kichenchele
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 539
- 176
kauli mbiu iliyoandikwa ktk mabango ya mgombea wa chama cha mafisadi CCM.. aaah samahani jamani wana JF, CHAMA CHA MAPINDUZI, hivi hii kazi ,Ari zaidi, ni kitu gani kasi zaidi wanakokimbilia wanakufahamu?