Kauli ya ki-hujuma iliyotolewa na CHADEMA dhidi ya CUF

CUF wa bara acheni roho mbaya kuwakana wenzenu wa Zanzibar kwa kuwa nyie wamoja na mnatawala sehemu ya Tanzania.... Nyie komaeni kuwapa shavu CCM watawapeni bakshishi hata kidogo mkatulizie koo..kuliko kuhangaika na Dr. Slaa wakati yeye sio mbunge yuko pembeni kama nyie tuu... Halfu yeye chama cha upinzani nyi watawala... Kama vipi mshutueni makamu wa kwanza pale Mhe amweke ndani huyu bwana fulani na chama fulani ckae....

FORZA CHADEMA
 
CUF Wameolewana CCM tena ni NDOA ya Mkeka kwa MAHALI ya Makamu wa Rais wala usibishe hilo.
Huu haukuwa mpango wa CUF kama chama ni mpango wa Viongozi wa CUF pekee yao.

Nimeona mara nyingi chadema mkikebehi chama ha cuf kuwa wameolewa na ccm. Hii inaonyesha vyma vya upinzani au kusema siasa kwa ujumla bado changa nchini Tz. Si CCM, CUF, CHADEMA, NCCR wala TLP, wote mna kauli chafu, hamna uvumilivu wa kisiasa na kila mmoja hudhani ni bora na mkweli kwa wananchi kuliko mwengine. You are all the same.
 
Duh..yaani kwenye hiyo picha ya mashujaa wakitoka nje kuna wabunge wanawake wawili naona wanazomea waziwazi akiwemo Anna Abdala
 
CUF hawapendi kuambiwa ukweli. Nini tusichofahamu watanzania mpaka sasa kwamba cuf ni ccm ndogo. Iacheni Chadema bana kimtindo wao. Dr. Slaa anawaumiza sana vichwa hahahhah kitaeleweka siku si nyingi subra yavuta heri bandugu. Ni hivi CHADEMA ni chama pekee cha UPINZANI Tz.
 
Julius Mtatiro ni kama Tambwe Hizza, na yuko njiani kwenda chama mam CCM, hivyo anajaribu kutumia nguvu kubwa na kajeli kama mtaji wake wa kwenda CCM ili naye akapate ulaji kama TH. Nenda salama CCM .
 
Nimeona mara nyingi chadema mkikebehi chama ha cuf kuwa wameolewa na ccm. Hii inaonyesha vyma vya upinzani au kusema siasa kwa ujumla bado changa nchini Tz. Si CCM, CUF, CHADEMA, NCCR wala TLP, wote mna kauli chafu, hamna uvumilivu wa kisiasa na kila mmoja hudhani ni bora na mkweli kwa wananchi kuliko mwengine. You are all the same.

Wapi uliona CHADEMA officially wakikebehi CUF? Tofautisha kauli za watanzania au wanaJF hapa na CDM. CUF wanalaaniwa na kupata kebehi kutoka kwetu wtanzania kutokana na mienendo yake inayoonekana kuiunga mkono CCM hasa pale CCM inapowakumbushia muafaka wao Zanzibar. Hivo machoni pa wazalendo wanaonekana kama wasaliti ila CDM hawajawahi kuwakashifu kuwa wamefanya vibaya kuwa na muafaka Zanzibar.

Ngoma inakuja pale ambapo CDM wanataka kusimamia masuala ya kitaifa na CUF wanataka wawe wenzao huku vitendo vyao ni tofauti. CUF wameungana na CCM ni kwa manufaa ya wanzibar kama wanavodai, well: laikini mbona wanakasirika wakiambiwa wanaushirika na CCM kwamba wako serkalini? Wanaonekana kuchanganyikiwa hawajui athari za kuungana na CCm ni nini hata kama ni kwa maslahi ya wazanzibar.
 
kwani mwenyekiti wa CUF na wa CCM si ni wale wale bara na visiwani? hakuna tofauti hapa inawezekanaje chama kuwa madarakani na wakati huo huo kuwa chama pinzani?
 
CUF wameshafulia.

Hawa kwa sasa SI WAPINZANI WA KWELI. Huwezi kuwa mpinzani wakti huohuo UNATEKELEZA SERA ZA CHAMA TAWALA. Hiyo haingii akilini hata kidogo. Kwa sasa hivi kule Zenj SHARIFF HAMAD ANATEKELEZA SERA ZA CCM, sasa Mtatiro atuambie ni lini atazipinga hizo SERA MFU ZA CCM ZISIZOTEKELEZEKA? Sera ambazo zimejaa longolongo tupu.

