Kauli mbiu ya CHADEMA nguvu ya Umma na wabunge 23

Sabodo, ametenga Sh2.5 bilioni kwa ajili ya kuchimba visima..

Visima vilefu na vifupi 700 katika maeneo ya ukame, huku visima 200 kati ya hivyo vikielekezwa kwenye majimbo 23 ya CDM..

Sasa hivyo vingine sijui utajenga wewe na uwongo wako.

Turudi kwenye mada yetu..unaweza kuwa na nguvu umma na wabunge 23?

kamuulize anaekulipa kuleta utumbo hapa jamvini.Unajifanya unajua habari za visima vya chadema kuliko wenye chama.Pole we!
 
watakwambia waliibiwa kura. Hakuna jibu lingine.

Na walijuaje kama walishinda urais? sababu za CDM wanacholalamika kila siku ni kura za urais sipati picha uwe umeshinda urais halafu una wabunge wa kuteuliwa 23..

Halafu utaki kuungana na chama chochote cha upinzani hivi hiyo serikali utaiendeshaje?
 
kamuulize anaekulipa kuleta utumbo hapa jamvini.Unajifanya unajua habari za visima vya chadema kuliko wenye chama.Pole we!

Yaani wewe unaongea uwongo wako tukikujibu ndio tumetumwa? jF sio sehemu ya porojo njoo na facts..kabla ujamwaga upupu wako.

Kwanza hivyo visima 700 sio vya CDM kama unavyodhani vinachimbwa kwa pesa ya Sabodo
 
Watanzania hawana muda wa kufikiria, wamewapa dhamana watu wachache dhamana ya kuwafikiria kwa niaba.

Washabiki wengi wa Chadema hawajui hata maana ya nguvu ya umma.

Thinking miser!
 
Yaani wewe unaongea uwongo wako tukikujibu ndio tumetumwa? jF sio sehemu ya porojo njoo na facts..kabla ujamwaga upupu wako.

Kwanza hivyo visima 700 sio vya CDM kama unavyodhani vinachimbwa kwa pesa ya Sabodo

Jibu swali? Nini maana ya umma na criteria gani inatumika ku determine nguvu ya umma?
 
Wana JF.
Mpaka sasa hivi sijajua itikadi na falsafa ya CDM. ni chama cha siasa kisicho na nadharia inayoelezeka wazi..

Ni sawa kabisa ni shirika lisilo la kiserikali NGO ninachoweza kusema viongozi wa CDM waache kupotosha wanachi kuwa CDM ni nguvu ya Umma.

CDM ina wabunge wa kuchaguliwa 23 tu kati ya wabunge 239. Bara 189 na Visiwani 50 Pemba 18 Unguja 32..

Sasa hii kauli mbiu ya CDM kuwa ni chama cha nguvu ya Umma inatoka wapi?

Tumeona maandamano ya CDM yasiokuwa na tija kwa taifa zaidi ya kugawana posho za maandamano kimsingi ni ufujaji pesa zetu wananchi ruzuku..

Viongozi wa CDM msiwapotoshe wananchi huwezi kuchukuwa nchi na wabunge 23 ukiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri utaona huu ni umbumbu wa fikra..

Cha kushangaza zaidi CDM wanaenda mbali zaidi na kusema walishinda kiti cha urais, utashinda vipi urais na wabunge 23

crusty mind... the avatar sums up everything
 
Nguvu ya umma wanayo CDM,wanachotakiwa ni kui direct kwenye sanduku la kura basi.

Tatizo kubwa lipo kwenye utawala kudhibiti nguvu hiyo ya umma isilete mabadiliko ya kweli.

Na ndiyo maana unakuwa na balls za kufananisha wapiga kura wachache ambao hawafikii hata nusu ya wananchi wote? vs umaa wenyewe ambao unawafunika hao waliopiga kura kwa ujumla wao?

Ni ukweli umma haujaweza kutumia nguvu yao ipasavyo ie ku exercise their right to vote,and vote right!

Na hiyo ndo kazi ya chadema...Kuhakikisha wanaipata hiyo positive energy ya kuwabandua magamba!
 
Jamani kuanzia leo siwezi kukaa chini na kujadili mada ambazo watu wasio na akili kama ritz,mzee,ms na ngoda,hii ni kupoteza mda wetu mwingi. Chizi ni chizi tu
 
Jibu swali? Nini maana ya umma na criteria gani inatumika ku determine nguvu ya umma?

Sasa hilo swali ungewauliza viongozi wako wa CDM wana maana gani wanavyosema CDM ni nguvu umma..

Nguvu ya umma ni Revolution kama tulivyoona Egypt, Tunisia, na demostrators zinazo endelea Syria na Yemen..

Uwezi kusema una nguvu ya umma wakati huna watu, CDM hawezi kuitisha maandamano yakawa spreads Tanzania nzima sababu hawana nguvu ya umma
 
Nguvu ya umma wanayo CDM,wanachotakiwa ni kui direct kwenye sanduku la kura basi.

Tatizo kubwa lipo kwenye utawala kudhibiti nguvu hiyo ya umma isilete mabadiliko ya kweli.

Na ndiyo maana unakuwa na balls za kufananisha wapiga kura wachache ambao hawafikii hata nusu ya wananchi wote? vs umaa wenyewe ambao unawafunika hao waliopiga kura kwa ujumla wao?

Ni ukweli umma haujaweza kutumia nguvu yao ipasavyo ie ku exercise their right to vote,and vote right!

Na hiyo ndo kazi ya chadema...Kuhakikisha wanaipata hiyo positive energy ya kuwabandua magamba!

