Kauli ya JJ Mnyika: Kwa nini?

Sure mkuu badala ya kuogopa kumwambia mfalme yuko uchi ni vizuri akaelezwa ili ajitupie japo msuli!!

hapa tunasumbuliwa na matatizo ya kiswahili,kuna kitu kinaitwa SIFA, sifa yaweza kuwa both side yaani positive na negetive.Raisi wa selikari ya TZ ana sifa hasi yaani ya UDHAIFU, na hiyo ni si yake hatuwezi kuibadirisha.Sasa mi sioni matatizo ya JJ Mnyika kama kataja sifa moja wapo ya bosi wake.Angesema nchi imefikia hapa tulipo kutokana na uhandsome wa rais wa TZ sidhani kam hata hii thread ingekuwepo.....JJM hajakosea hata.........
 
mzee waandishi wa habari wanavizia ukuu wa wilaya, hivyo usitegemee kuweka mambo ambayo yako against the system
 
Back
Top Bottom