CHADEMA Ndiyo tumeanzisha VUGUVUGU LA KUDAI KATIBA MPYA hoja ambayo imeonekana ina mashiko na mpaka sasa inaendelea ku-gain momentum. CUF kule Zanzibar wameibiwa KURA na kila mtu anajua hivo. LAKINI KWASABABU CUF wameamua kuusaliti UPINZANI wameamua kunyamaza kimya ili WAINGIE KWENYE COALITION GOVERNMENT.

Nataka niwambie CUF na Mtatiro kuwa SERIKALI SHIRIKISHI(COALITION) zime-prove failures maeneo mengi sana na hasa kwa Afrika. Angalia pale Kenya na Zimbabwe ni VURUGU tupu kila kukicha.

CUF kwa sasa tunaweza kusema wameshafunga NDOA NA CCM kwa maana ya KUOLEWA na hivyo basi hawawezi KUTOA UPINZANI WA KWELI NJE NA NDANI YA BUNGE. Naweza kutumia lugha iliyo wazi na rahizi kabisa kuwa CUF KWA SASA NI VIBARAKA WA CCM. Ukiangalia na kuwachunguza CUF kwasasa wanaonekana KUTUMIWA NA CCM KUVURUGA UPINZANI NA HASA CHADEMA. Huo ndiyo ukweli.

Kwa hiyo CUF wasipige makelele ya KUTAKA KUUNDA KAMBI ISIYO RASMI YA UPINZANI BUNGENI. Waaasche mara moja.
 
ahsante ndugu mtatiro kwa kuionyesha Jamii ya watanzania ,UJINGA,UPUUZI,UMALAYA NA USHENZI WA CUF.kumbe mnataka muolewe na vyama vyote

Zanzaibar mmeungana na CCM

Tanzania bara mmeungana na Kambi isiyo rasmi-TLP,NCCR na UDP

na bado mnataka kuungana na CHADEMA kuunda kambi rasmi??

CUF ni zaidi ya malaya ,msifanye hivyo wako wapemba bado wana imani na nyie msiwaangushe hata kama chama kina kufa kiueni taratibu
 
Lakini nyie cuf si ni nyumba ndogo ya ccm, mbona hamridhiki? Wacheni tamaa za kichangu doa,na wewe Mtatiro unajidanganya kuwa hapo umefika, huwajui wapemba ni wabaguzi kuliko makaburu, halafu wewe kwao ni kafiri tu, kamuulize Mzee Mapalala, hao si watu wema hata kidogo.
 
ahsante ndugu mtatiro kwa kuionyesha Jamii ya watanzania ,UJINGA,UPUUZI,UMALAYA NA USHENZI WA CUF.kumbe mnataka muolewe na vyama vyote

Zanzaibar mmeungana na CCM

Tanzania bara mmeungana na Kambi isiyo rasmi-TLP,NCCR na UDP

na bado mnataka kuungana na CHADEMA kuunda kambi rasmi??

CUF ni zaidi ya malaya ,msifanye hivyo wako wapemba bado wana imani na nyie msiwaangushe hata kama chama kina kufa kiueni taratibu
Nafikiri wanataka madaraka zaidi hawa watu maana kelele wanazopiga na ile hoja waliyoipeleka bungeni ikagoma
 
Freeman_Mbowe.jpg
 

Attachments

  • Freeman_Mbowe.JPG
    Freeman_Mbowe.JPG
    150.6 KB · Views: 49
Hivi kuna tija gani kuungana?

Tulianzisha vyama vingi ili tuwe na mawazo mbalimbali kwa faida ya wananchi!

CUF lets them fight kwenye uchaguzi ujao..
 
Haya sio maneno ya mtatiro.Angeandika mtatiro ungekuwa upupu zaidi.mtatiro ni mtu mwenye panic na yupo tayari hata kufa kwa jambo ambalo hajalielewa vizuri.
Tusubiri kauli ya mtatiro.
 
Yeeeeeeeeeeeees maneno msumari na bila ya shaka yeyote yamewafikia walokole na ndio tumeona wamekuja juu kama moto wa nyasi.

Hao ni CUF ambao wameshasema kuwa hawatalamba mguu mtu ! nakumbuka ilipowambia CCM kuwa wasitegemee CUF kurudi mezani. Kwa ufupi ujumbe umefika.
 
Mtatiro,

Hebu sikiliza wimbo wanaoimba watu wa kwenu.

Naona na wewe PULESHA inapanda, inashuka............

Mke (Mtatiro/CUF) na bwana(CCM) wake watahaha kweli mwaka huu.....

Baada ya Egypt, tunaanza Tanzania. Hapo watu nepi lowolowo....




Mbona hao (kwenye video clip) ni watoto?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom