Kauli mbiu ya CHADEMA nguvu ya Umma na wabunge 23

We need to have a common definition ya nguvu ya umma, you might be arguing on a point which is has no common base to both parties. Kwanza tuwe na definition moja, then tuangalie kama falsafa ya chadema ya nguvu ya umma in characteristics hizo. vinginevyo you have no basis to support your contention above.

Agree.
 
acha uongo wewe kasema visima vijengwe kwenye majimbo 48 sawa na idadi ya wabunge wake.Alimaanisha majimbo yepi?
Sabodo, ametenga Sh2.5 bilioni kwa ajili ya kuchimba visima..

Visima vilefu na vifupi 700 katika maeneo ya ukame, huku visima 200 kati ya hivyo vikielekezwa kwenye majimbo 23 ya CDM..

Sasa hivyo vingine sijui utajenga wewe na uwongo wako.

Turudi kwenye mada yetu..unaweza kuwa na nguvu umma na wabunge 23?
 
yaani ndivyo unavyonifurahisha rtz; unatoa hoja ambazo zinasisimua mpaka masaburi ya walio wengi! Haingii akilini, wabunge 23 halafu uchukue nchi?
 
Wana JF.
Mpaka sasa hivi sijajua itikadi na falsafa ya CDM. ni chama cha siasa kisicho na nadharia inayoelezeka wazi..

Ni sawa kabisa ni shirika lisilo la kiserikali NGO ninachoweza kusema viongozi wa CDM waache kupotosha wanachi kuwa CDM ni nguvu ya Umma.

CDM ina wabunge wa kuchaguliwa 23 tu kati ya wabunge 239. Bara 189 na Visiwani 50 Pemba 18 Unguja 32..

Sasa hii kauli mbiu ya CDM kuwa ni chama cha nguvu ya Umma inatoka wapi?

Tumeona maandamano ya CDM yasiokuwa na tija kwa taifa zaidi ya kugawana posho za maandamano kimsingi ni ufujaji pesa zetu wananchi ruzuku..

Viongozi wa CDM msiwapotoshe wananchi huwezi kuchukuwa nchi na wabunge 23 ukiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri utaona huu ni umbumbu wa fikra..

Cha kushangaza zaidi CDM wanaenda mbali zaidi na kusema walishinda kiti cha urais, utashinda vipi urais na wabunge 23

Ni kweli kwa uwezo wa akili yako hutaweza kuelewa falsafa ya CDM,na hii thread yako inathibitisha uwezo wako mdogo kiakili na ndio maana ukaja na analysis za kizembe kama hizi....Kwanza falsafa ya nguvu ya umma si lazima ionekane kupitia namba ya wabunge hasa ukizingatia mbinu mbalimbali chafu za CCM kushinda chaguzi mbalimbali,lakini pia kushinda uraisi hakuna uhusiano wowote na namba ya wabunge,maana kuna sehemu/majimbo ukifatilia yalikuwa na tofauti kati ya kura za wabunge na uraisi.....Ni bora ukajua maana halisi ya nguvu ya umma,tafsiri ya nguvu ya umma ni kuwa watu wajipatie nafasi ya kumiliki nchi yao,na kwa hiyo CDM inawaalika watanzania bila kujali itikadi zao kuungana kama umma wa watanzania kutafuta namna ya kuikomboa nchi yetu toka kwa makucha ya madubu wanaoitafuna......
 
Crackpot wrong analysis!!
 
Huwa najiuliza sasa CDM wanasema walishinda kiti cha urais na wabunge 23..

Wangeongoza vipi bungeni na hiyo miswada ingepitishajwe na wabunge 23?
 
Magwanda wamekamatwa pazuri, wanaingia huku wakitokea kule. Nawaonea huruma kwa kukosa sera na kuwa ni watu wa siasa "maji taka".

Na Lowasa kisha nena "tosha". Sasa yeyote, awe muandishi uchwara au mwana siasa uchwara ataesema uongo anae.
 
Wana JF.
Mpaka sasa hivi sijajua itikadi na falsafa ya CDM. ni chama cha siasa kisicho na nadharia inayoelezeka wazi..

Ni sawa kabisa ni shirika lisilo la kiserikali NGO ninachoweza kusema viongozi wa CDM waache kupotosha wanachi kuwa CDM ni nguvu ya Umma.

CDM ina wabunge wa kuchaguliwa 23 tu kati ya wabunge 239. Bara 189 na Visiwani 50 Pemba 18 Unguja 32..

Sasa hii kauli mbiu ya CDM kuwa ni chama cha nguvu ya Umma inatoka wapi?

