Kauli ya Chiligati kuigharimu CCM

Ni kweli kujitafutia umaarufu wa kisiasa, Slaa alishindwa na akaona wenzake wanafaidi na yeye akalazimisha chama chake kimlipe kama wabunge. Hakuna kitu hapo, CHAKushindwa (CHADEMA) wasiwalaghai watanzania bana

usifanye ushabiki weka maslahi ya taifa mbele ndo uongee au na we umo ndo ao!
 
Hahahaha Chama cha Demokrasia na Magwanda mnachekesha sana! Sasa tuwa amini kwa lipi kwa mishahara mikubwa ipunguzwe au Posho zipunguzwe?
 
Wabunge wote wa ccm wamepata ubunge kwa kutoa rushwa!unategemea nini?wana mikopo benki balaa
 
Kwa vyo vyote vile hoja hii haiwezi kupita Bunge la serikali. Lakini inaweza kupita katika Bunge la Wananchi. Kwa kuonesha kuwa CHADEMA wako siriasi - basi waanzishe mfuko maalumu . Wabunge wao wapokee hizo posho na moja kwa moja wazikabidhi katika mfuko huo. Wanaweza kuubatiza jina lo lote lile linaloakisi 'ukombozi' wa taifa hili. Mfuko kama huo unaweza kuanza na miradi kama vile ya kuwanunulia watoto wetu MADAWATI ili wasomee katika mazingira mazuri bila kupinda migongo wakiwa bado watoto!!:dance:

View attachment 31448
pencil.png
 
Wabunge wa CHADEMA kama wengeweza kugemea hizi posho halafu wakapaza sauti, nina uhakika isingechukuwa muda wabunge wote wa ccm wangeufyata. They (CHADEMA) just need to be brave on this! Potential political capital.
 
Kwa vyo vyote vile hoja hii haiwezi kupita Bunge la serikali. Lakini inaweza kupita katika Bunge la Wananchi. Kwa kuonesha kuwa CHADEMA wako siriasi - basi waanzishe mfuko maalumu . Wabunge wao wapokee hizo posho na moja kwa moja wazikabidhi katika mfuko huo. Wanaweza kuubatiza jina lo lote lile linaloakisi 'ukombozi' wa taifa hili. Mfuko kama huo unaweza kuanza na miradi kama vile ya kuwanunulia watoto wetu MADAWATI ili wasomee katika mazingira mazuri bila kupinda migongo wakiwa bado watoto!!:dance:

View attachment 31448
pencil.png

miaka hamsini ya uhuru watu hawapevuki kimawazo wizi na uvivu tu ndo wanafikiria bwana! mi sijui viongozi wetu wakoje!
 
Usishangae ya Chiligati kwani Ubunge kachakachua 100% vilevile bunge lijalo nauhakika hatakuwepo kwani hata kugombea hawezi hakubaliki wacha achukue chake akaandae maisha ya uzeeni kwani hapo ndiyo maisha yanapoanzia.
 
Serikali inatarajia kutumia Sh. trilioni 12.8 kwa mwaka wa fedha wa 2011/2012, kati ya hizo Sh. trilioni 8.8 ni kwa matumizi ya kawaida, yaani posho na mishahara na ulaji mwingine, wakati fungu la maendeleo ni Sh. trilioni nne tu.

Utaratibu wa kupitisha bajeti ya ulaji umekuwa ni utamaduni wa taifa hili, kwani hata mwaka huu wa fedha unaomalizika serikali ilipitisha bajeti ya Sh. trilioni 11.6, kati yake Sh. trilioni 7.7 zilikuwa kwa fungu la kawaida na Sh. trilioni 3.8 kwa ajili ya maendeleo.

Soma maoni yetu ukurasa wa sita.