Jmushi1.
Hata siku moja serikali hawezi kuzuia nguvu ya umma, mifano tumeona Egypt, Tunisia, nguvu ya umma ilivyoishida serikali
 
Wana JF.
Mpaka sasa hivi sijajua itikadi na falsafa ya CDM. ni chama cha siasa kisicho na nadharia inayoelezeka wazi..

Ni sawa kabisa ni shirika lisilo la kiserikali NGO ninachoweza kusema viongozi wa CDM waache kupotosha wanachi kuwa CDM ni nguvu ya Umma.

CDM ina wabunge wa kuchaguliwa 23 tu kati ya wabunge 239. Bara 189 na Visiwani 50 Pemba 18 Unguja 32..

Sasa hii kauli mbiu ya CDM kuwa ni chama cha nguvu ya Umma inatoka wapi?

Tumeona maandamano ya CDM yasiokuwa na tija kwa taifa zaidi ya kugawana posho za maandamano kimsingi ni ufujaji pesa zetu wananchi ruzuku..

Viongozi wa CDM msiwapotoshe wananchi huwezi kuchukuwa nchi na wabunge 23 ukiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri utaona huu ni umbumbu wa fikra..

Cha kushangaza zaidi CDM wanaenda mbali zaidi na kusema walishinda kiti cha urais, utashinda vipi urais na wabunge 23
KIMENUKA BROTHER HUNA TIJA KWA WANANCHI POLE SANA. Kauli ya nguvu ya uma ni dawa ya wachakachuaji wa uchaguzi wa magamba. Hata mkichakachua nyoyo za watz zipo CDM. Kunja ngumi---Nikisema Peoples--piga juu sema--Power!
 
Wana JF.
Mpaka sasa hivi sijajua itikadi na falsafa ya CDM. ni chama cha siasa kisicho na nadharia inayoelezeka wazi..

Ni sawa kabisa ni shirika lisilo la kiserikali NGO ninachoweza kusema viongozi wa CDM waache kupotosha wanachi kuwa CDM ni nguvu ya Umma.

CDM ina wabunge wa kuchaguliwa 23 tu kati ya wabunge 239. Bara 189 na Visiwani 50 Pemba 18 Unguja 32..

Sasa hii kauli mbiu ya CDM kuwa ni chama cha nguvu ya Umma inatoka wapi?

Tumeona maandamano ya CDM yasiokuwa na tija kwa taifa zaidi ya kugawana posho za maandamano kimsingi ni ufujaji pesa zetu wananchi ruzuku..

Viongozi wa CDM msiwapotoshe wananchi huwezi kuchukuwa nchi na wabunge 23 ukiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri utaona huu ni umbumbu wa fikra..

Cha kushangaza zaidi CDM wanaenda mbali zaidi na kusema walishinda kiti cha urais, utashinda vipi urais na wabunge 23

Mandela alikuwa na wabunge wangapi ndani ya serikali ya Botha?
 
Mods tunaomba muitoe hii thread ya huyu kichaa hapa kuiacha tokea jana wakati kuna thread zingine za maana ni upuuzi na anaweza kujiona na yeye kama great thinker,wengine hatukutaka hata kuchangia, Mods pls ifutilie mbali
 
Hawa ndio wanaoichafua JF kwa maneno yao wametumwa kwa makusudi kabisa kuja kutukana humu Jamvini.

Sasa kama wewe una hoja si ukae pembeni thread zipo nyingi unaweza kwenye kutoa michango yako..

Mods: ni watu makini hawana muda wa kufuata mawazo yako yenye ukungu na fikra mfu
 
Wana JF.
Mpaka sasa hivi sijajua itikadi na falsafa ya CDM. ni chama cha siasa kisicho na nadharia inayoelezeka wazi..

Ni sawa kabisa ni shirika lisilo la kiserikali NGO ninachoweza kusema viongozi wa CDM waache kupotosha wanachi kuwa CDM ni nguvu ya Umma.

CDM ina wabunge wa kuchaguliwa 23 tu kati ya wabunge 239. Bara 189 na Visiwani 50 Pemba 18 Unguja 32..

Sasa hii kauli mbiu ya CDM kuwa ni chama cha nguvu ya Umma inatoka wapi?

Tumeona maandamano ya CDM yasiokuwa na tija kwa taifa zaidi ya kugawana posho za maandamano kimsingi ni ufujaji pesa zetu wananchi ruzuku..

Viongozi wa CDM msiwapotoshe wananchi huwezi kuchukuwa nchi na wabunge 23 ukiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri utaona huu ni umbumbu wa fikra..

Cha kushangaza zaidi CDM wanaenda mbali zaidi na kusema walishinda kiti cha urais, utashinda vipi urais na wabunge 23

una saratani ya ngozi ndo inayokusumbua.
 
Mimi nilidhani wana wabunge 48..
Kumbe mmewapunguza wamebaki 23!!
hii imetokea lini mkuu???
kaka usijidanganye na idadi ya wabunge, wewe angalia popularity ya chama- tukifanya uchaguzi leo hii na Tume Huru CDM inachukua nchi na wabunge zaidi ya 120 - Nakuambia ukweli.

Mwenye akili timamu hawezi kuringia uhai wa CCM ya sasa, nakuabaliana na Mzee Butiku kwamba CCM ni sawa na Mti uliooza ndani. Sasa badala ya kujipanga upya nyie mnaanza kuishambulia CDM, hapo ndipo mnapopotea zaidi.
 
Back
Top Bottom