Kauli tata za Spika Anne Makinda

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda nahisi amechanganyikiwa baada ya kupewa kazi hiyo ya uspika inayoonekana wazi kumshinda. Sasa amebaki tu kuropoka na kukurupuka kwa maneno yasiyokuwa na maelezo ya kueleweka!
1. Nusu ya Wabunge wanataka kujiuzulu kwa sababu ya ufinyu wa posho na mshahara!
2. Posho imeshaidhinishwa na rais na tayari imeanza kutolewa!
3. Kushindwa kuruhusu Bunge kujadili masuala nyeti kama mgomo wa madaktari nk!
4. Suala la Jairo kuishia hewani bila maelezo ya kueleweka!
5. Bunge kuwa na vurugu nyingi kuliko mabunge yote yaliyopita!
6. Sitagombea tena ubunge 2015 kwa sababu posho haitoshi!
7............! Nk.
 
Kuna kitu kwenye Insurance law kinaitwa 'senile decay', nadhani tunaweza kuanzia hapo kujadili.
 
Huyu mama uongozi umemshinda yaani anatamani ipigwe kura ya kutokuwa na IMANI na Spika ili angolewe. Kutangaza kujiuzulu anaona NOMA itaonekana ameshindwa lakini ukweli ni kwamba Bunge limemshinda na wale wote waliokuwa wanashangilia kuchaguliwa kwake saa majibu wanayapata.

Anabaki kuropoka ovyo pasipo kutafakari. Kiongozi wa nafasi yake hatakiwi kuropoka ovyo kwani wananchi wanapokea maneno yake kama yalivyo, sasa yeye utadhani kama yupo kijiweni proproprorporprorporprorprorpro!!!!!!!!!!!!!

nini mama weeee na ulisema unayaweza kumbe........................

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda nahisi amechanganyikiwa baada ya kupewa kazi hiyo ya uspika inayoonekana wazi kumshinda. Sasa amebaki tu kuropoka na kukurupuka kwa maneno yasiyokuwa na maelezo ya kueleweka!
1. Nusu ya Wabunge wanataka kujiuzulu kwa sababu ya ufinyu wa posho na mshahara!
2. Posho imeshaidhinishwa na rais na tayari imeanza kutolewa!
3. Kushindwa kuruhusu Bunge kujadili masuala nyeti kama mgomo wa madaktari nk!
4. Suala la Jai
 
Back
Top Bottom