Namkumbuka kaka yangu marehemu tulipokuwa wadogo tulikuwa tunauza miwa ili kujipatia vijisenti. Yeye alikuwa akishapata hela yake asubuhi mapema anaamkia kwa mzee mmoja aliyekuwa na hoteli(mgahawa) pale kijjini kwetu, anakula vitumbua hela yote hata mpaka mtaji wa miwa. Akiishiwa mnamkopesha tena halafu anafanya hivyohivyo siku nyingine. Yeye priority kwake ilikuwa ni kula vitumbua na wenzake ile hela tulinunua hata mbuzi tukafuga na ilikuwa inatusaidia hata kununua nguo za shule yeye kuna wakati kaptula zilikuwa na viraka vya nyama ya makalio!

Guess what, aliishia kuwa mchomoaji wa vijisenti pale home maana speed ya kutaka vitumbua ilikuwa kubwa kuliko mauzo ya miwa na baadaye akaacha hata shule akaishia machimboni akitarajia kupata hela zaidi.

Hivi ndivyo serikali za nchi masikini zilivyo, viongozi wanatoa udenda wanapo ona hela ya budget wanatamani waile yote vitumbua siku moja.

Hamna cha kuwaza maendeleo, wala hawajui kujinyima japo ni masikini.
 
Tutafika tu, ipo siku tutatafutana cause haiwezekani tuonekane wehu ndani ya nchi yetu,nchi za jirani kama Kenya wanatudharau kwa sababu ya mambo kama hayo.We have to fight for our freedom frm BLANK COLONIALISTS(CCM).
 
Chama cha magamba sijuip kimerogwa? Mi nadhan haya lazima yatokee katika kuelekea kung'olewa madarakani.
Hongera Mheshimiwa sana Chiligati, umesaidia saaaaaaaana wananchi wa Tanzania kukifahamu Chama Cha Maulaji.Hivi sasa picha ya jinsi CCM mulivyo inaonekana bila chenga.Well done Chilly.
 
unajua ukiwa kiongozi inakubid uwe makin sana, sio kila swali unaloulizwa lazima utoe majjibu ya papo kwa hapo. huyu mzee alikurupuka. mwenzie Dr. Maua Daftari aliulizwa akajibu " kwa sasa sina majibu" unafikiri yeye ni mjinga, huyo ndo mwanasiasa ambaye hakurupuki. Mzee Chilligati itamcost yeye na chama chake...
 
Kibajaj, sheikh wangu. Si kwamba Chiligati ametoa kauli ya kupinga wazo la kupunguzwa kwa posho kwa nguvu kubwa ki-hivyo kwa bahati mbaya.

Kumbuka, Wabunge wengi wa CCM wana madeni makubwa sana wanayodaiwa kutokana na pesa waliyokopa wakati wa mchakato mzima wa uchaguzi. Maana wengi walitumia pesa nyingi sana kutoa rushwa ili waweze kupata ubunge. Mategemeo yao makuu yapo kwenye hizo posho wanazolipwa ndizo zinazowasaidia kulipia madeni yao pamoja na mali waliyoweka dhamana wakati wanakopa.

Kwa hiyo kumtegemea Mbunge wa CCM eti aunge mkono hilo wazo ni Ndoto ya Mchana.

Hawa jamaa hawana ubinaadamu hata kidogo! Hata hali ya maisha ya Mtanzania iwe mbaya kivipi hawako tayari kujitoa ili kuokoa jahazi

Lakini ndio watu mliowapigia kura hao!!

Chiligati ana roho mbaya kama sura yake! Hana tofauti na Chenge!

Kwa maona yako yule diwani wa mkoani Iringa hakukosea alivyosema juu JOHN ZEPHANIA CHILIGATI?
 
ukisusa haisaidii jamii,je hela ya epa zi wapi?kwenye bajeti ya 11-12 hilo hela epa na zakujipa wenyewe(dowans) zimo?pana wachangiaj wengine walev humu mfano wamuungao chili-gate,hawajui watendalo
 
binafsi nawashangaa watz ambao bado wana matumaini ya aina yoyote kwa mustakabari mwema wa nchi hii kutokea ccm. hilo halipo asilani
 
Back
Top Bottom