Elections 2010 Kauli mbiu za uchaguzi mwaka huu

GY

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,279
126
Nimekaa na kuanza kutafakari, ivi kauli mbiu za uchaguzi mwaka huu 2010 zitakuwaje

Nikapata japo hizi mbili za CCJ na CCM

CCJ (ikiwa watapata usajili): "Wamebana wameachia, mwanga mpya umewadia"

CCM: "kwa ari ileile, kasi ilele na nguvu ileile, Tanzania yasonga mbele"

and the list continues..........
 
Back
Top Bottom