na EL. Ni vema tukajadili hoja kuliko opinion zingine zenye ushabiki wa kisiasa. Ikumbukwe kuwa wakati Membe alipozikomalia pesa za Radar kurejeshwa Tanzania toka uingereza, gazeti hili la Mtanzania liliandika taarifa kwamba Membe anawaandama wapinzani wake bila kungalia hoja na maslahi ya nchi. Gazeti hili limegua Wabunge Watatu kuwakilisha

Kwa hakika sijapata kuona uchambuzi finyu na thread ya kishabiki kama hii. Kwanza hata ukiangalia sampling ya wale waliohojiwa na utashi nauelewa wao ni aibu. Iddi Azzan ambaye hakufika hata sekondari ataelewa nini kuhusu uchambuzi na mahojiano ya kisomi kama yale. Kwa watu walio na kiu ya kusoma watakuwa na ufahamu kwamba majina ya wahusika wa mauzo ya rada sasa yako wazi na siyo siri tena. Mtu hapati shida kwamba gazeti la Mtanzania ambao sasa limebaki la kufungia maandazi tu kutokana na kujiua kwake, linasimiamia nini na hata umiliki wake ukoje.

Ukweli unabaki kwamba watu wanajaribu kupika kashfa ambazo kila wakizibandika kwa Membe hazigandi. Suala la deni la Libya kwa wanaojua ni hila za waliokuwa wanazitaka na sasa wameungana na mafisadi wengine kulipa kisasi na katika hili Membe ni mweupe kama pamba. Thread hii haina mashiko na kutapatapa kwa kawaida kwa wale mapacha na wapagazi wao.
 
u rais unaoteshwa? Unasubiri uoteshwe ndo u contest? Be serious man! Hupendi watu smart na wenye fedha zao? Kisa wana madharau? Kama viongozi ni legelege kwa nini tusiwadharau?
 
Membe ananiacha hoi anaposema ataoteshwa kugombea uraisi! Lol. Hivi wanaJF uraisi unapatikana kwa kuoteshwa?
Alafu mbona asemi ipo siku ataoteshwa kujiuzuru uongozi au kustahafu ili kupisha wengine wenye mawazo mapya?
Kama wagombea wa nafasi ya uraisi kwa kupitia ccm ndo wanamawazo mgando kama ya huyu Membe, Dr Slaa piga jalamba baba.
 
Soft Centered Membe hana ubavu kabisa wa kutaja mtu yeyote dunia hii. Dhaifu sana huyu bwana, seeking a cheap popularity
 
Membe ananiacha hoi anaposema ataoteshwa kugombea uraisi! Lol. Hivi wanaJF uraisi unapatikana kwa kuoteshwa?
Alafu mbona asemi ipo siku ataoteshwa kujiuzuru uongozi au kustahafu ili kupisha wengine wenye mawazo mapya?
Kama wagombea wa nafasi ya uraisi kwa kupitia ccm ndo wanamawazo mgando kama ya huyu Membe, Dr Slaa piga jalamba baba.

Mkuu kama haujui kiswahili ni vyema ukakaa kimya.
Kuoteshwa ni tamathali za usemi ikimaanisha kupata ile inner calling juu ya jambo husika.
Lazima upate msukumo toka ndani wa kutumikia watu kwa ngazi hiyo ndio ugombee.
Tafakari
 
Soft Centered Membe hana ubavu kabisa wa kutaja mtu yeyote dunia hii. Dhaifu sana huyu bwana, seeking a cheap popularity
Hili gazeti la mtanzania hivi huwa linam serve. Nani hasa? Sote tunajua kwamba ni yuleyule fisadi anayeifilisi nchi hii na bado ana tamaa ya kula zaidi EL! Gazeti hili lina sifa moja kuu nayo ni UONGO! Na pia kuvuruga watu imekuwa ndiyo mtaji wao wa biashara. Huwezni kutarajia kupata ukweli kwenye gazeti la namna hii na sidhani kama kuna watu wananunua gazeti hili ambalo limepoteza mvuto kwa jamii. mwoneeni huruma EL.......afya yenyewe mgogoro, bora mumshauri apumzike
 
Mie nachojuwa ukienda spain first 11 ya kandanda ya sasa inafahamika na wao wanajifamu fika yani kina cesc,inesta kadha wa kadha na uhakika hao wabaya 11 Mhe Membe wanajifahamu fika pia , hapa kinachofanywa na gazeti la MTANZANIA sio pre-emptive action bali ni premature ejaculation
 
Jamani Wandugu, Ben K. Membe hata akipewa jahazi aliongoze, i.e nchi hii HAIWEZI, bora hata ya JK mara mia moja. Chukua mzani, Mweke DR Slaa Wilbroad Na Membe, ita watanzania waulize wanamtaka nani watakwambia.

