SODOKA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2012
- 1,658
- 722
wana JF ..
kuna hii clip inasambaa sana mitandaoni kuhusu kauli ya rais wetu kuhusu kuwepo kwa vyuo vikuu ndani ya nchi yetu,,,,ametaja baadhi ya vyuo ambayo hapo awali vilikuwa vinatoa elimu ya diploma yaani vilianzishwa kama taasisi (INSTITUTE) ,,amejaribu kutumia lugha flani hivi ambayo mimi sijaielewa imeniacha mdomo wazi ...
wadau waliochaguliwa NIT msijenge chuki na mimi na wale wote mliopita NIT plz msinirushie matusi ,,sio kosa langu kuleta hii mada hapa ila nahitaji tushee mawazo....binafsi naelewa NIT ni taasisi ya taifa ya kutoa elimu ya usafirishaji japo inaniwia vigumu kuamini kuwa ni chuo kikuu ila kinatoa degree na kimesajiliwa kutoa degree kinatambulika licha ya kuwepo kwa taasisi nyingine kama IFM n.k
kumradhi...ebu sikiliza clip hii hapa chini halafu ulete mrejesho.......