Kauli ya First Lady wa Dk. Slaa, Josephine

Tundu Lissu alisema kuwa Chadema hawako tayari kufanya siasa za majitaka; na kwamba Watanzania hawako katika kujadili mambo hayo, kama hali ya afya za wagombea, ambao baadhi wanadaiwa kuwa na virusi vya ukimwi kiasi cha kubadili damu kila baada ya miezi, na kwamba kwa sababu ya unyonge huo, baadhi yao waanguka mara kadhaa jukwaani.

:becky::becky::becky: MKUU KWA HIYO ILE KUPIMA DAMU HADHARANI ILIKUWA GELESHA....! HAKI YA MBONGO ..:becky::becky::becky:

KAAAAAA MJINI SHULE...! ndio maaana majibu mpaka leo hayajatokaaaa...!!!!!!!!!
 
Mimi nina wasi wasi na huyu Josephine, hajatumwa kweli na CCM kumwangamiza Dr. Slaa maana jibu lake nimeona limekuwa rahisi mno. Eti 'kutokuonana na mumewe kwa miaka mitatu basi ndio kibari cha yeye kuolewa" huyu dada sidhani kama kweli, hayo ni maoni yangu tu na si ya mtu mwingine, maana huyo mumewe anadai mpaka march mwaka huu walikuwa pamoja na ndipo alipoanza kuonesha hali ya kutokuwa mwaminifu. Hivyo kama kutoonana ni kuanzia april mwaka huu.
Dr. Slaa akipata pingamizi lolote kwa kugombea urais wa kubebeshwa lawama ni hawa wawili ndugu zangu watanzania, Josephine na huyu anayejiita mumewe.

I see!
 
Ishu hii haipo ktk kanuni ya kumwekea pingamizi mgombea.
Mie nasisitiza kwamba CCM ni mafiosi wanaotumia anymbinu wabaki ktk power.
Kuna kiongozi yeyote ambaye anaweza kuja hadharani na kuthibitisha kwamba siyo MGONI?
Nan?

Tunatoka ktk hoja za msingi na kupotoka kwenye uhalifu wa kiblackmail.
Kweli Watanzania wengi ni MISUKULE
 
Jambo kubwa la muhimu ni nani atafika mwanzo mahakamani ,nijuavyo ni tayari jamaa ameshawakilisha madai yake mahakamani dhidi ya Slaa na uyo mhusika wa kike, jamani watu wanasema siasa ni mchezo mchafu ,sasa mnapiga makelele ya nini ,na huyo mwanamke hakionekani alichosema hapo ,mi nilidhani atakanusha kumbe amerukia mahesabu ya mafisadi kwa kwenda mbele ,hivi hayo ndio yatamwokoa ,jamaa hataki makubwa anadai haki itendeke. Mkuu amenasa.
 
Mgonjwa wa ukimwi huwa anaanguka? Hii symptom ni mpya kabisa ya ugonjwa wa ukimwi.

Karibu kila Mtanzania amewahi kuwa na ndugu mwenye ukimwi na dalili zao zinajulikana. Hii ya kwamba mtu anabadilishiwa damu kila mara na ndio maana anaanguka nafikiri ni kijembe kisicho na fact kabisa.

Ukimwi ni ugonjwa unaodhoofisha kinga za mwili.
Mosi. kinga zikiwa hafifu unaweza pata aina yeyote ya ugonjwa pamoja na kuishiwa nguvu sasa ukiishiwa nguvu unajua nini kinatokea.
Pili. Dawa za kurefusha maisha nyingi zina athari mbali mbali pamoja na presha kupanda au kushuka
tatu. dawa za kurefusha maisha pamoja na ugonjwa vinaweza sababisha matatizo mengine ya afya, haswa dalili au hali ya kifafa, kuweweseka nk. Yote haya yanategemea muda na uwingi wa virus.

Kumbuka ndugu zetu wengi wanakufa bila kufikia misukosuko mingi ya ugonjwa huu sababu ya umasikini, lishe, na ukosefu wa dawa na vipimo thabiti.
 
Mkuu, statement za kisiasa, usizichukulie Kitaaluma zaidi. Yale yalikuwa ni "Soft Attach" kwamba hata wao wana data. lakini message has been sent to shut their mouth or face the music wamwage date.

It is politically simple and clear.
 
Mimi nina wasi wasi na huyu Josephine, hajatumwa kweli na CCM kumwangamiza Dr. Slaa maana jibu lake nimeona limekuwa rahisi mno. Eti 'kutokuonana na mumewe kwa miaka mitatu basi ndio kibari cha yeye kuolewa" huyu dada sidhani kama kweli, hayo ni maoni yangu tu na si ya mtu mwingine, maana huyo mumewe anadai mpaka march mwaka huu walikuwa pamoja na ndipo alipoanza kuonesha hali ya kutokuwa mwaminifu. Hivyo kama kutoonana ni kuanzia april mwaka huu.
Dr. Slaa akipata pingamizi lolote kwa kugombea urais wa kubebeshwa lawama ni hawa wawili ndugu zangu watanzania, Josephine na huyu anayejiita mumewe.

