Kauli nyingine tata ya Kikwete hii hapa

Tikerra

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
1,702
146
Hua najiuliza mara nyingi,hivi raisi wetu hana washauri? Kwasababu kauli anazotoa zina mengi ya kujiuliza.Sina haja ya kuzirudia kwa vile kama mtu ni mfuatiliaji wa mambo ya nchi yetu vizuri,lazima atakuwa anakumbuka angalau kauli tata chache hivi.

Hii ya leo ni ile aliyotoa kule Babati jana.Katika hali ya kushangaza, Rais alisema wale wasichana wenye sifa za kwenda ualimu wamfuate Ikulu.Sasa mimi najiuliza Ikulu pamekuwa Kariakoo kiasi kwamba kila mtu anaweza kwenda?

Na kama basi ameruhusu waalimu watarajiwa waende Ikulu,kwa nini mabwana shamba watarajiwa,wafanyakazi mbalimbali wa afya nao wasimfute Ikulu?Na katika hali hiyo, Rais amesahau 'protocal' ya ajira?

Ninachojua mimi kila wizara ina ajiri watu wake,sasa tangu lini Rais akawa afisa mwajiri?Chonde chonde jamani,ninaomba wasaidizi wa Rais wafanye kazi zao inavyo paswa, kwa maana kwamba wamshauri vizuri Rais wetu.
 
Hua najiuliza mara nyingi,hivi raisi wetu hana washauri? Kwasababu kauli anazotoa zina mengi ya kujiuliza.Sina haja ya kuzirudia kwa vile kama mtu ni mfuatiliaji wa mambo ya nchi yetu vizuri,lazima atakuwa anakumbuka angalau kauli tata chache hivi.Hii ya leo ni ile aliyotoa kule Babati jana.Katika hali ya kushangaza, Rais alisema wale wasichana wenye sifa za kwenda ualimu wamfuate Ikulu.Sasa mimi najiuliza Ikulu pamekuwa Kariakoo kiasi kwamba kila mtu anaweza kwenda?Na kama basi ameruhusu waalimu watarajiwa waende Ikulu,kwa nini mabwana shamba watarajiwa,wafanyakazi mbalimbali wa afya nao wasimfute Ikulu?Na katika hali hiyo, Rais amesahau 'protocal' ya ajira? Ninachojua mimi kila wizara ina ajiri watu wake,sasa tangu lini Rais akawa afisa mwajiri?Chonde chonde jamani,ninaomba wasaidizi wa Rais wafanye kazi zao inavyo paswa, kwa maana kwamba wamshauri vizuri Rais wetu.

Nashukuru kwa bandiko lako, ni zuri sana isipokua jinsi ulivyomalizia.
Hapo natofautiana na mtazamo wako. Kwa nini udhani wa kunyooshewa kidole ni washauri/wasaidizi wake?

.
 
Yakweli haya au tetesi wajameni mimi mbona naona kama haikuji vile.
 
... Kwa nini udhani wa kunyooshewa kidole ni washauri/wasaidizi wake?

.

Lazydog,

Yani hilo ni moja ya tatizo la msingi, moja ya kubwa kuliko yote la wananchi wetu inapokuja kwenye kuchambua viongozi na matatizo yao. Rais anatoa hotuba anajichemshia mwenyewe jukwaani halafu tunasema hana washauri wazuri. Hapo tu ndio nachoka akili.

Juzi bungeni kaongeza chumvi zake - na Kikwete anajulikana kwa kupenda chumvi - kaongea tofauti na alivyotaarishiwa, kadai akitaka anaweza kukamata mtu yeyote bila sababu, alipokuwa anawahutubia mainjinia kawambia "acheni ujanja ujanja," kana kwamba mainjinia wote ni wasanii, alipokuwa Ikulu Washington akatamka kwenye press conference eti amekuja Amerika kutoa shukurani, aliposhindwa kuvuka daraja Kusini huko akadai hajui kuogelea, kana kwamba kuna mtu alimtayarishia mtumbwi, kuhusu michezo akadai kazi amekamilisha na siku hizi sisi ndio tumekuwa vinyozi, eti nchi nyingine zikiwa na ratiba ya kucheza na Stars wanajiuma uma.

Uongo mtupu.

Halafu eti oooh, washauri wake. Kwa mtaji wa washauri basi unaweza kutetea kila kitu Rais anachofanya. Tukimlaumu kwa kuteua washauri wabaya utasema kashauriwa vibaya katika kuteua hao washauri. Na nani? Nani alimshauri katika kuchagua wale washauri waliomletea majina ya washauri waliopendekeza wale washauri walio end up kuwa washauri wa Ikulu?

Ni kisingizio!
 
