Wana Jf
katika pitapita yangu leo nimeweza kugudua kauli mbiu ya Mh Jakaya atakayo tumia katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
nikama ifuatayo
KASI ZAIDI
NGUVU ZAIDI
ARI ZAIDI
TULIAHIDI TUMETEKELEZA
Hii ndio kauli mbiu itakayo tumika mwaka huu ktk uchaguzii
Yawezekana walichoahidi na kutekeleza ni kwa ajili ya mafisadi, washikaji wake, wanamtandao na sio wananchi walala hoi kwa ujumla!Hiyo yenye red ndo inachekesha zaidi. kwi kwi kwi kwi!
mwananchi akiuguza nduguze wagonjwa katika Zahanati kijijini Kisaki, Bwakila, Morogoro
wagonjwa wakiwa wamelazwa katika Zahanati kijijini Kisaki, Bwakila, Morogoro