Kamnda unajua sheria ya Ndoa ya 1971 inasemaje kwa wanandoa waliotengana kwa zaidi ya miaka 2?
 
Katika hiyo red, hakuna kifungu kama hicho kwenye katiba. Kuwa na subira tu.

Time will tell mwaka huu.
 
Kamnda unajua sheria ya Ndoa ya 1971 inasemaje kwa wanandoa waliotengana kwa zaidi ya miaka 2?
Mtaibua na kubukua sheria zote ,ila kwa hili mkuu hatoki ,labda wamuonee huruma ,jingine ni aibu kwa kiongozi wa Chama kubaka wanawake tena wanaoonyesha kuwepo kwa undoa ,yaani haiingii akilini kabisa ,kwa mheshimiwa kama Slaa kuvaa mwananmke ambae data zake zina utata ,na sasa ndio analipa price.
 
Mkuu, umetembelea kule kwenye thread ya: KIKWETE: IN Black and White?

Hoja hizo zikiibuliwa na vyama vyote, nani atakayesimama? Dont be surprised kuwa hata hii siyo issue kama ilivyokuzwa.
 
nimeambiwa huyu kasomea sheria (hasa za masuali ya dini yake) hivi hizo sheria kwa nn kaamua kuzivunja baada ya kuzifuata ?
 
Mambo ya Ngoswe, mwachie ngoswe mwenyewe!

Tutayasikia toka mahakamani: Both Mbivu na Mbichi.

Simple and Clear!
 
kweli nimekubali kuwa CCM ni chama cha kimafia kwa mtiririko huo nimechoka kabisa...Natamani kila mwananchi ajue huovu wa hiki chama ambacho kimefanya hii nchi kuwa mali yao. Jamani yatupasa sasa tu amke toka kwenye huu usingizi!
 
Aiseee!! Yaani kuna bilioni zaidi ya 700 zimechotwa kati ya 2008/9? OMG, hii si mara sita ya zile za EPA? Aaaah, I better go for war! Yaani mbayuwayu wananyimwa mishahara na wanafunzi wa vyuo vikuu wanakosa mikopo wakati kuna bilioni hizi zote zinatafunwa na hawa wehu? For real, I better go for war kuliko kuwaachia nchi hawa majambazi.
And again, kumbe kule kuanguka ni HIV? Hii sasa kali! Mbona siku ya kampeni ya Tanzania bila UKIMWI inawezekana aliwaongoza watz kwenda kupima na akasema yeye na mkewe wako safi kumbe ilikuwa danganya toto? Kaazi kwelikweli.
 
Mkuu, umetembelea kule kwenye thread ya: KIKWETE: IN Black and White?

Hoja hizo zikiibuliwa na vyama vyote, nani atakayesimama? Dont be surprised kuwa hata hii siyo issue kama ilivyokuzwa.

Mheshimiwa ,panapoungua au kuteketea ni hapa kwetu ,let us say Chadema,sasa sisi ikiwa ni wakombozi wategemewa inatakiwa tuwe clean ,wasafi tusiolingana wala kufanana na tabia za yule tunaetaka kumuondoa in any way's, hili lililomkumba Dr Slaa natumai halipo katika tabia nzuri na ,mambo kama haya yanatokana na kuchagua watu kwa umaarufu wao bila ya kuwachunguza tabia na mwenendo wao kutoka huko walikotoka ikiwezekana tokea walipokuwa shule , hilo hatulifanyi ,kichama na ni kutokana kuwa vyama vyetu vipo katika umimi na sio umoja na mkubaliko wa wengi ni wachache tu ndio wa kusikilizwa na wenye nguvu walitakalo ndilo hutekelezwa , hivyo haya tuyaonayo ndio faida zake.

Walikutana na kumpitisha Slaa au sio ,kuwa mgombea wa Uraisi ,hakuna aliehoji uhalisia wa Slaa kitabia ,umaarufu wa kupasua mabomu pale bungeni ndio umewezesha kwa yeye kupitishwa ,au sivyo ? Mnajua mtu anaweza kuwa msemaji mkuu kabisa na akawa machachari ,mkali akisema anatoa cheche ,lakini nyuma ya yote hayo tabia yake sio nzuri na imejificha ,pitia masomo ya saikolojia yatakwambia mtu wa aina hiyo mara nyingi huwa anaficha tabia yake ,na tabia ya Slaa hapa inaonekana anatatizo flani flani. Ajabu kwamba bado kuna watu hawalioni hili na wanaendelea kumutetea wakilinganisha na kuyafananisha na mambo ya CCM.
 
Back
Top Bottom