Mpaka leo hii hamjamzoea JK ana katabia kaa kuongea mabo jinsi anavyojisikia na ndo tabia yake.
Na ukichukulia yeye na hao anaotaka waende ikulu damu damu basi mambo mstari.
Apo ni tabia binafsi utamshauri nini kuna vijineneo ambavyo ni nje ya speech aliyoandaliwa huwa anavitoa tuu kimtindo.
Tumvumilie labda 2010 atastep down tupate mwingine maanani akipenda
 
Hua najiuliza mara nyingi,hivi raisi wetu hana washauri? Kwasababu kauli anazotoa zina mengi ya kujiuliza.Sina haja ya kuzirudia kwa vile kama mtu ni mfuatiliaji wa mambo ya nchi yetu vizuri,lazima atakuwa anakumbuka angalau kauli tata chache hivi.Hii ya leo ni ile aliyotoa kule Babati jana.Katika hali ya kushangaza, Rais alisema wale wasichana wenye sifa za kwenda ualimu wamfuate Ikulu.Sasa mimi najiuliza Ikulu pamekuwa Kariakoo kiasi kwamba kila mtu anaweza kwenda?Na kama basi ameruhusu waalimu watarajiwa waende Ikulu,kwa nini mabwana shamba watarajiwa,wafanyakazi mbalimbali wa afya nao wasimfute Ikulu?Na katika hali hiyo, Rais amesahau 'protocal' ya ajira? Ninachojua mimi kila wizara ina ajiri watu wake,sasa tangu lini Rais akawa afisa mwajiri?Chonde chonde jamani,ninaomba wasaidizi wa Rais wafanye kazi zao inavyo paswa, kwa maana kwamba wamshauri vizuri Rais wetu.
Hii imenikumbusha Kipindi nafanya kazi kule Ngara kwa wakimbizi nilikutana na mmarekani mmoja akisema hivi ( You know you Tanzanian you are very wonderful people in this world. I asked him why yuo say so. He replyed! How did you manage to stay ten years without a prestent!! Brothers we do not have a presdent, kikwete can not presdent at all
 
Pals!Read between lines!Hamjamwelewa?Amesema WASICHANA maana yake yeye hao alionao hawamtoshi kabisa ndio maana anajua kule Babati kuna weupe wakuvutia!
 
...anataka kumuiga King Mswati nini???!!!!!!
 
Kuna hadithi fulani ya mfalme juha sijui ndo inafanana na hii??.. Ebu fungukeni wanajamvi..
 
Nashukuru kwa bandiko lako, ni zuri sana isipokua jinsi ulivyomalizia.
Hapo natofautiana na mtazamo wako. Kwa nini udhani wa kunyooshewa kidole ni washauri/wasaidizi wake?
.
Ni kwa sababu tatizo la kwanza limeshaeleweka na sasa tumaini la wafuatiliaji wa mambo ni plan B.
Lakini kama mfano akina Gurumo kwao 80m hawajui hata kama zimeingia kwenye account zao, unadhani watapata muda wa kumshauri rais badala ya kusimamia miradi yao inayoingiza mabilioni!?

Natamani awasimulie wanangu hadithi maana najua kamwe hawatasinzia... Hata hivyo ameshasema anataka kwenda kulea wajukuu kule kwenye Kijiji chake
 
Hii imenikumbusha Kipindi nafanya kazi kule Ngara kwa wakimbizi nilikutana na mmarekani mmoja akisema hivi ( You know you Tanzanian you are very wonderful people in this world. I asked him why yuo say so. He replyed! How did you manage to stay ten years without a prestent!! Brothers we do not have a presdent, kikwete can not presdent at all

TOBAAA ulipataje kazi kwa lugha hii
 
Raisi kikwete kafanya mambo mengi mazuri sana,hata wewe kuwa na uhuru wa kuhoji huu utumbo wako ni moja ya mambo makubwa aliyo fanya raisi kikwete kukupa uhuru wa kutumia teknolojia.
 
Hua najiuliza mara nyingi,hivi raisi wetu hana washauri? Kwasababu kauli anazotoa zina mengi ya kujiuliza.Sina haja ya kuzirudia kwa vile kama mtu ni mfuatiliaji wa mambo ya nchi yetu vizuri,lazima atakuwa anakumbuka angalau kauli tata chache hivi.

Hii ya leo ni ile aliyotoa kule Babati jana.Katika hali ya kushangaza, Rais alisema wale wasichana wenye sifa za kwenda ualimu wamfuate Ikulu.Sasa mimi najiuliza Ikulu pamekuwa Kariakoo kiasi kwamba kila mtu anaweza kwenda?

Na kama basi ameruhusu waalimu watarajiwa waende Ikulu,kwa nini mabwana shamba watarajiwa,wafanyakazi mbalimbali wa afya nao wasimfute Ikulu?Na katika hali hiyo, Rais amesahau 'protocal' ya ajira?

Ninachojua mimi kila wizara ina ajiri watu wake,sasa tangu lini Rais akawa afisa mwajiri?Chonde chonde jamani,ninaomba wasaidizi wa Rais wafanye kazi zao inavyo paswa, kwa maana kwamba wamshauri vizuri Rais wetu.
W ewe unashangaa nini hapo? Mbona nyerere alimkalisha kiti moto Paul kimiti pale Dodoma ili ajieleze kwake hela alizojengea nyumba ake pae doma alizipata wapi. Kaa io alikkera wewe basi hata hili la kikwte pia lione kama kawaida ville iwejeraisi wa nchi ahoji watu pesa zao za kujenmea walipata wai ili hal;i kuna vyombo vya usalama?
 
Back
Top Bottom