Kauli ya Dr. Slaa kuhusu hoja za ccm Jangwani - CCM mna majibu ya tuhuma hizi??

Kilomita zaidi ya 11,000 kwa kipindi cha Kikwete tu ni upuuzi? huyu mzee kweli hamnazo.

Amesha jiuliza, Mkoloni, Nyerere, Mwinyi na Kikwete na yeye akiwemo hukohuko kabla ya ujio wa Kikwete walitengeneza kilo mita ngapi? jumlisha zote pamoja na za Slaa, uone kama zinafika hata nuzu za hii miaka 7 tu ya Kikwete.

Kumbuka, ukitoa mkoloni, Nyerere miaka 24 KM ngapi? Mwinyi (na Slaa akiwepo)? Mkapa ngapi? Kiwete zaidi ya KM 11,000.

Amma kweli akutukanae hakuchagulii tusi.

wewe huna tofauti na manunda wenzio kina jk na mzee wa gombe. hizo barabara km 11 elfu bado si kitu kwa tanzania. vibarabara vyenyewe vimejengwa hovyo, kila siku ajali. istoshe, kazi ya kujenga hizo barabara si ya kuchukuwa miaka saba, mwaka na nusu tu. akili za magamba zina matege!
 
CCM ikifikia mnaanza kujibishana badala ya kufanya kazi basi siku zenu za kuishi uongozini zinahesabika. Kwahiyo badala ya kufanya kazi nyie mtazunguka kila mkoa Chadema ilikopita?

ukombozi umefikia kwako hongera ff
 
hayo ccm waliosema jangwani cndio wanayosema ckuzote mbona hakuna jipya nathani hao mawaziri cku yajana wangebaki maoficni mwao nakutumia ule muda kusaidi kutatua hayo waliokuwa wanayongea badala yazilembembe walitunyesha yale mashati yao ya ccm hivi hii serikali imepungukiwa busara kiasi hicho kwakweli kwasasa ikohaja ccm wakae pembeni inakuwaje ile posho yakukaa mmeipeleka mpaka mikutano yahadhara ikokazikwelikweli watanzania tufikiri zaidi yatunauona huu uongzi
 
Walisahau kuzungumzia deni la serikali ni kiasi gani kwa sasa ukilinganisha na miaka 7 iliyopita. Kwangu mimi wangejinasibu kwa kusema kwamba wamejenga hizo barabara kwa fedha zetu na si kwa fedha za kukopa na kutuhakikishia kuwa hatuna deni lolote kwa miradi hiyo. Wanafuja fedha zetu then wanakopa kufanikisha miradi ya maendeleo kwa maana hiyo ni bora wasingesimama na kujitia aibu mbele ya wananchi.
 
siasa za maji taka ni kuwachanganya watu akili zao ili kufanikiwa malengo yako
 
Wataifuta hii nyuzi sasa hivi, wao wanaweka picha watu wanaanza kuingia uwanjani ndio wanasema za mkutano.
 
CMD ni chama makini sana!

Dkt. Slaa aliposema nikikosa urais nitakijenga chama walikuwa hawajaelewa,zile kebehi za jk za kusema wapinzani ni vyama vya msimu zinawagharimu wanaacha kutekeleza ilani ya chama chao wanahaha kujibu hoja tena bila kiwango 2015 si mbali ufisadi kila kukicha,wameshikwa pabaya wanatapatapa na hii M4C ya kusini kichwa kinauma very fantastic!
 
CCM ikifikia mnaanza kujibishana badala ya kufanya kazi basi siku zenu za kuishi uongozini zinahesabika. Kwahiyo badala ya kufanya kazi nyie mtazunguka kila mkoa Chadema ilikopita?

Sometime huwa mnafikiria mambo ya maana,
hiyo ndio CCM mliyokuwa mkiitetea viongozi wameacha majukumu yao,
wanaanza kuzurura nchi nzima kueneza propaganda,kisa eti wanataka kushindana na chadema,
hizo kazi nani atafanya?
 
Hawana majibu kabisa, kwanza hata sasa hivi uwafuate na kuwauliza waliyozungumza jana jangwani nakuhakikishia hakuna atakae kumbuka,

Hawatakumbuka kwakuwa mioyo yao ilipingana na uongo wao!

mkuu umenena jambo lililo sahihi kabisa na ndivyo hao wezi walivyo
 
Kwavile tu ccm ni wajinga maana wangekuwa wajanja wasingewajibu kwa kupitia majukwaa wala kwa media bali kwa vitendo kwakutekeleza yale yote waliyoahidi ktk kampeni zao na wala wasingepoteza wafuasi na muda wa kujibizana bali wangefanya kazi zaidi
 
Hizi ahadi mpya za "kujenga sukari" kama alivyosema mzee wa Gombe ziko kwenye ilani gani? Zile 99 zimesha tekelezwa au hizi ni maandalizi ya ahadi mpya kwa mwaka 2015?
 
CCM imezeeka....na mashabiki wake wakubwa ni wazee au vijana ambao hawafanyi kazi (wavivu) hivyo kuwa kama wazee tu in labor force.....ndio maana hawana nauli,hawana miamvuli,hawana nguo na kula ubwabwa kwao ni nadra.
Wapiganaji na hata viongozi wa CCM wenye akili wanashabakia mageuzi ya kweli that's why kwenye makazi ya viongozi wa nchi hii mbunge anatoka upinzani.
CCM kimekuwa chama cha ahadi ambazo zina overlap kila kukicha....NAPE anaifaya CCM mali yake na kupima umaarufu wake bila makada wenye mlengo wa LOWASSA.
 
Dr kawashika pabaya nyinyiemu! Le hii ukimuuliza wassira na Nape walicho kiongea jangwani nina uhakika watakuja na habari nyingine kabisa kwnani uongo na uzushi ni kazi yao.
 
Back
Top Bottom