Tumeona maandamano ya CDM yasiokuwa na tija kwa taifa zaidi ya kugawana posho za maandamano kimsingi ni ufujaji pesa zetu wananchi ruzuku..

Viongozi wa CDM msiwapotoshe wananchi huwezi kuchukuwa nchi na wabunge 23 ukiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri utaona huu ni umbumbu wa fikra..

Cha kushangaza zaidi CDM wanaenda mbali zaidi na kusema walishinda kiti cha urais, utashinda vipi urais na wabunge 23
Hakijasema ni nguvu ya wingi wa wabunge, bali ya umma. Na katiba yetu, haisemi ili ushinde urais lazima uwe/chama chako kiwe kimepata viti vingi vya ubunge. Ukivipata vinakusaidia kupitisha mambo yako hata kama niupuuzi (kama raisi wetu aliyevipata) anavyofanya sasa. Ukipata urais ukawa na wabunge wachache, utapata shida lakini kwa wenye akili watakuunga mkono kama kule kwa Obama, labda hapa kwetu ambapo mtu anafunga mlango wa akili ili asione ukweli bali aone sera za chama chake cha magamba, ambacho hata Nyerere hakuvaa sare yake katu.
 
Magwanda wana Rais wao anaitwa Dokta wa Kanoni Slaa. Tatizo ni kuwa, huyu Rais wao ana report kwa boss wake Mbowe na pia hakubaliki na Watanzania wote. Sasa Umma wa magwanda sijui ni upi? Maana hata juzi Igunga, Umma haujawaunga mkono. Na kule Arusha nasikia kuna Umma umefungana na madiwani waliowagomea. Nasikia na kule Sumbawanga kuna Umma mwingine ulikataa kumchaguwa Slaa ukapigwa ban kuingia nyumba ya ibada.

Peeeeeeeeeoplesssss poaaaaaaaaaa.
 
wana jf.
Mpaka sasa hivi sijajua itikadi na falsafa ya cdm. Ni chama cha siasa kisicho na nadharia inayoelezeka wazi..

Ni sawa kabisa ni shirika lisilo la kiserikali ngo ninachoweza kusema viongozi wa cdm waache kupotosha wanachi kuwa cdm ni nguvu ya umma.

Cdm ina wabunge wa kuchaguliwa 23 tu kati ya wabunge 239. Bara 189 na visiwani 50 pemba 18 unguja 32..

Sasa hii kauli mbiu ya cdm kuwa ni chama cha nguvu ya umma inatoka wapi?

Tumeona maandamano ya cdm yasiokuwa na tija kwa taifa zaidi ya kugawana posho za maandamano kimsingi ni ufujaji pesa zetu wananchi ruzuku..

Viongozi wa cdm msiwapotoshe wananchi huwezi kuchukuwa nchi na wabunge 23 ukiwa na uwezo mkubwa wa kufikiri utaona huu ni umbumbu wa fikra..

Cha kushangaza zaidi cdm wanaenda mbali zaidi na kusema walishinda kiti cha urais, utashinda vipi urais na wabunge 23

umeridhika na sera mfu za magamba ndo maana unahoji hata palipo wazi.ilikuwaje majimbo yaliyo chini ya cdm jakaua kupata kura nyingi kuliko dr slaa? Cdmhreeeeeeeeeeeeeeeee
 
Sabodo, ametenga Sh2.5 bilioni kwa ajili ya kuchimba visima..

Visima vilefu na vifupi 700 katika maeneo ya ukame, huku visima 200 kati ya hivyo vikielekezwa kwenye majimbo 23 ya CDM..

Sasa hivyo vingine sijui utajenga wewe na uwongo wako.

Turudi kwenye mada yetu..unaweza kuwa na nguvu umma na wabunge 23?

Tuweke mambo ya kisiasa pembeni. Na wewe Ritz unadai sio mwanaCCM wala CDM, so tuweke siasa pembeni tujadili. Lakini kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu tuanze kwa kuangalia maana ya "umma". Tukishajua maana ya umma, ndio tunaweza ku break down kama chama cha siasa whether CCM, or CDM kinaweza kutumia creteria gani kudai kuwa kina nguvu ya umma.

Tuanze na Ritz. Kwa kutumia your independent thinking kama ulivyosema hapo juu nini maana ya umma?

Tunapozungumzia nguvu ya umma inamaanisha umma, hatuzungumzii idadi ya kura au Wabunge.
WaTz waliopiga kura ni mil 8 tu, ambao hawakupiga kura ni mil 12 hapo umma uko kwa CCM au CDM? Kwa takwimu hizo nguvu ya umma haikuamua Rais ya Watz bali uchakachuaji na sheria mbovu na nguvu ya dola.

