Kauli ya Abeid Karume kuhusu muungano

Karume:Muungano kama koti likitubana tunalivua. je wanzanzibar bado koti linawatosha?

Lilipoanza kubana yeye alikuwa hai, Kwa nini ASILIVUE??
Yeye Ndie aliepima koti hilo Kwa saizi yake sasa nyie Mtalivuaje na koti si lenu?
Lazima alimrithisha mwanae AMANI, hakuzikwa nalo yy ni Mwislamu.
Na Amani alilivaa kwa miaka KUMI mkamateni yeye ndie mwenye Koti la babie, au bado mnaiogopa hiyo Familia???
 
Mkongwe:
Hayo yanaingia Akilini Muungano wa AAK na JKN haukuwa shwari kama wengi wanavyotaka tukubali/tuelewe. Ulikuwa na UPs n DOWNs zake. Na mara kadhaa Karume alisikika akingurumisha Kibesi, ikimainisha KOTI tayari linambana!
Ni swali zuri ulilouliza KWA NINI ASILIVUE??
NA baada ya kifo chake Hakuzikwa na hilo KOTI ie MUUNGANO warithi kadhaa Walilipokea na kulivaa hakuna mmoja wao aliyedai kuwa Lambana na Mrithi aliempokeza mrithi wa sasa ie AMANI KARUME nae akalivaa kwa miaka 10 hamkuthubutu hata kumkumbusha/kumtahadharisha kuwa KOTI linabana (tena la zamani sana limeanza na kufumka hata Haiba halina).
Siwaambii msiendelee kudai haki yenu La, Nna hisia ndogo tu Mgemshinikiza Amani Karume Ingependeza hata kwa waandishi wa Historia, KOTI la BABA lmievuliwa na MTOTO.
Labda tuseme kila Jambo lina mwanzo wake na Mmeamua kuanzia hapa Basi fuateni utaratibu na Sheria Mtapata haki yenu.
Watanganyika wengi wako tayari kuwasaida nao hawaoni faida yakuunganishwa na Ninyi.
 
Karume aliajiriwa tu na Nyerere, kisiwa ni cha Nyerere au kirudi kwa Sultani aliajiri Uamsho, dhidi ya Kikwete upande wa Nyerere
 
Back
Top Bottom