Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afe kabisa. Nchi haitapata hasara
Hiyo kauli mbona na wewe huhitaji kuwa Dr. ndiyo uifahamu, kwani hujui kauli inamfunga mtu, sasa kama yeye ni waziri wa afya anasema hawajibiki kwa madaktari unataka akawajibike kwa nani, hao wakulima na wafugaji wanamhusu kama mbunge na madaktari wanamhusu kama waziri wao. Siyo lazima kutetea kila kitu, muda mwengine unaweza ukawa mkweli wa hali halisi, kuwa viongozi wa Tanzania hawajali raia wao na ndiyo maana wanaweza kusema aina yoyote ya upuuzi na isiwe kitu. Naamini ukanjanja wanao wote wasioweza kufahamu kauli hiyo.Acha upuuzi wewe hiyo kauli ndiyo iwe sababu hao madaktari ni makanjanja tu, huwezi kumpa Rais masharti.
Unauliza rais ni nani kweli wewe chai ya rangi. Wakifukuzwa hao mawaziri ndiyo matatizo ya madaktari yataisha au wakija mawaziri wapya watakuja na pesa za kutoka mfukoni mwao kuwapa hao madaktari makajanja wakati bunge la bajeti limeishapita.? Punguza gongo wewe.
Acha upuuzi wewe hiyo kauli ndiyo iwe sababu hao madaktari ni makanjanja tu, huwezi kumpa Rais masharti.
Kuna watu wengi wamekuwa wakihoji kwa nini Waziri wa Afya ajiuzulu? Hata Waziri Mkuu, Mizengo Pinda nae alihoji swali hili wakati akizungumza na Waandishi wa habari hivi majuzi na akaenda mbali kwa kusema Waziri Mponda ni mgeni pale Wizarani na hadly ana kama mwaka mmoja ofisini. Kwa wale ambao hamjui kiini cha Madaktari kumchukia huyu Waziri napenda tu niwaambie kauli yake moja aliyoitoa wakati akihojiwa na waandishi wa habari kabla ya ule mgomo wa kwanza. Alisema hivi: Nanukuu
Mwisho wa kunukuu!