Mpambalyoto
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 752
- 3
Aiseee!! Yaani kuna bilioni zaidi ya 700 zimechotwa kati ya 2008/9? OMG, hii si mara sita ya zile za EPA? Aaaah, I better go for war! Yaani mbayuwayu wananyimwa mishahara na wanafunzi wa vyuo vikuu wanakosa mikopo wakati kuna bilioni hizi zote zinatafunwa na hawa wehu? For real, I better go for war kuliko kuwaachia nchi hawa majambazi.
And again, kumbe kule kuanguka ni HIV? Hii sasa kali! Mbona siku ya kampeni ya Tanzania bila UKIMWI inawezekana aliwaongoza watz kwenda kupima na akasema yeye na mkewe wako safi kumbe ilikuwa danganya toto? Kaazi kwelikweli.
Mfalme hakai uchi hata siku moja