Hivi wee kilaza unadhani Urais ni kubeba zege? Urais ni taasisi ewe mchovu wa mawazo.......hata wewe unaweza kuwa RAis unless ni mbwiga wa kutupa au kilaza. Think!
 
Mie nachojuwa ukienda spain first 11 ya kandanda ya sasa inafahamika na wao wanajifamu fika yani kina cesc,inesta kadha wa kadha na uhakika hao wabaya 11 Mhe Membe wanajifahamu fika pia , hapa kinachofanywa na gazeti la MTANZANIA sio pre-emptive action bali ni premature ejaculation

Mkuu utauwa!
 
Skills4Ever,

Simuoni BM anaweza kushindana na bingwa wa mikakati EL. Subiri mkutano wao mkuu wa uchaguzi baadaye mwaka huu ndiyo utajua EL ni nani CCM.

Hiyo ni kweli.. Ccm watauana na kupeana sumu wenyewe kwa wenyewe kabla hawajaanza kuwashuhulikia wabaya wao cdm
 
Nashukuru kwa uchovu wa mawazo nilio nao (kulingana na mtazamo wako). Kwa mtazamo wangu, Jakaya K ni bora kuliko Benard M....najua umechukia kwa kauli yangu kuwa Ben HAIWEZI NCHI HII, Ni kweli haiwezi. Viongozi wengi tunawafahamu tu kwa majina na jinsi wanavyopambwa magazetini.....ila uwezo hawana.

Unawafahamu viongozi kweli au unashabikia siasa ambazo huzijui......If my posts confused you in capital letter, the coming step is death!! Simaanishi ukubwa wa mtu, au cheo alichonacho kwa sasa, au elimu.

Kinachomshinda Membe ni "Multiple Personality Disorder" na wewe humjui Membe....Bora Pombe John Magufuli huyu ana uwezo ambao hata JK hana, anawafunika wote. ILA INBIDI PIA USOME ALAMA ZA NYAKATI KWAMBA CCM HAIKUBALIKI.
 
"Multiple Personality Disorder" aliyonayo inadhihirisha UDHAIFU NA UPUNGUFU ALIONAO. Ukweli unabaki kuwa ukweli, kama mtu hawezi hawezi tu, kwanini kumtengeneza na kumpamba ili aonekane anafaa. Sifungamani na upande wowote especially FULANI anapokuwa rais, hawi rais wa chama ila Rais wa either Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Au rais wa jamhuri ya Tanganyika, .....

Vyovyote iwavyo, Brazillian umewaza mbali na hapa naweza kuona upeo ulio nao. Katika hiyo first 11, yeye ni striker No.1
 
Cjui kama ccm tuna mtu wa kumtoa dr slaa ulingoni. Acha dr slaa aiongoze tz tufike salama. Membe,6,sumaye ,el,wote wana siasa za kizamani na upeo mdogo wa madaraka ya kuitawala inchi.
 
Tumsaidie Membe awataje maadui zake wa kisiasa kwa faida gani tunayopata toka kwake? Who is Membe by the way mpaka eti asaidiwe kuwataja maadui zake wa kisiasa? Nawachukulia wote km ni walewale tu. Akina Lowassa, Rostam na yeye mwenyewe Membe ni walewale tu waroho wa madaraka na wabinafsi in the name of politics. Membe anaonyesha elements za kibabe sana akipewa madaraka ya urais. Asitishie watu anaweza kuwa yeye ndiye wa kukimbilia Kenya, Mungu si Athman ati.
 
‘Hili nawaachia Watanzania waamue, lakini kuna watu 11 wakiwamo waandishi wawili wa habari, nitawatwanga kweupe, nyie suala la urais 2015 subirini tu, nitawaanika peupe bungeni tena kwa majina," -Membe.

Alipoulizwa kama atagombea urais mwaka 2015, alishindwa kuweka wazi msimamo wake kwa kile alichosema kuwa hajaoteshwa juu ya nafasi hiyo.

"Ole wao nioteshwe, ipo siku nitaoteshwa, najua nchi hii ina watu wanaoivuruga na hawataki kuona mafanikio, ukisema unataka kujivua gamba utaona wana uwezo wa kuchonga uongo, hao wanatumia vyombo vya habari kuchonga uongo-Membe

"Kwa mfano, unawakaribisha vijana kama wa Chadema nyumbani kwako, unawapa chakula baadaye wanageuza mambo, we waache tu.-Membe
 
Back
Top Bottom