Kwa maana hiyo, Chama chochote cha siasa kinaweza kuitumia na kujivunia nguvu ya umma wa watu mil 12 ambao hawakupiga kura na ambao CDM wanaonekana kuuvutia na kuwatumia kutokana na kuporomoka kwa umaarufu wa CCM?

Una maana umma ni wapiga kura? Kwa hiyo umma wa Tanzania ni watu milioni 12 tuu?
 
Ritz,tunaposema nguvu ya umma twamaanisha support from the people and especially comon once.in whatever we do,hv jiulze serikal ya ccm inayoshadidia kuwalpa Dowans wananch wangapi wanawasapoti,ingekuwa Cdm wangeangalia interests za wananch.
 
ritz haitakuwa sahii kama utakuwa mtu wa kuandika au kusema jambo ambalo linadhoofisha na kuleta utata kuhusu uelewa wako.Jambo liko wazi au uchi mbele ya wanajanvi pia na watanzania ambao wamepita shule kuwa kila kitu uanza na step moja kwenda nyingine from simple to complex ata na maendeleo yako hivyo.
Hakuna nchi ambayo imeanza kupata uhuru alafu ndo ikapigania uhuru.CDM wanaposema Nguvu ya Umma maana wanaamini kwenye POPULAR DEMOCRACY kuwa ni muhimu katika kuleta maendeleo na mabadiriko ya kweli hasa katika uwajibikaji wa serikali.Huu ni msingi thabiti katika kuleta maendeleo ya nchi na raia wake.
Kama wewe huko makini jaribu kufuatilia vyama vilivyo pigania uhuru hapa Afrika vilianza je?Je vilianza kama political parties au welfares,trade unions,churches,ethnic groups na kauli zao zilikuwa je?
Kwa kukufahamisha zaidi Dunia sasa hiko kwenye Political transtions thats why leo watu wanapenda POPULAR DEMOCRACY,MASS RULE kuliko Elite Rule!Pia inabidi ujue naomba umalizie HATA ROMA HAIKUJENGWA ........
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Magwanda wana Rais wao anaitwa Dokta wa Kanoni Slaa. Tatizo ni kuwa, huyu Rais wao ana report kwa boss wake Mbowe na pia hakubaliki na Watanzania wote. Sasa Umma wa magwanda sijui ni upi? Maana hata juzi Igunga, Umma haujawaunga mkono. Na kule Arusha nasikia kuna Umma umefungana na madiwani waliowagomea. Nasikia na kule Sumbawanga kuna Umma mwingine ulikataa kumchaguwa Slaa ukapigwa ban kuingia nyumba ya ibada.

Peeeeeeeeeoplesssss poaaaaaaaaaa.
Kuwa mzalendo acha kujadili kitu huku upobiased haujengi unabomoa, wenzako wanakuacha tu mambo yatakapoharibika nyinyi mtakuwa wa kwanza kushitakiwa,mmezoea mtu akisupport kitu mnamuangalia kwa jicho la udini nyie ipo siku mtajuta kuwanyooshea wengine kuwa ni wadini wakati nyinyi ndio wadini wakubwa.
 
Watanzania hawana muda wa kufikiria, wamewapa dhamana watu wachache dhamana ya kuwafikiria kwa niaba.

Washabiki wengi wa Chadema hawajui hata maana ya nguvu ya umma.
 
Ni kweli kwa uwezo wa akili yako hutaweza kuelewa falsafa ya CDM,na hii thread yako inathibitisha uwezo wako mdogo kiakili na ndio maana ukaja na analysis za kizembe kama hizi....Kwanza falsafa ya nguvu ya umma si lazima ionekane kupitia namba ya wabunge hasa ukizingatia mbinu mbalimbali chafu za CCM kushinda chaguzi mbalimbali,lakini pia kushinda uraisi hakuna uhusiano wowote na namba ya wabunge,maana kuna sehemu/majimbo ukifatilia yalikuwa na tofauti kati ya kura za wabunge na uraisi.....Ni bora ukajua maana halisi ya nguvu ya umma,tafsiri ya nguvu ya umma ni kuwa watu wajipatie nafasi ya kumiliki nchi yao,na kwa hiyo CDM inawaalika watanzania bila kujali itikadi zao kuungana kama umma wa watanzania kutafuta namna ya kuikomboa nchi yetu toka kwa makucha ya madubu wanaoitafuna......

hawana lolote zaidi ya uchu wa madaraka. Hatuwezi kuongoza na mtu anayeiba mke wa mwananchi wake.
 
Back
Top Bottom